Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Sijui hii kitu ina ukweli kiasi gani..... amueni wenyewe!
![]()
DUU HAPA HACHOMOKI......nimikubali!!!
unajua baada ya jamaa kustaafu NSSF alitumia pesa rafu as if bado alikuwa kazini..kuna wakati alichoka sana kipesa ...alikuwa na ka dry cleaner kake pale kinondoni BP mwanamboka ..akashindwa kuiendesha..si alishazoea mteremko...mpaka anagombea ubunge 2005 alishakuwa taabani...kipesa ,sintakataa kama ilibidi aombe mkopo angalau aweze kuwalipa wale jamaa waliomkopesha pesa ya kampeni!!!!
cha kujiuliza ni je huo mkopo ameshaulipa????