ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Kama tunajali maendeleo ya taifa kwa manufaa ya taifa basi wote wanaolitia hasara taifa ni lazima tuwakemee. Tukichagua chagua ooh fulani sio waziri inasabisha watu waanze kujiuliza lengo kuu lililopo, hasahasa iwapo watu haohao wanaomtetea mtia hasara taifa kwa kigezo cha kutokuwa waziri wamedhihirika kuwa mstari wa mbele kukemea hasara inayoletewa taifa na watanzania wenye asili ya kiasia au wahindi, je hawa ni mawaziri?
Wote tuwakemee.
Wote tuwakemee.