The case against MUSTAFA MKULO

The case against MUSTAFA MKULO

Ni Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo inaweeza kuweka mtu asije na uwezo kwenye wizara nyeti kama Fedha. I think JK has gone too far, na kama atakaa mpaka 2015 basi nchi hii itakuwa kama Zimbabwe ingawa hatutawekewa sanctions. Imagine unamtoa Megji unamuingiza Mkullo!!! Nchi isha haribika sasa ni matter of time wananchi wataanza kuliona hilo hata issue za kwamba Nkapa fisadi watasahau. Wananchi watamgeuzia kibao yeye mwenyewe.
 
Kwa hiyo its confirmed that Waziri wetu wa fedha Mheshimiwa Mustapha Mkulo ana degree feki au vipi?
 
GT,

..Bingu wa Mutharika, Raisi wa Malawi naye katungua ka-degree kake feki!! but he is doing wonderful. wame-overcome ukame sasa hivi wana suplus ya mahindi.

..nilipowasikiliza kina Trevor Manuel, Dr.Ingozi, Dr.Kaberuka, i came to the conclusion that we needed more capable and accomplished Minister of Finance.

..unajua debate ile ilionyesha kabisa Raisi wetu anapwaya. sasa at least angekuwa na watu talented kwelikweli ktk wizara zote nyeti ili kufukia mapungufu yake.
 
but one of the factors zinazomkwamisha nikujizungusha na watu rubbish kwasababu hawezi jipa watu wamaana kwakuogopa so he wud rather hv shit advise... logic ya ajabu sana..

surplus ya mahindi made my day aisee ur too much of a joker.lol
 
Wana JF,

Hebu mwenye CV kamili ya mkullo haiweke wazi hapa. Mimi sielewi mtu ambaye aliweza kupata ACCA alishindwaje kupata MBA ya halali mpaka anunue au apewe MBA na chuo feki? Je hiyo ACCA alinayo ni ya halali? Nafikiri Professional bodies uwa zinakuwa na register ya watu waliofanya mitihani wakafaulu hata NBAA wanayo register ambayo unaweza kuyaona majina ya wahasibu wote nchini waliofaulu kwa ngazi ya CPA. Kama kuna mwana JF aliye na access na hiyo register ya ACCA (Nafikiri itakuwa ni ya Uingereza) aangalie kama jina la Mkullo limo otherwise unaweza ukakuta hata hiyo ACCA ni ya kujipachika tu.

Tanzania bwana, feki everything!!!!!
 
Sina access ya register ya ACCA lakini hii ni proffessional board ambayo ni strictly sana na nina uhakika kuwa kama angetumia hilo ACCA bila kuqualify wangefungulia mashitaka.

Inawezekana kuwa na ACCA ukakosa MBA kwani watanzania wengi akishapata vitu kama ACCA anaona hana sababu ya kuendelea kusoma, sasa alipokuja kurealize kuwa anaitaji MBA the best option ilikuwa kununua kutoka PWC.
 
Ama Kweli tumeliwa na Mkulo!! Si aachie ngazi kabla mengi hayajalipuka!!
 
Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu nikajaribu kutafuta CV ya Mustafa Haidi Mkulo sijui kwa CV hii hawezi kuwa waziri wa fedha au mapaka awe na PHD

(1) Almeda University-MBA 2004-2005
(2)S west London College-ACCA 1975-1977
(3)Strathmore College Nairobi-ACCA 1971-1973
(4)NBAA-CPA 1982
(5)Pugu sec school-O-level 1965-1968
(6)Private studies-A-level 1969-1970
(7)Zombo Midle School-Primary 1961-1964
(8)Rudewa Primary School-1956-1960

EMPLOYMENT
NSSF-Director General-1987-2000
National Developmemt Corp-Director of Operation-1985-1987
Ministry of Finance-Treasury registrar-1980-1982
National development Corp-Director Planning&Finance-1980-1982


Je kwa CV hii haitoshi kuwa waziri wa fedha nipeni jibu
 
CV hii huwezi kulingalisha Na Ngozi Ikojo Iweala yule mama wa Kinijeria!

Mkulo choka mbaya tu..no innovative ideas..amepewa na JK kwa ajili ya uswahiba!
 
Last edited:
(1) Almeda University-MBA 2004-2005
Almeda University (possibly also called Almeda College or Almeda College & University) is an unaccredited American institution that offers various academic degrees through distance education, including a "Life Experience Degree". Almeda was founded in 1997.

According to its website, Almeda offers associate, bachelor and master degrees using "Prior Learning Assessment" and also master and doctorate programs in business and theology that require the completion of a thesis or dissertation. Almeda University also claims to offer over 1000 technical and business courses and certification preparation programs by e-learning

Legally, Almeda University is a corporation registered on the Caribbean island of Nevis. Almeda claims accreditation by the Council for Distance Education Accreditation, Interfaith Education Ministries (IEM) and the Association for Online Academic Excellence (AOAEX); none of these are recognized by the United States Department of Education or the Council for Higher Education Accreditation.
 
Hiki chuo nasikia kishampa MBWA degree

sina uhakika na hiii lakini ndio hivyo tena
 
Waziri wa fedha ni mtawala wa fedha wa wizara husika na hapa hii MBA inabeba maana kubwa sana, sasa kama hii MBA ni feki na Mkulo ni feki pia hafai na atoke kwenye wizara husika.

nakubali kabisa ACCA ni cheti kinachoheshimika sana kwenye fani ya Accounts. lakini sasa ni mtawala wa maswala ya fedha na cheti feki degree ya mmbwa. haifai kabisa.
 
Huyu si ndiye aliyehusika na kashfa ya NSSF ya kununua magodown ya Yusuf Manji yasiyozidi thamani ya shilingi milioni 100 kwa bilioni 47?

Kunahaja ya kuiibua tena hii scandal ya NSSF/Manji/Mkulo/Dr. Dau maana kipindi kile mpiganaji alikuwa Mengi pekeyake hivyo alikosa support na hivyo CCM wakafanikiwa kuizima. Hizi ni pesa za wananchi nimhimu hili likazungumziwa upya
 
mie niliwahi kusema kuwa wasomi halisi Tanzania wanakimbia kwasababu ya upumbavu kama huu. Kwakweli nilikuwa sijui historia ya huyu jamaa ila nilimuona bomu katika mkutano wa IMF badala ya kutoa mwelekeo wa Tanzania miaka 10 ijayo kuvutia wawekezaji yeye anazungumzia vivutio vya tanzania na utalii mie nikajua hili galasa sasa naamini nilichokuwa nadhani hii inatisha kwakweli
 
Nilimuona bomu katika mkutano wa IMF badala ya kutoa mwelekeo wa Tanzania miaka 10 ijayo kuvutia wawekezaji yeye anazungumzia vivutio vya tanzania na utalii mie nikajua hili galasa sasa naamini nilichokuwa nadhani hii inatisha kwakweli

te he te he tehe...hiyo ndo sampuli ya mawaziri tulionao
 
mie niliwahi kusema kuwa wasomi halisi Tanzania wanakimbia kwasababu ya upumbavu kama huu. Kwakweli nilikuwa sijui historia ya huyu jamaa ila nilimuona bomu katika mkutano wa IMF badala ya kutoa mwelekeo wa Tanzania miaka 10 ijayo kuvutia wawekezaji yeye anazungumzia vivutio vya tanzania na utalii mie nikajua hili galasa sasa naamini nilichokuwa nadhani hii inatisha kwakweli

Hule mkutano umetuonyesha mengi juu ya viongozi wetu..na dunia imeona sio sisi tuu..aibu tupu! the south african finance minister kaonekana kama genius fulani...
 
Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu nikajaribu kutafuta CV ya Mustafa Haidi Mkulo sijui kwa CV hii hawezi kuwa waziri wa fedha au mapaka awe na PHD

(1) Almeda University-MBA 2004-2005
(2)S west London College-ACCA 1975-1977
(3)Strathmore College Nairobi-ACCA 1971-1973
(4)NBAA-CPA 1982
(5)Pugu sec school-O-level 1965-1968
(6)Private studies-A-level 1969-1970
(7)Zombo Midle School-Primary 1961-1964
(8)Rudewa Primary School-1956-1960

EMPLOYMENT
NSSF-Director General-1987-2000
National Developmemt Corp-Director of Operation-1985-1987
Ministry of Finance-Treasury registrar-1980-1982
National development Corp-Director Planning&Finance-1980-1982



Je kwa CV hii haitoshi kuwa waziri wa fedha nipeni jibu

baada ya kuwa mkurugenzi mkuu wa NSSF akaenda kusoma MBA huu ni utata sana. Na ukizingatia alikuwa na hela alizoiba NSSF za kutosha kujilipia chuo chenye reputation nzuri kwanini aende kusoma almeda.
conclusion: cheti cha kununua
 
Kunahaja ya kuiibua tena hii scandal ya NSSF/Manji/Mkulo/Dr. Dau maana kipindi kile mpiganaji alikuwa Mengi pekeyake hivyo alikosa support na hivyo CCM wakafanikiwa kuizima. Hizi ni pesa za wananchi nimhimu hili likazungumziwa upya


Nakuunga mkono kabisaaaaaaaa , turudishe ile mada ya Kashifa za Magodown ya NSSF, PPF na Manji. Haki ya Mungu tuwachambue tena hawa watu, Inaonekana ukiwa FISADI ni rahisi kupata ulaji tena kuliko Wale wanaojari nchi.
 
Kipengele cha 3.1[v] cha mwongozo wa BOT kuhusu wajumbe wa bodi kwenye mabenki unazuia wabunge na wakilishi wa kutoka zanzibar pamoja na madiwani kuwa wajumbe wa bodi katika mabenki. Je kwa kuwateua wabunge wakina Kigoda, Nyami, Kaboyonga etc, kuwa wajumbe waziri anakiuka sheria au hafahamu taratibu?
 
Back
Top Bottom