The case against MUSTAFA MKULO

Kwani hamkumbuki huyu Mheshimiwa alichota hela for CCM??? Mie naamini kawekwa pale ili amalize soo la EPA maana anaaminika kwa SISEMU ingawa ni Fisadi Sr. Mie sioni umuhimu wa Usalama wa Taifa maana Track Reckords za huyu jamaa watakuwa nazo lakini still huyu mtu anapewa wizara nyeti kama hiyo katika serikali.
 
Mkullo ananuka rushwa left right and center.Kuanzia kuwapa wanasiasa kama kina Sumaye mikopo bila collateral, kununua MBA kutoka diploma mill, kutia watoto wa shule walio sawa na watoto wake mwenyewe, you name it.Haya ndiyo tunayoyajua sie watu wa nje sijui wa ndani wenye access naye wana yepi.

Kikwete has never been one to appoint on merit, he did not rise to power on merit how can anyone expect merit based appointments from him?

Mi nilivyoona Mkullo yupo fedha nikajua muungwana anakaa mkao wa kula, after all the name says it all,Mkullo.
 
Pundit,
You nailed it right on!
I couldn't have said it better myself! Yaani ume-summarize CV yake ya "kiswahili".
 
Huyu si ndiye aliyehusika na kashfa ya NSSF ya kununua magodown ya Yusuf Manji yasiyozidi thamani ya shilingi milioni 100 kwa bilioni 47?

Huyu Mkullo ndiye yeye kabisa mwenye kuhusika na hiyo skandal na zingine nyingi tu. Unadhani ni kwa nini wameanza kuikimbia ile story waliyoiweka magazetini ili kumchafua Mbowe?

Wamegundua kuwa mengi yatawekwa wazi hapa na ukweli utajulikana kuwa Mbowe amekuwa analipia deni lake ila Mkullo na wenzake hapa NSSF walikuwa "wakikopa" bila makubaliano ya kulipa chochote.

Kuna story ambayo inavuja sasa hivi inaonyesha kuwa mtu wa karibu sana na JK alikopa pesa NSSF (interest free) na kuna uwezekano kwa nafasi ya uwaziri wa fedha ni fadhila zinalipwa hapa kwa hili na mengine yote aliyoifanyia ccm.

Bado naitisha uchunguzi huru wa pesa zote za NSSF (ikiwemo deni la Mbowe) na "wadaiwa" wote wa NSSF.

tik tak tik tak tik tak ...
 


Pundit mbona haya maneno ni mazito sana hata sijui nianzie wapi kusoma .Nimeona leo NSSF wanakimbia wenyewe lakini nadhani walidhani ni lele Mama .Mkullo kweli kanunua MBA na bingwa wa kulala na Visungura matope ?
 
Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.

That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.


Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".


Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!
 

Poor Mkullo,

wakati akianzisha hii story bubu hakujua yanayokuja. Mwisho watasema kuwa hakuna anayedaiwa NSSF
 

Kuna mengi hapa kwenye hizi pesa za NSSF yatakuja wazi skandali hapa ni mabilioni kibao tu na yanahusisha watu kibao ikiwemo top brass ya ccm - JK ajiandae kubadili baraza la mawaziri baada ya report ya kuchunguza pesa za NSSF kutoka!
 
Mustafa Mkullo pamoja na kuwa na track record mbovu imekuwaje akapewa wizara ya fedha? JK must be jocking kwani kumpa Mukulo wizara ile ni sawa na kumpa fisi kondoo


Wana JF msichoke, Mkullo hafai hata kidogo, hawa ndio wale wale wanaotaka njia ya mkato na vyeo kwa manufaa yao. Huyu fisadi yuko pale kujaribu kufukia issue zilizojitokeza EPA, NSSF, BOT etc. Kitu cha kushangaza ni mhe raisi kumuweka katika hiki kitengo licha ya sifa zake chafu. It makes one wonder..Labda/hakika raisi hakutaka mtu safi na makini pale FEDHA, kwa sababu ya kuficha nini hasa kilichofanyika. Alifikiri anaweza kufanikiwa kufukia ufisadi kwa kuweka wahusika wenyewe, ili kujaribu kuziba ufa (more like building a new foundation). Mambo bado, mambo bado.....
 
sasa mtaelewa kwanini kuna mtu wake Mambo ya Ndani, na kwa nini kuna mtu kwenye judiciary.. game set!!
 

Na bado mtu anaiweka kwenye CV yake? Kinachonisikitisha ni kuwa wengi wao wana elimu ya kutosha tu isipokuwa huu ulafi wa kutaka misifa bila ya kufanyia kazi. Naona na mimi nijipandishe niwe Injinia. Inasikitisha sana.
 
[QUOTE=Fundi Mchundo;158667]Na bado mtu anaiweka kwenye CV yake? Kinachonisikitisha ni kuwa wengi wao wana elimu ya kutosha tu isipokuwa huu ulafi wa kutaka misifa bila ya kufanyia kazi. Naona na mimi nijipandishe niwe Injinia. Inasikitisha sana.[/QUOTE]


Fundi ahsante sana. Alivyopewa uwaziri nilisema Jk kachemsha mbaya.
Yaani ukikaa na huyu mzee ukamskiliza anavyoongea na ukalinganisha na cheo alichopewa utashanagaa.Ni mtupu,sijui kwa nini Rais anapenda kujishushushia hadhi hivi.
kuhusu umalaya ulizeni Arusha wanahistoria yake maana ailikuwa Chairman wa AICC board. Hiyo flaizi yake iko wazi 24 hrs.
 
[QUOTE=Fundi Mchundo;158667]Na bado mtu anaiweka kwenye CV yake? Kinachonisikitisha ni kuwa wengi wao wana elimu ya kutosha tu isipokuwa huu ulafi wa kutaka misifa bila ya kufanyia kazi. Naona na mimi nijipandishe niwe Injinia. Inasikitisha sana.



[/QUOTE] Fundi ahsante sana. Alivyopewa uwaziri nilisema Jk kachemsha mbaya. Yaani ukikaa na huyu mzee ukamskiliza anavyoongea na ukalinganisha na cheo alichopewa utashanagaa.Ni mtupu,sijui kwa nini Rais anapenda kujishushushia hadhi hivi.
kuhusu umalaya ulizeni Arusha wanahistoria yake maana ailikuwa Chairman wa AICC board. Hiyo flaizi yake iko wazi 24 hrs.[/QUOTE]

Kazi ipo ...unataka kusema mzee ni kama bwana Liyumba wa BOT, tofauti yao yeye Mkulo hatoi vigari vyekundu? mmmmhh
 
PUNDIT,
mzee nimecheka cna baada ya kusoma hiko chuo cha Mkullo kilivyo,
boss wangu angeniona angenipa warning straight!
this is serious!!! DOGS!!!
 
Hii yote inadhihirisha uwezo mdogo alionao JK, mimi nwashangaa mnaomshangaa mkullo, huyo JK nani alimpa urahisi maana hiyo ndiyo root cause ya yoote haya.

Kwa mwendo huu kutakuwa na maisha bora hapo??????
 
sasa Itabidi Tuanze Kuangalia Track Record Zake Za Nyuma Huko Alikotokea
 
Mustafa Mkullo ninayemfahum mimi ni kweli ana ACCA, na MBA ya chuo feki.

Baada ya kutoka NPF, akaanzisha ka biashara ka dry cleaner nakumbuka kalikuwa kanaitwa Adam Ribs. Alikopa pesa pale kwenye kabenki ka wahindi opposite na Kitega Uchumi.Akapata tenda nzuri tu ya kuosha mashuka pale Muhimbili, ila biashara ile ikamshinda na tenda akanyanganywa na tena hiyo biashara ikafa. Na mpaka ninavyosema sasa hivi kwa mujibu wa record zangu bado anadaiwa na kale kabenki na wamefanya provision kubwa tu(50%)kwa lugha ya kibenki ni doubtful debt.Ujasiliamali ulimshinda huyu mkuu na ndo maana akakimbilia siasa(ubunge). Ila naona mambo yake si mabaya kwaupande huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…