Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio 2,488 yaliyoripotiwa mwaka 2023 katika vituo mbalimbali vya polisi.
source : The Chanzo
Machalii kwenye ulawiti mnakwama wapi?
source : The Chanzo
Machalii kwenye ulawiti mnakwama wapi?