Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
- Thread starter
- #21
Hayo yote ni vijana kukosa kazi za kufanya .huku dar yaani vijana wanapenda matani ya kishoga
vijiweni wanataniana 'oya mwanangu we mrembo' 'una tako'
ndo wanapoanzia
nimepashangaa sana