The Chanzo: Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

Accumen Mo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
18,036
Reaction score
39,882
Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio 2,488 yaliyoripotiwa mwaka 2023 katika vituo mbalimbali vya polisi.

source : The Chanzo

Machalii kwenye ulawiti mnakwama wapi?
 
Nadharia yangu ni kwamba matukio yalikuwa mengi toka mwanzo, ila watu wengi zaidi wanajitokeza siku hizi kushtaki/kuripoti

NGO zinafanya kazi
uko sahihi , hayo ni matukio ambayo watu wamejitokeza kushtaki ...Huko vijijini watu wanamalizana kimya kimya bila ya kwenda polisi
 
Mikoa ya kaskazini wapo bize na jambo lao....wavisiwani wanavuliwa taji lao na wadudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…