Nazani kama serikali ingewekeza kwenye bidhaa za kilimo hasa zao la mchele tungeuza zaidi maradufu,maana mfano hizo inchi unazozizungumzia wanategemea mchele kutoka incheView attachment 3529629
Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo.
Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa za viwanda, chakula kama mahindi/unga wa mahindi, saruji, n.k.) katika eneo la maziwa makuu na kusini.
Kenya pekee ndiyo kama haina surplus kubwa, hii inaonyesha ushindani mkali lakini Tanzania inazidi kuimarika.
Kwa ujumla, data hii inaonyesha mafanikio makubwa ya sera za kuongeza mauzo ya nje na kuimarisha viwanda vya ndani katika kipindi cha 2024/25. Hii inasaidia uchumi wa Tanzania kukua, kuongeza mapato ya serikali, na kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha biashara katika Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Umelewa.Pongezi kwa serikali ya mama Samia
Hakuna zao la mchele,huko shule hakuna somo la kiswahili siku hizi!?Nazani kama serikali ingewekeza kwenye bidhaa za kilimo hasa zao la mchele tungeuza zaidi maradufu,maana mfano hizo inchi unazozizungumzia wanategemea mchele kutoka inche
Biashara DRC na tz kubwa kitambo tu,siyo kwa 'juhudi' za dikteta wa chatoKenya haina faida.Tujikite DRC, Rwanda, Burundi, Zambia, na nchi nyingine zenye faida.Pongezi Kwa RAIS wetu John pombe magufuli Kwa kuboresha bandari za kalemie na karema iliyochochea biashara Drc na Tz
Mradi tusiwe na positive balance of trade,huko nyuma kwa mfumo huuhuu tulikua na negative trade balance na kenya,kenya tunawalisha kwa 40+%,tunawauzia bidhaa za ujenzi pia,pongeza kwa hiloHizo ni bidhaa tunauza kwa kuzalisha kweli au nyingine tunasafirisha baada ya kununua. Thamani yote inayosomeka hapo haijaingia kwetu.
Mfano nikinunua nguo shilingi 600 kutoka China nikaiweka dukani Kariakoo na kuuza kwa bei ya jumla kwa shilingi 990 kwa mteja wa Burundi, inaonekana nchi imeingiza 990 wakati kati ya hiyo 600 ilikwishatumwa China kwa mtengenezaji.
Kwahiyo net ya nchi hapo unakuta ni ndogo.
Najua wabobezi wa uchumi wa terms za kuelezea contradiction hii.
Morogoro na Mbeya zinaweza kuibeba nchi kwenye zao hili la mpunga (siyo mchele)Nazani kama serikali ingewekeza kwenye bidhaa za kilimo hasa zao la mchele tungeuza zaidi maradufu,maana mfano hizo inchi unazozizungumzia wanategemea mchele kutoka inche
Ni kweli hoja yako iko kitaalamu mno. Inabidi kuangalia incremental figure ndiyo tuirekodi. Lakini wachumi kwenye estimation wanapopima GDP wameamua kuchukua thamani yote hivyo hivyo. Kwa hiyo kuna onekana kama kuna double countingHizo ni bidhaa tunauza kwa kuzalisha kweli au nyingine tunasafirisha baada ya kununua. Thamani yote inayosomeka hapo haijaingia kwetu.
Mfano nikinunua nguo shilingi 600 kutoka China nikaiweka dukani Kariakoo na kuuza kwa bei ya jumla kwa shilingi 990 kwa mteja wa Burundi, inaonekana nchi imeingiza 990 wakati kati ya hiyo 600 ilikwishatumwa China kwa mtengenezaji.
Kwahiyo net ya nchi hapo unakuta ni ndogo.
Najua wabobezi wa uchumi wa terms za kuelezea contradiction hii.
Trade surplus au favourable balance of payment siyo faida, bali ni uwiano kati ya nchi ilichopeleka nje dhidi ya nchi ilichoagiza kutoka nje.Kenya haina faida.Tujikite DRC, Rwanda, Burundi, Zambia, na nchi nyingine zenye faida.Pongezi Kwa RAIS wetu John pombe magufuli Kwa kuboresha bandari za kalemie na karema iliyochochea biashara Drc na Tz
Yaaan umenena. Tanzania kama tungeboresha sera zetu vzr, hasa kupunguza makodi na gharama za kuendesha makampub ya kizawa yanayouza nje. Mazao kama mahindi, mpunga na maharagwe tunaweza zalisha na kuzilisha nchi majiran vizuri kabisa kama tutaboresha miundombinu na sera za kilimo.Nazani kama serikali ingewekeza kwenye bidhaa za kilimo hasa zao la mchele tungeuza zaidi maradufu,maana mfano hizo inchi unazozizungumzia wanategemea mchele kutoka inche
Msisahau kumpongeza nembo ya taifa Vale Nafaka.Morogoro na Mbeya zinaweza kuibeba nchi kwenye zao hili la mpunga (siyo mchele)
Duuh nakula unaniharibia mudi jombaMsisahau kumpongeza nembo ya taifa Vale Nafaka.
View attachment 3529730
MamaSamia2025 min -me
adriz de mbusii
Hayo ni manambari tu ya kwenye makaratasi ukweli tunauona huku mitaani kwani vyuma vilikaza mpaka vikakazuka , mikanda tumeikaza mpaka hamna sehemu nyengine ya ya kukazia . Au ndio haya magari manenne na mishahara minono ya wabunge na viongoziView attachment 3529629
Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo.
Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa za viwanda, chakula kama mahindi/unga wa mahindi, saruji, n.k.) katika eneo la maziwa makuu na kusini.
Kenya pekee ndiyo kama haina surplus kubwa, hii inaonyesha ushindani mkali lakini Tanzania inazidi kuimarika.
Kwa ujumla, data hii inaonyesha mafanikio makubwa ya sera za kuongeza mauzo ya nje na kuimarisha viwanda vya ndani katika kipindi cha 2024/25. Hii inasaidia uchumi wa Tanzania kukua, kuongeza mapato ya serikali, na kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha biashara katika Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Chama (CCM) kiliahidi sasa kinatenda.Msisahau kumpongeza nembo ya taifa Vale Nafaka.
View attachment 3529730
MamaSamia2025 min -me
adriz de mbusii
Ni kweli Mkuu !! Wakati wa JKN kulikuwa na mashirika mawil; Mbarali rice farms chini ya NAFCO na Kapunga rice project.Yaaan umenena. Tanzania kama tungeboresha sera zetu vzr, hasa kupunguza makodi na gharama za kuendesha makampub ya kizawa yanayouza nje. Mazao kama mahindi, mpunga na maharagwe tunaweza zalisha na kuzilisha nchi majiran vizuri kabisa kama tutaboresha miundombinu na sera za kilimo.
Mfano huko bonde la usangu, wanalima mpunga sana ila sehemu kubwa wanategemea misimu ya mvua, kuna mabwawa yanasemekana kujengwa ila hayatumiki na yalichakachuliwa.
Taasisi zijikite kwenye mbinu za kuboresha na sio kuwabana wazalishaj na wakulima.
Huyu ndiye nani tena? Hebu fungukaMsisahau kumpongeza nembo ya taifa Vale Nafaka.
View attachment 3529730
MamaSamia2025 min -me
adriz de mbusii