Zaidi ya mahindi na mchele, bidhaa nyingi ni on Transit tuu,nyingi zinakuwa imported and repackaged then zinavushwa, oil/fuel ambayo inapita bandarini inachangia sana tuonekane tuna exports kubwa, to be fair tunalipwa transit fees na madereva wetu wanapata kazi ๐ค