stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023
Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume.
Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii?
Source: The Chanzo