The Chanzo: Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483

Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023

Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume.

Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii?

Source: The Chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…