Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kundi hili lilianza kwa kasi na likawa na umaarifu mkubwa sana wakati ule likiwa ITV.
Lakini baadae wakahamia TBC ambako ndiko walikojichimbia kaburi.
Mambo mengi yamechangia anguko la kundi hili lakini pia kukosa mikakati ya baadae ,kukosa ubunifu , kulewa sifa na kujiona bora kuliko wengine, dharau na kiburi vimechangia mno kulipoteza hili kundi.