The Comedy Show Kwisha

The Comedy Show Kwisha

Nampenda sana joti, na lile pengo lake la kuchora mi hoi
Sipati picha ingekuwa vp endapo tangazo lake la cku za karibuni la tgo la kurudishia hela za kununua sim card...lile la kwenye radio ingekuwa ndo kwenye TV!
 
Kiukweli kundi hili limepoteza kabisa umaarufu liliokuwa nao mwanzoni. Na hiyo ndiyo mshahara wa kuishabikia CCM.
Pia wakome kutukana mwanzo wao (kutukana IPP na Mengi kwa hisani ya Manji).
 
wako juu sana acha wivu, if u have something to add advice them, big up masanja , jotti, mpoki......
 
wako juu sana acha wivu, if u have something to add advice them, big up masanja , jotti, mpoki......

Najadili kundi na si individuals Noel jaribu kuwa mwelewa !!!na si kila akukosoaye ana wivu.kwa mfano najua wazi masanja na joti wanafanya vizuri nje ya kundi na kama watu binafsi lakini kundi kama kundi halina mvuto wala msisimko tena kama awali
 
nibora niwaangalie wakina joti kuliko wale wa EATV..wakina joti wako juu bhana acheni kuwasakama
 
Back
Top Bottom