The Comedy Show Kwisha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kundi hili lilianza kwa kasi na likawa na umaarifu mkubwa sana wakati ule likiwa ITV.

Lakini baadae wakahamia TBC ambako ndiko walikojichimbia kaburi.

Mambo mengi yamechangia anguko la kundi hili lakini pia kukosa mikakati ya baadae ,kukosa ubunifu , kulewa sifa na kujiona bora kuliko wengine, dharau na kiburi vimechangia mno kulipoteza hili kundi.
 
Wenzio washakamata fursa upande mwingine
Hawategemei hyo issue tena
 
Swahiba niamini mm fanya fast cheki na Shigongo una kipaji kikubwa tu,ukisikia fursa ndio hii.
 
Wenzio washakamata fursa upande mwingine
Hawategemei hyo issue tena

hajui kama kipaji havilast long unakitumia muda huku unainvest kwingine by the way last year masanja alivuna mpunga zaidi ya magunia mia back to the topic nilifikiri kundi limekufa kweli au wamegombana kumbe ni maono yake tu.
 
Kilichochangia kunipotezea umaarufu ni:-

1.KUHAMA EATV AMBAYO NI CHANEL BORA YA BURUDANI KUSHINDA ZOTE TZ NA KWENDA TBC AMBAYO HAIPENDWI HATA KIDOGO.

2.KUJIHUSISHA NA KAMPENI ZA CCM..

NOTE::vipaji vyao bado havijakwisha,ukiachana na KING MAJUTO,sijaona mtu anaewafikia kwa kuchekesha..
 
Kila wiki Kuja na kitu kipya cha kuchekesha watu si kazi rahisi,espicially kwa style wanayotumia ya kufanya kama wanatangaza habari sababu inabidi waangalie matukio ya kila wiki ya habari then wayatengenezee script ambayo itachekesha.lakini pia watu wameichoka mode wanayotumia so inabidi wawe wabunifu waje na style nyingine na wasirudie vichekesho.Mpoki can do a stand up comedy so probably they should think of that too.
 
That is obvious! huwezi kuwa kwenye game maisha yote. Principle of Product Life Cycle inaeleza yote.
Hao commedians wamehamia katika segment nyingine. Masanja kawa muimbaji wa nyimbo za injili na jumapili kesho 16/2 anazindua album.
Kibabu Joti anafanya muziki na matangazo ya biashara. Kitu muhimu wanapata fedha na maisha yanasonga mbele.
Muanzisha mada alikuwa anajifurahisha!
 
Jamani nimeongelea kundi na si watu binafsi
 
Kuwa no moja kwa muda haishindikani ila kuwa no milele haiwezekani
 

itv ipi mkuu?

by the way, siku hizi watu wamechoka na kuchekeshwa wakati maisha yenyewe yamenuna!

utachekaje wakati huna kazi, hujala, mama anaumwa, hujalipa bili ya luku, mwenye nyumba anadai pango nk!

afu siku hizi hawaonekani bila kuwa na decorder!

kuna factor nyingi sana za kutoangalia na kuwashabikia hao watu siku hizi...

nakumbuka mara ya mwisho kuwaangalia hao jamaa ilikuwa mwaka 2010.. basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…