Sipati picha ingekuwa vp endapo tangazo lake la cku za karibuni la tgo la kurudishia hela za kununua sim card...lile la kwenye radio ingekuwa ndo kwenye TV!Nampenda sana joti, na lile pengo lake la kuchora mi hoi
Law of diminishing marginal utility
wako juu sana acha wivu, if u have something to add advice them, big up masanja , jotti, mpoki......