historia ya Norway na sweeden ipo tofaut na nchi za Africa..kuanzia 1940s uchumi wao ulikua tayari mbali kulinganisha na Africa.....tatizo naloliona wazungu wanatake advantage kwani hatuna enough sources, MUULIZE MUGABE, leo hadi comowealtth scholarship Zimbabwe inakua excludedNa mimi nitakujibu kwa swali.... nchi kama Norway, Sweden wawekezaji walitoka wapi?
historia ya Norway na sweeden ipo tofaut na nchi za Africa..kuanzia 1940s uchumi wao ulikua tayari mbali kulinganisha na Africa.....tatizo naloliona wazungu wanatake advantage kwani hatuna enough sources, MUULIZE MUGABE, leo hadi comowealtth scholarship Zimbabwe inakua excluded
siwajui wawekezaji wao ni akinanani,Bado hujajibu swali ... nani alikuwa mwekezaji Norway na Sweden?
kuwa streigh kijanaUwezekaji TZ ni lazima au?na je TZ inawezekana bila uwezekaji?Bado hujajibu swali ... nani alikuwa mwekezaji Norway na Sweden?
mbona hamjibu maswali yangu wakuu?Tz bila wawekezaji inawezekana?
siwajui wawekezaji wao ni akinanani,
Anza wewe dogo...maan itakusaidia sana ...Kwa nini nijifunze kiarabu? waarabu wameifanyia nini dunia karibuni (zaidi ya kusambaza suicide bombers)?
Bado narudia ushauri wangu kwako - kasome kwanza lugha ya makafiri wa kizungu uielewe vyema kabla hujaanza kuitumia
Akili ndogo..na ushabiki...grow up dude..Mkapa has already mess up (too late) ..it up to the Nation kusema e bwana kwaheri na pole kwa kuamini wazungu au kum-put into taska kama wenzake kina mgonja...it is up to you and me..acha blah blah zako za kujifanya wazimu...
Kwa nini nijifunze kiarabu? waarabu wameifanyia nini dunia karibuni (zaidi ya kusambaza suicide bombers)?
Bado narudia ushauri wangu kwako - kasome kwanza lugha ya makafiri wa kizungu uielewe vyema kabla hujaanza kuitumia