The Confession of Nazir Karamagi

Status
Not open for further replies.
kibarua kuota mbawa tu hakisaidii, wala haifai kwetu sisi kuridhika kwa hilo
tunataka mikataba isahihiswe uzuri, na hawa walojivunia mamilioni wapelekwe muflis, pesa irudishwe kwa umma
na hapo tunaanza kwa karamaga kuelekea kwa balali na wenziwe.
 
Hebu tuangalie makosa aliyoyafanya Karamagi katika kusaini Mkataba wa Buzwagi

 
mhhh!!!

hapa niicomment naweza kuulizwa uaraia wangu...
 
Naona mkataba ndio umeanza kutoka kwa ngwe..............haya leteni dataz wana JF.
 
Naona mkataba ndio umeanza kutoka kwa ngwe..............haya leteni dataz wana JF.

Si ndio hivyo tena tunaambiwa mkataba huu ni bora zaidi kuliko hiyo iliyopita...labda tuwaulize hao walioiona mikataba hiyo iliyopita.
 
..sheria na sera za madini zilipitishwa wakati Kikwete akiwa waziri wa madini. kama tumeingia hasara huyo ndiyo mtu wa kwanza kumhoji.

..kila mara tumekuwa tukidai kwamba Raisi kashauriwa vibaya. sasa sijui katika hili tutamtetea vipi Raisi.

..tuache kuzunguka mbuyu, katika hili Karamagi ameshauriwa vibaya na Kikwete.
 
Na wala sitashangaa ikijabainika kuwa wawili hawa wana shares katika Buzwagi.
 
Kikwete na Msabaha wana share kwenye Tanzania Royalty Exploration ya James Sinclair. Barrick Gold waliingia mkataba na Tanzania Exploration na walinunua hisa za Royalty Exploration wakati wa kuanzishwa kwake. Katika mkataba huo Barrick Gold inapewa nafasi ya pekee katika matokeo ya ugunduzi unaofanywa na TRE. NI kwa sababu hiyo utaona kuwa TRE wanagundua au wanamiliki eneo la mgodi lakini Barrick baadaye wanakuja kununua kutoka kwao. Hivyo, Barrick gold inaponunua haki za kuchimba toka TRE na hivyo kuwatengenezea wanahisa wa TRE njuluku kidogo.. guess who else benefit....
 


Kazi ipo Mkuu!
 
Kwa mwendo huu ikulu hapatoshi. Joto Kaali kweli kweli.
 

Na Pangea Minerals ni kampuni Tanzu ya Barrick?
 
..yaani wabongo hapo wameibiwa mpaka kiama,hivi ile corporate tax ya 30% ambayo wote tunalipa tukifanya biashara bongo mbona siioni hapo? corporate tax ndio pesa ilipo na wao wanajua na kama haipo hivyo vingine ni upuuzi mtupu....hivi jamani huyu karamgi hata hajisikii vibaya? mimi ningejiuzulu haraka sana na kuwaomba msamaha watanzania
 
Falling stars, what can i said. You tend to harvest what you grow. Tanzania leaders for many years has leading us like children. It's all about the time. Thanks Mr Zitto, I think without to spend some time you need kuandika kitabu, Rise and Fall of CCM empire, prons & Cons of mtandao.
 
Now, this can be closed?

Kwa kuwa kibarua kimeisha ota magugu siyo mbaya kuifunga. Tuwkee kule store kwa ajili ya references just in case akija na vimbwanga vingine maana bado anapiga kelele!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…