The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

Ulipaswa useme hilo kabla ya story yako ili mtu aweze kufanya maamuzi whether to go through it or not
So u want me to be you? Wait until when u start Ur thread and do what u what u have advised me to do.
 
Kama u genius wenyewe ndo huo basi wacha mimi niendelee kuwa average minnd tu asee
Wala.sijamaanisha ugenius. Nimemaanisha roho ya kuto Ku appreciate artwork ya MTU mwingine ambayo humea kwenye evarage mind.

Huo ni utunzi wangu. Kama umeshindwa Ku appreciate basi keep Ur comment with urself or kama Una hoja ya kupingana na utunzi wangu basi toa hoja watu wajifunze but hoja huna ndo maana umeishia kuikejeli .
 
Nimesoma yote hadi comments zote. Hizo theory nimezifurahia jinsi ulivyo narrate. Kama ukiweza kuleta theories za namna hii uwe unanitag. Na pia nikukumbushe usikwazike na majibu ya baadhi ya wachangiaji. Kwa sababu sio kila kitu kiko meant to everyone. Good analysis mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha jamaa unajua sana kutunga na kuunganisha dots ni kitu kizuri maana inahitaji akili ya ziada sana kuyafikiria hayo uliyoyafikiria..
Lakini mbona corona sio ugonjwa wa hatari kiasi hicho no ya vifo na wanaopona ni tofauti sana so naamini still tunaweza kusurvive vizuri tu... But uko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine wanasema dunia is a celestial laboratory. We are an Allien's project. Kuna kitu wanataka kutengeneza katika Sayari Yao so wanatutumia Sisi kama Guinea pig.

Hahahaaa...kumbe we're nothing...ma guinea pigs tu !!!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna watu na viatu aliyeandika hili nadhani ni kiatu travolta bureeee kabisa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna watu na viatu aliyeandika hili nadhani ni kiatu travolta bureeee kabisa
Okay
 
Unafikiri wananikwaza Kaka. Nasikitishwa tu kuona MTU anapingana na kisa cha kutungwa... Ile dhana ya jf kuwa home of the great thinker naona inazidi kupoteza maana siku hata siku
 
" kinacho mtofautisha MTU mwenye akili timamu na MTU asie na akili timamu NI mambo yanayo weza kuwachekesha"...Masudi Kipanya.

Ndio maana kuna video katuni ambazo NI vichekesho maalumu Kwa watoto.

What is funny about this?

Sikutakiwa kucheka?? Jinga
 
Heshima kwako mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani katika utunzi wako umekosa kabisa jina la hayo maitaifa!? au nikusaidie majima walau iwe fiction yenye uhalisia kiduchu kama kudadikika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…