kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Inawezekana Kaka.mkuu... sory, huwa naskia kua apolo na nasa wakitokaga angani na chombo chao huwa wanakipulizia dawa, ni kweli? kama ni kweli je kuna uwezekano wa hivi virus vya corona kuletwa kutoka anga za mbali? napenda uendelee na mastori haya nayamaind kinoma!
Huu uzi ingawa NI story but blv me Una chembechembe za ukweli ndani yakeLakini utunzi wako unagusa watu walio katika janga. Mtu anafungua anaanza kusoma akiamini atapata taarifa ya kumsaidia nyakati hizi za hofu. Sasa anachokikuta akijumlisha na hisia zake, ungekuwa karibu angekuzaba kofi. Hadidhi nyingine zinaweza kuamsha hisia hasi dhidi yako kuendana na hali ya mtu.
Fikiria fundi ujenzi ambaye hana akiba ya fedha wala chakula. Amaanka asubuhi anakutana na habari zinazoashiria kuwa hataweza kufanya kazi angalau mwezi mmoja. Mke na watoto wanamwangalia. Mara anapata taarifa kuwa wanafunzi wamerudishwa nyumbani kwa mwezi mmoja.
Halafu anakutana na uzi huu akiamini una msaada. Anakuta stori. Vumilia tu mkuu. Watu wana mengi vichwani mwao.
Kuna theory inasema Hawa virus wanaweza kuwa wameletwa kutoka Sayari ya Marsmkuu... sory, huwa naskia kua apolo na nasa wakitokaga angani na chombo chao huwa wanakipulizia dawa, ni kweli? kama ni kweli je kuna uwezekano wa hivi virus vya corona kuletwa kutoka anga za mbali? napenda uendelee na mastori haya nayamaind kinoma!
My story makes alot of senseWazee wa Consipiracy theory napenda sana kusoma story zao nyingine haziaminiki hata kidogo kama hii ya mtoa hii thread na sijui kwanini wanahusisha sana na vitabu vya dini sijui ndo ili waaminike zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
na akina nani? au kwa kutumia nini? napenda sana ishu hizi, hebu dadavua basi kiaina!?Kuna theory inasema Hawa virus wanaweza kuwa wameletwa kutoka Sayari ya Mars