The country is heading to the wrong direction

Mimi ni raia wa kawaida tu lakini nalazimika kumwambia Mhe wetu. Rais kwamba nchi inaelekea pabaya. Nina mifano michache ya kuunga mkono hoja yangu. (1) Tuna tatizo kubwa la madaraka.

Kuna maeneo ambayo yapo madarakani kwa siku mbili. (2) Tatizo la maji. Chukulia mfano wa Jiji la Mwanza ambalo jiji liko karibu na ziwa lakini inachukua hata wiki bila maji. (3) Bei za mafuta.

Bei ya kila huduma sasa imeongezeka maradufu kutokana na ongezeko la bei za bidhaa mbalimbali. Mhe. Rais wewe ni raia namba moja wa nchi hii tafadhali chukua madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obviously 😂 as long as Katiba itabaki kuwa kama ilivyo yeyote atakayekuja atakuwa even worse !

Watu wanaotuini vitu hata uwape Katiba mpya hakuna kitu watafanya.
Hao Watu majumbani mwao kuna Biblia na Quran wanaoziamini ndio zinawaongoza lakini nini wanafanya?
 
Watu wanaotuini vitu hata uwape Katiba mpya hakuna kitu watafanya.
Hao Watu majumbani mwao kuna Biblia na Quran wanaoziamini ndio zinawaongoza lakini nini wanafanya?
😍 umenena lakini hii yote inatokana na kutokuwepo na ile kitu inaitwa nidhamu ya uoga !!
Kwahiyo ili tuende mbele ni lazima kuwepo na anaye ilazimisha kuwepo hiyo nidhamu ya uoga na aonekane kweli anafanya hivyo 😂😂
 
Hapo namba 1, edit uandike umeme badala ya madaraka..
 
Hey! mwenye kamusi ya oxford anisaidie aisee.
 
Tofautisha kati ya udhaifu na kusudi hii ni kusudi kwani wanajua fikra jinsi ya kutatua lakini wamekausha nia yao ni kuwagadhabisha
 
*It is skidding through the wilderness and may plunge into dangerous canyons that endanger the lives of the innocent souls on board. The driver is remotely harnessed by an invincible system of elites as such conflicting interpersonal decisions to steer towards the right path; there is no choice of option lest the breath is arrested and succumbed to protect the evil mission.
 
Lukas Mwashamba njoo huku upangue hoja za huyu jamaa!
Ukimaliza kuzipangua usisahau kutoa namba zako za simu Kuna nafasi imepatikana huko Uvinza ya UDED huenda ukateuliwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…