Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Baba wa Taifa couldn't have put it better...Kiingereza ndicho Kiswahili cha dunia na Tanzania ni sehemu ya hiyo dunia!Tumia kiswahili ofisaaa, Tanzania sio wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba wa Taifa couldn't have put it better...Kiingereza ndicho Kiswahili cha dunia na Tanzania ni sehemu ya hiyo dunia!Tumia kiswahili ofisaaa, Tanzania sio wazungu.
Mimi ni raia wa kawaida tu lakini nalazimika kumwambia Mhe wetu. Rais kwamba nchi inaelekea pabaya. Nina mifano michache ya kuunga mkono hoja yangu. (1) Tuna tatizo kubwa la madaraka.Tumia kiswahili ofisaaa, Tanzania sio wazungu.
Kwenye point zote hizo nakubaliana na wewe.
Hapo kwenye Maji ndio kabisaa Jiji la Mwanza, sio jiji la kukosa maji kabisa wakati lipo kando kando ya ziwa kubwa Duniani. Sio tu Mwanza, inatakiwa mikoa kama Mara, Kagera, Kigoma, Rukwa, Katavi, Mbeya, na mingineyo inayopakana karibu na maziwa makuu kusiwe na shida ya Maji.
english is not her mother tongue!Heading to the wrong direction ❌
Heading in the wrong direction ✅
Hapo ilitakiwa kuwa "English is not his mother's tongue" kwa sababu jamaa unayemzungumzia ni mwanaumeenglish is not her mother tongue!
Obviously 😂 as long as Katiba itabaki kuwa kama ilivyo yeyote atakayekuja atakuwa even worse !😀😀
Tatizo la msingi wengi hawalijui. Hata chadema ikiingia sio ajabu wao ndio wanafanya worse zaidi.
Obviously 😂 as long as Katiba itabaki kuwa kama ilivyo yeyote atakayekuja atakuwa even worse !
😍 umenena lakini hii yote inatokana na kutokuwepo na ile kitu inaitwa nidhamu ya uoga !!Watu wanaotuini vitu hata uwape Katiba mpya hakuna kitu watafanya.
Hao Watu majumbani mwao kuna Biblia na Quran wanaoziamini ndio zinawaongoza lakini nini wanafanya?
Hapo namba 1, edit uandike umeme badala ya madaraka..Mimi ni raia wa kawaida tu lakini nalazimika kumwambia Mhe wetu. Rais kwamba nchi inaelekea pabaya. Nina mifano michache ya kuunga mkono hoja yangu. (1) Tuna tatizo kubwa la madaraka.
Kuna maeneo ambayo yapo madarakani kwa siku mbili. (2) Tatizo la maji. Chukulia mfano wa Jiji la Mwanza ambalo jiji liko karibu na ziwa lakini inachukua hata wiki bila maji. (3) Bei za mafuta.
Bei ya kila huduma sasa imeongezeka maradufu kutokana na ongezeko la bei za bidhaa mbalimbali. Mhe. Rais wewe ni raia namba moja wa nchi hii tafadhali chukua madaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Unampangia??Hamia South Africa au Kenya hakuna shida ya umeme kule mbona
Hey! mwenye kamusi ya oxford anisaidie aisee.I am just an ordinary citizen but I am obliged to tell our Hon. President that the country is heading to the wrong direction. I have few examples to support my point. (1) We have a big problem of power.
There are places where there in power for two days. (2) The problem of water. Take example of Mwanza City where the city is near the lake but it takes even a week without water. (3) Fuel prices.
The price of every services is now doubled due to the increase of prices of various goods. Hon. President you are number one citizen of this country please take charge.
*It is skidding through the wilderness and may plunge into dangerous canyons that endanger the lives of the innocent souls on board. The driver is remotely harnessed by an invincible system of elites as such conflicting interpersonal decisions to steer towards the right path; there is no choice of option lest the breath is arrested and succumbed to protect the evil mission.I am just an ordinary citizen but I am obliged to tell our Hon. President that the country is heading to the wrong direction. I have few examples to support my point. (1) We have a big problem of power.
There are places where there in power for two days. (2) The problem of water. Take example of Mwanza City where the city is near the lake but it takes even a week without water. (3) Fuel prices.
The price of every services is now doubled due to the increase of prices of various goods. Hon. President you are number one citizen of this country please take charge.
Chawa watakataaLice will resist
He or she means there is no powerUngeandika Kiswahili tu mkuu ungeeleweka kuliko "....there in power for two days...... "