Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani.
Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo.
Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko standby, yeye ameambiwa ikitokea mchambuzi yeyote kahoji haya mambo basi amshughulikie.
The Crew inalipwa, ila wanaoingia kichwa kichwa kubeba mabango wana ambulia buku 5 kwa kila mechi, wengine hawapati hata 100.