The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

Will he deliver?

African Union chairperson and Tanzanian president Jakaya Kikwete poses for a photograph with his Kenyan counterpart Mwai Kibaki and UN Secretary General Ban Ki-Moon after the opening session of the summit on the ongoing war crisis in eastern Congo in Kenya's capital Nairobi

UN Secretary General Ban Ki-Moon talks to African Union chairperson Jakaya Kikwete during the opening session of the summit on the ongoing war crisis in eastern Congo in Kenya's capital Nairobi.
 
UN Secretary General Ban Ki-moon attends the opening session of the summit on the ongoing war crisis in eastern Congo in Kenya's capital Nairobi.

Kenya's President Mwai Kibaki arrives for the summit on the ongoing war crisis in eastern Congo, in Kenya's capital Nairobi.

Democratic Republic of Congo's President Joseph Kabila attends the opening session of the summit on the ongoing war crisis in eastern Congo in Kenya's capital Nairobi.

..naona kilio cha wa-Congo kimewafikia viongozi wa SADC.

..taarifa za majeshi ya SADC kusaidia wananchi wa Congo ni za kutia matumaini.

Last edited by a moderator:

...This is nothing but empty rhetoric and will only add to more fighting,and seems huna idea with Congo crisis zaidi ya copy & paste points from somewhere na kwa akili yako TZ na matatizo yote yaliyopo unataka ijiingize in this unnecessary war...go educate urself uelewe kuliko kuja hapa kujionyesha jinsi usivyojua kitu!
 
Talk or go, DR Congo rebel warns

Congolese rebel leader Laurent Nkunda has reiterated a threat to overthrow the Democratic Republic of Congo government unless it holds talks.

The renegade general also told the BBC that his forces were still observing a ceasefire and had only retaliated when attacked last week... MORE
 
Last edited:
Mbona wamechelewa namna hiyo? Gen.Nkundabatware(NKunda) amekuwa akifanya maasi kwa muda mrefu mashariki ya Kongo huku vikosi vyake vikiuwa na kubaka raia wasiokuwa na makosa huku SADC wakiangalia tu bila ya kuingilia kati na kuwakomboa wakongo.Na kama siyo Angola basi leo hii tungekuwa tunasema mengine.Tatizo la Kongo linajulikana na chanzo chake kinajulikana ,hayo mengine ya kusingizia kulinda watusi wakati vikosi vyake vinavyokwena nyumba hadi nyumba vikiuwa wanaume na kubaka wanawake hayaingii akilini......
 
Kagame attacks UN over Congo crisis
Publication date: Thursday, 6th November, 2008

By George Kalisa
in Kigali

RWANDAN leader Paul Kagame has blamed the current DRC crisis on the United Nations, saying there were business interests that were overriding efforts of finding lasting solutions to the human crisis in the region.

He said the UN was evading the problem by creating an impression that the issue was a Kagame-Kabila problem.

“They have turned the DRC crisis into business; the $1b per year, ostensibly spent on ending the crisis, is business for them – they don’t take stock of what they spend on,” he said.

Kagame made the scathing attacks on Wednesday during the weekly press conference at Village Urugwiro in Kigali.
“There are key players in what is happening and the DRC government uses them. MONUC (the UN mission in Congo) do not want to end the crisis; in the end they also want a solution to emanate from Rwanda and Congo,” he added.

“The people who say Kagame and Kabila have the solution to the problem simply add onto the problem. It’s just one way of running away from the problem and I assure you they touch the problem and run away – the ministers from Europe have been flying in for the last 14 years,” he said.

“They have no guts to solve this problem; they just want to appease the people by smiling in the cameras,” Kagame charged.

“What is that Kagame is holding that can address the situation; if there were such a thing, I would release it,” he said.
On the issue of creating a demilitarised corridor in the war- ravaged region, Kagame said the party supposed to ensure this was blind and had a selfish mission.

“MONUC came to DRC with a mandate that is not clear. It supports the DRC government and they end up helping a government that is in the wrong and the UN bows to that,” he said.

“MONUC are expected to be with the clarity of the problem and the formula of solving it. It is absurd the people who would see it work out are either confused about the problem or simply have their own selfish interests to protect,” he added.

On whether Rwanda was using the presence of the Hutu militias in Congo as a pretext to influence events there, Kagame said the parties responsible for the DRC crisis avoid the cause of the problem and support Rwanda’s enemies.
“Why don’t they remove the pretext; why are they happy to live with the pretext? he ironically asked.

The Rwandan leader said with or without the Hutu rebels, Kinshasa’s weakness was evident in the persistent human crisis there; accusing Joseph Kabila’s regime of running the government on extremism and divisive politics.

Kagame disassociated himself from Gen. Laurent Nkunda, saying he is a leader of a Congolese rebel group and not a Rwandan.

He said the DRC government recently fired at Rwanda’s territory to provoke his country into waging a war.

“We knew that and we didn’t fire back. I personally called Kabila over it. He blamed his commanders for what he (Kabila) described as a mistake and we discussed in details the history of the crisis.

“They wanted to divert the problem and drag Rwanda into it but we could not succumb to that trick. Rwanda should not be made to carry the burden of Congo; we have our burdens to carry.”

Rwanda’s Ministry of Foreign Affairs and Cooperation issued a public statement yesterday, urging the international community to urgently deal with the issue of Er-FARllnterahamwe/FDLR, which the Kigali government said it cannot be handled by Rwanda and the DRC alone.

The ministry said Rwanda and the DRC regularly communicate and exchange visits by special envoys.

Meanwhile, the two countries will send delegations to the regional summit convened in Nairobi today to a find a solution to the conflict.
 
Siku za karibuni mapigano yameanza tena DR Congo. Ni vita ambayo majeshi ya Nkunda yanapigana na majeshi ya Serikali.
Mawazo yangu mimi ni kwamba vita kama hizi zinazotokea Africa,kama kwa mfano vita hii,au vita ya Sudan,au matatizo ya LRA,Lords Resisatnce Army,au vita vya Darfur,au matatizo ya Somalia.
Hii ni hali ambayo waafrika wanakata tamaa kuhusu maendeleo ya Afrika. Wanadhani kwamba baada ya Wakoloni kuitawala Afirka kwa miaka 100,basi,Afrika imekwisha,haitainuka tena,siyo,leo,siyo kesho,siyo siku yoyote. Ndiyo maana watu wanapigana vita hizi.
Lakini kama Wakielimika,yanaweza kuwepo matumaini kuhusu Afirka. Mara nyingi huwa naisikiliza Wapo Radio,kuhusu matatizo ya Warenchoka na Wanchari,na watu wa Dar es Salaam kila wanaposikia kuhusu haya matatizo,huwa wanauliza,Hivi huko Tarime kuna matatizo gani kuhusu hao watu? Kila kukicha tunasikia kuna mtu amekatwa na panga? Lakini ukienda kule unaona mara moja matatizo ni nini. Watu hawajaelimika. Kuna matatizo,kwa mfano ya ushirikina,vifo vinavyosababishwa na ushirikina,na haya mambo utaona yanatokea katika majimbo ya nchi ambayo kiwango cha elimu kiko chini. Kwa hiyo tunahitaji kuwekeza zaidi katika elimu,rafiki zetu wa nchi za nje watusaide kuwekeza katika elimu. Kama watu wa Sumbawanga wataelimika kama watu wa Kilimanjaro,matatatizo ya ushirikina yatakwisha. Kwa sababu hatusikii mauaji haya yanatokea Kilimanjaro,au hata hapa Dar es Salaam.
Mara ya mwisho yalipotokea ni yule kijana Rama,nadhani anaitwa, alipokutwa anakula fuvu la mtoto aliyemuua. Lakini ile ilikuwa ni hali ambayo yule kijana kwanza alimtapeli Mama Gertrude Rwakatare,na akapata marafiki wengi,lakini baadaye,baada ya watu kusahau lile tukio,akatoka kufanya visa vingine,ili watu wamuone tena,wampe soda na maandazi.
Kwa hiyo nasema,tunahitaji waelimike Sumbawanga,siyo waelimike sawa na Amerika,ila waelimike kama Kilimanjaro,ili tuweze kuuondoa ushirikina.
Rais Kabila hawezi kusema kwamba hawezi kujadiliana na Nkunda. Lazima ajadiliane naye. Na,tusipeleke majeshi kule kwa sababu tu Rais Kabila hataki kujadiliana na Nkunda.
Isipokuwa kinachohitajika ni majadiano na mantiki. Kwamba lazima wajadilane na Nkunda kwa kutambua kwamba Nkunda analo Jeshi ambalo linaleta usumbufu kwa raia,lakini kwa mantiki,kwa kuelewa kwamba Nkunda ni muasi,fisadi,ambaye anafanya mambo ambayo ni kinyume cha sheria ,kwa kuanzisha vita.
Pia DR Congo,na Afirka yote,kuna matatizo makubwa ya afya,na vita kama hizi zinakwamisha juhudi ya kuyapiga vita magonjwa. Kwa Nkunda lazima aende kwenye majadiliano,lakini bila kuleta masharti mengi,kwa kuelewa kwamba yeye ni muasi.
Kwa maendeleo ya Afrika,hawa watu lazima waache vita,waelewe kwamba huu sio mwisho,Afrika itainuka tena kama tukifaulu kuziaacha hizi vita,kama tukiweza kuelewa ni kwa nini tunapaswa kuyaacha haya magomvi yetu. Kama hivi sasa Barak Obama amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani,tuitumie fursa hii kuleta maendeleo Afrika,kwa kujaribu kupata wawekezaji na missaada zaidi kutoka nje. Tusichukulie kwamba Barak Obama amechaguliwa kwa bahati mbaya tu kuwa Rais wa Marekani,kwamba Waamerika walighafilika,isipokuwa tuitumie kwamba ndiyo nafasi yetu ya kuleta maendeleo Afrika.
Huu uwe wakati wa kuijenga African Union,siyo kwa haraka nyngi kama anavyopendekeza Gadafi,isipokuwa,baada ya miiaka 50,Afirka iwe na Rais mmoja. Tufanye mambo polepole,kama alivyopendekeza Thabo Mbeki. Tuijenge African Union polepole lakini tudhamirie kuijenga African Union yenye nguvu sana. Tuiejenge na kuikamilisha baada ya miaka 50. Yaani,sio watoto wetu,ila watoto wa watoto wetu. Sasa tuna matatizo mengi sana ya kutanzua ya afya na elimu. Kuna matatizo ya ufisadi. Tukiyatanzua haya matatizo,hata kwa kiasi,watu wataanza kufikiri,waafrika watanza kufikiri,na Afrika itaendelea,watu wataweza kujadili ni mabadiliko gani wanayotaka kuyaona katika mfumo wa Uchumi,ili kila mtu aweze kupata maendeleo.
Watu wa Sudan hata sijui kama tunaweza kuwaita Waafrika,kwa sababu hawasikilizi kitu chochote tunachowaambia.
Lakini ingekuwa bora kama International Criminal Court ingekaa kando,tupate nafasi ya kuyatanzua haya matatizo ya LRA,na Sudan,na matatizo ya Rwanda Genocide,kwa mfano,juzi Rose Kabuye,mkuu wa itfaki Rwanda, amekamatwa na polisi wa Ujerumani,siyo kwa vile wanawajali Waaafrika waliokufa kule,isipokuwa kwa ajili ya wale marubani Wafaransa waliokufa. Ni bora Waafrika waachiwe wayatanzue matatizo haya. Ingekuwa siyo matatizo ya ICC,Joseph Kone angekuwa tayari amesaini mkataba wa amani.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya watu kukosa elimu na kufanya mabo mengi ya vituko. Matatizo ya Afrika siyo kama vile Adolf Hitler anawaamrisha Wajerumani kupigana vita. Wajerumani walikuwa ni watu wenye elimu. Hapa ni hali ambayo watu ambao hawana elimu wameamrishwa kufanya mauaji.
Jambo moja muhimu analopaswa kuambiwa Nkunda,ni kwamba kazi yake siyo kucjinja watu wasiokuwa na hatia ili kuilazimisha Serikali ya Kongo kuongea naye. Kamanda yeyote wa Jeshi,kama ameteka eneo lolote,lazima ahakikishe kwamba anadumisha usalama wa raia katika sehemu ambayo ipo katika milki yake.Ndivyo alivyokuwa anafanya Mao Zedong Jeshi Jekundu lilipokuwa linapigana na Guo Mitang au na Wajapani.
 
--------------------------------------------------------------------------------

Mzee wa Kazi,

KABILA hawezi kutawala Kongo, kama amaeshindwa hata kuunda jeshi la kumtisha 'nyau' unategemea nini.

Kama Tanzania inataka amani ya kweli kwa majirani zake na nje yake lazima imsapoti Luteni Jenerali Laurent Nkunda. Nkunda ndio dawa ya Kongo na sio vinginevyo.
JAPO hukusema moja kwa moja lakini ninadhani unachotaka kuzungumza ni kwamba tanzania ipeleke wanajeshi 50,000 kumsaidia Kabila kustabilize nchi hiyo. Sio lazima wote watoke jehsini, baadhi yao wanaweza wakawa wanajeshi,wengine polisi, wengine JKT na JKU na wengine wamachnga na vijana wenye afya na uwezo wa kufudnishwa kazi za jeshi na ujuzi wa aina moja au nyingine kwa miezi michache pamoja na askari wote wastaafu wanaoozea majumbani kwao sasa lakini wana uwezo wa kurudi uwanjani na kufanya vitu vyao.

Jamaa hawa wakienda Kongo watagawanywa katika makundi haya:

1. Jeshi ambalo ni walimu na wahadhiri wakati huo huo na kazi yao kubwa kwanza kuleta amani na usalama kisha kuhakikisha shule na vyuo vyote Kongo vinafanya kazi.
2. Jeshi ambalo ni madaktari na manesi ambao baada ya amani na usalama wataendesha hospitali, vituo vya afya na zahanati kiasi cha kuwarudishia wakongomani utu na heshima yao tena.
3. Jeshi litakalokuwa pia ni polisi kuhakikisha amani, usalama na utawala wa kisheria unakuwepo kila mahala Kongo.
4. Jeshi ambalo litakuwa watumishi wa umma watakaowasaidia Wakongo kuanza kujifunza jinsi ya kuendesha serikali, mahakama, bunge na mambo kama hayo,
5. Jeshi litakalokuwa wahariri na waandishi wa habari kusaidia Mashariki ya Kongo anagalu kuwa na magazeti mawili ya Kiswahili, redio mbili na televisheni moja ili watu waanze kuelimika, kuhabarika na kustarehe,
6. Jeshi litakalokuwa na vijana toka Mererani, Geita, Mwadui na sehemu kama hizo kwenda kusaidia kwa msaada wa serikali yetu kuanza kuchimba madini na kuyauza kwa faida yao na ya Wakongo na serikali yao

na kadhalika, na kadhalika au sijakusoma mwenzangu?

Maana kwa mtindo huu miimi naona wakongo watpata na Watanzania wanaokwenda kuwasaidia nao watapata na sintoshangaa GDP per capita yetu ikapanda haraka haraka kama ile ya RWANDA kwa Bw. Kagame!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…