The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

_45147708_bundles_afp466b.jpg


_45147710_soldiers_afp466b.jpg



_45147709_family_ap466b.jpg



_45147711_people_ap466b.jpg


_45147712_un_afp466b.jpg



_45147714_tank_afp466b.jpg


_45147713_jeep_ap466b.jpg

BBC NEWS | In Pictures | In pictures: Thousands flee Congo fighting
 
Hivi hawa the so called Peacekeepers wanafanya nini huko?

Wameshindwa kujilinda wenyewe ndo watalinda wananchi? Hata wanajeshi wa serikali wameingia mitini!

Tatizo ni kwamba hata wanajeshi wenyewe hawaoni haja ya kupigana..maana serikali yenyewe iko too corrupt! haingalii maslahi ya wananchi..Africa yetu mpaka mtu unaweza changanyikiwa ukiifikiria.

Kifupi jamaa hawana msaada..ni ile tuu kelele ya "international community" kuonyesha kwamba they are doing something for Africa. Nothing more.

Kikubwa Kabila akae Chini na Nkunda! wazungmze. Otherwise..Goma will FALL na DRC itakluwa nchi mbili kama ilivyo Ivory Coast!

Kwa sasa tragedy is looming ( tragedy is already happening!) in Congo. Ila blame should squarely be on Kabila!
 
It is too bad! I have been in Congo Kinshasa several times recently. There is no single sign of war there. Congo is too huge... the fight in the east will not make the westerners unrest. The govt's HQ is in the west... Kinshasa. Ni muziki kwa kwenda mbele... Club Chez Ntemba and the like.

Wanaotabika na kuumia ni watoto na kina mama... utamhurumia yule mama hapo juu yeye anaswaga mbuzi na katoto kake pia... Sidhani kama walifika nao mbali bila kuporwa.

Something must be done to stop this mess... SADC members should sit and act now. We don't have problems in Zimbabwe... we have big problems in Eastern Congo. lets focus on Congo and help to stop the bloodshed.

Some people say Nkunda is a revorutionalist, I might agree. But why killing and displacing innocent civilians, women and kids in particular? Why???
I can't say Gen. nkunda is right nor Kabila. But definitely, one of them is wrong!
 
HILI nadhani nilishawahi kulizungumzia. Tanzania ina kila sababu hivi leo kushirikiana na umoja wa mataifa ili amani iwepo Kongo kwa manufaa sio tu ya Kongo bali pia Magharibi ya Tanzania.

Ninashangaa UN inachagua majenerali wa Kihindi, Kihisipania na kwingineko na kuwaacha Majemadari wa Kitanzania ambao wana rekodi nzuri ya kuwadhibiti watu kama Jenerali Laurent Nkunda katika kipindi kifupi tu.

Je, Watanzania na jeshi letu baada ya Uganda tumekuwa waoga kiasi cha kushindwa kuwasaidia watoto,wanawake na vizee vinavyosumbuliwa na wakorofi huko Kongo? Utu na ubinadamu wetu umekwenda wapi?

Ninaamini Mwalimu Sr. angelikuwepo asingeitazama Kongo kama wachezaji kwenye Uwanja mpya wa Taifa wakicheza mpira tena wa Kirafiki!! Angefanya maamuzi yenye faida kwa Watanzania na Wakongomani wote!

Tuamke jamani tusiwe vipofu wa kuona ukweli kuwa BILA TANZANIA AMANI KONGO ITAENDELEA KUWA KITENDAWILI KWA MIONGO MINGINE 2 KAMA SIO 3!
 
.....kabila is just another bogus African Politician na huu ujinga wake sitashangaa na yeye akaishia kuwa mkimbizi na Kinshasa to fall into rebels,sijui kwanini hataki kuweka mambo sawa na kina Nkunda ambao wanachotaka ni security tuu from interahamwe,kina JK wanajua ndio maana hawataki kuingilia na bwana mkubwa(US) is not fan wa kabila kwa sasa baada ya kuwatosa na kumchukua mchina as major investor,sitashangaa kusikia US na kina JK wanamsaidia Nkunda kinamna!
 
JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO JAMANI YAHITAJI MSAADA !!!

MACHINGA tuko tayari kwenda kuwasaidia wanawake, watoto na wazee wa Kongo hasa sisi tunaotokea Mbeya, Tabora, Iringa, Kigoma na Bukoba.

Tunajua kazi hii ya kuleta amani Kongo hata bila Jeshi letu sisi wenyewe tunaiweza.

Tunachoomba ni kwa serikali na UN:
-kutupa silaha,
-viafaru,
-magari ya kijeshi.
-mshahara wa miaka 3,
-mavazi na zana zote za kijeshi,
-makamanda wa kuaminika toka vita vya Kagera tena waliostaafu acha walioko wale nchi,
-na logistiki zote ikiwa na vifaa muhimu vya mawasiliano ya elektroniki ili kurahisisha kazi.

JAMANI ulaji huu, mbona JF msiniunge mkono tukirudi hapa wote tumeukata.

Wewe unafikiri majemadari wa Kikongwe Mugabe kwanini hawamuondoi. Mwee, kawarahisishia kubeba utajiri wote toka Kongo hadi vihongwe vinavunjika mgongo hii leo nao wamejenga mahekalu Kongo kwenyewe, Namibia na South Africa na sasa wanatafuta tu pensheni yao kabla hawajaritaya!


Hebu angalia hivi sasa ni jeshi la Kabilalenye vibaka na wezi na wababaishaji na sio lile la Nkunda. Mwenzetu nchi imemshinda na umri mdogo wa kuweza kuyashughulikia mambo kama hayo. Hana Baba, Baba ni Tanzania jamani!
 
Mmmhhh!!! nimeangalia ardhi ya Congo ilivyo nzuri, kweli mungu anatuadhibu hapa duniani. Vita na mateso yote yale ya nini kwenye nchi ambayo inaweza kuwa na neema kama ile?

Sijui lini Afrika tutajifunza!
 
Mbona Kabila hadi hivi sasa hajaomba msaada kukabiliana na Nkunda kama alivyofanya yule jamaa wa Comoro?
 
Kikwete anatakiwa kuchukua hatua tumeenda kuwasaidia commoros na hawana kitu ni kwa nini tusimsaidie huyu jamaa yetu kabila. Kabila anapitisha vitu vyote dar na tunaweza kufanya nao biashara nyingi sana kama madini na wafanyabiashara wa Kitanzania kufanya biashara huko Kongo. Kwa manufaa ya Taifa Tanzania inatakiwa kuwa na Kongo agenda.
 
Tanzania inatakiwa kuangalia mbali hatuwezi kuachia nchi nyingine zifanye biashara Congo halafu sisi tunashangaa. Tunatakiwa kusaidia Congo kijeshi na kufanya biashara kama kuuza nondo, rangi, biashara ndogondogo, madini na vilevile hali ya utulivu itasababisha Watanzania wafanya biashara kuweza kukuza biashara zao. Tanzania inatakiwa kuwa na Agenda ya Congo na raisi aseme ni nini Agenda ya Tanzania Congo kiuchumi na kisiasa. Hatuwezi kama nchi kutunza wakimbizi halafu nchi inaanza kuendelea sisi tunashangaa tu. Kikwete Changamka na unauwezo wa kuiweka Tanzania mahala pa zuri pa kuwa super power wa eneo hili. Vilevile Kabila ni Kijana wa Kitanzania hivyo tunauhusiano wa karibu. Kikwete fanya kweli na si urafiki wa maneno tu.
 
IF we aren't going to tame the warlike, inhuman soldier of Laurent Nkunda in Eastern Congo am sure, that, first small bands of hungry soldiers will venture into Rukwa, Tabora, Kigoma and Kagera and then we shall learn what kind of folly we were in when we failed to bring peace to Eastern Congo. Economically speaking too, here is a market rendered inaccessible because of one man and a small nation like Rwanda?

Again, if the UN was really serious in ending raping, killing and maiming of the Congolese they should not have exported 'luxury type soldiers there' am sure the salary that the 17,000 soldiers are paid now can be paid to a contingent of 50,000 Tanzanian militia and soldiers who will do that work of bringing peace to the Democratic Republic of Congo in under one year. Let's go to Congo, let us rescue the suffering women, children and old people there.
 
TRLIONI MOJA NA ROBO ZA KITANZANIA ZINALIWA NA ASKARI WAOGA TOKA BANGLADESHI, INDIA NK. HUKO CONGO



According to President Kagame of Rwanda the UN is splushing about $ 1 billion every year in Congo without any results to show except the continuing suffeing of the poor Congolese people.

This amount is equal to Tshs.
1,000,000,000,000/-. The amount can pay a contingent of 50,000 Tanzanian soldiers, policemen and militia about $2,000 each monthly for one year. By this time, peace and unity would have returned to Congo and our askari will remain to see establishment of law and order, helping people set business as well as training the new Congolese army and policemen.

In addition, our boys will ensure all thieves who now steal Congo wealth freely are taken to ask and start coughing up taxes so that the government can pay soldiers and other civil servants.

The current UN force is a blue collar union from selected countries who have come to enjoy life in the battered Congo instead of bringing relief and hope to its people.

JE, FEDHA HIZO KWELI HAZIWEZI KUFAIDIA NA VIJANA WETU TPDF?
 
IF we aren't going to tame the warlike, inhuman soldier of Laurent Nkunda in Eastern Congo am sure, that, first small bands of hungry soldiers will venture into Rukwa, Tabora, Kigoma and Kagera and then we shall learn what kind of folly we were in when we failed to bring peace to Eastern Congo. Economically speaking too, here is a market rendered inaccessible because of one man and a small nation like Rwanda?

Again, if the UN was really serious in ending raping, killing and maiming of the Congolese they should not have exported 'luxury type soldiers there' am sure the salary that the 17,000 soldiers are paid now can be paid to a contingent of 50,000 Tanzanian militia and soldiers who will do that work of bringing peace to the Democratic Republic of Congo in under one year. Let's go to Congo, let us rescue the suffering women, children and old people there.

nakuunga mkono, kwani waswahili walisema simba akionja damu ya mtu basi ataendelea kula banadamu. solution ni kuwazui hao watu wankunda kuendelea na hizo fikra, pili ujambazi sehemu hizo za rukwa, tabora na kigoma mpaka kagera, shinyanga ni kutokana na kuwepo na waasi wanao zagazaga huko ovyo.
tatu ni hilo la biashara au la kiuchumi, maana watu wa tz na wa congo hawawezi kuzalisha mazao na kutembeleana kwa minajili ya biashara kwa uhuru zaidi.sasa kama membe alizungumzia kujiunga na oic , kwa ajili ya uchumi, mbona wanashindwa kujengeneza policy ya kuikomboa congo kwa ajili ya hayo maslahi ya kiuchumi.maana congo ni tajiri au ni stategic partner kama ilivyo china kwa usa.so congo for tanzania
 
DRC ni pagumu sana, pale kuna Mkono wa mtu, wakina Kagame na Hima Empire. Hawa walikuwa na lengo la kuitawala Afrika Mashariki na kati. Ndio maana kati ya watu waliopigana katika jeshi la Uganda ni Kagame na marehemu Rwigyema. Tatizo Kagame akatofautiana kiasi na Museven, sasa huyu Nkunda alisaidia jeshi la Kabila (baba yake, wakati huo akiwa na prof. Wamba Dia Wamba aliyekuwa UDSM).

Hivyo mtandao huu ni mkubwa, kuna wanapata maslahi pale vita vinapoendelea, wanaiba rasilimali za DRC, kuna wanajidai wanatetea makabila yao kumbe malengo yao ni kutaka kuimega DRC. Lakini nyuma ya hawa wote kuna watu walewale waliokuwa wanamuunga mkono Savimbi. Savimbi walimtumia wakaiba waliyoiba Angola, basi ikawa Huambo alikokuwa ndio ngome yake ni kama sio Angola, lakini waliokuwa wanapata maslahi kwake walipoona huo mtego sasa utajulikana wakamuacha akauliwa. Na ndio kama alivyofanyiwa Sadam. Hivo kwa Tanzania kujiingiza kwa Nkunda ni kujitafutia matatizo makubwa, Nkunda si Bakar wa Comoro.
 
seems wengi humu mkiona picha za wakimbizi basi uwezo wa kufikiria nao unayeyuka na kuanza kuimba JK peleka majeshi peleka majeshi...hatari sana hii na viongozi wengi wanaokurupuka wanaishia pabaya,namsifu JK kwa kukaa pembeni na kujaribu kutafuta maelewano btn hawa jamaa,inabidi wengi wenu mnaoandika humu muangalie kwa undani tatizo la Congo na nini sababu ya haya mapigano kuliko kuja hapa na stupid consipiracy zenu za HIMA EMPIRE....mnanikumbusha ushabiki wa Americans kumchapa Saddam na WMD!
 
With all power held by Kinshasa, the DRC will never know peace

Laurent.jpg


Congolese rebel leader Laurent Nkunda. Photo/REUTERS

Six months ago, I travelled to visit Gen. Laurent Nkunda at his headquarters in the wild and high Masisi territory of North Kivu in the Democratic Republic of Congo (DRC). I wanted to hear why the rebel general thought it necessary to continue waging war. Today, Nkunda’s forces are threatening to capture the provincial town of Goma after routing government troops.

Fourteen years ago, the remnants of those responsible for the Rwanda genocide fled into then Zaire. About 8,000 remain there today, grouped into the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), occupying a chunk of the Walikale territory in North Kivu where Congolese Tutsi, among others, have become a proxy-target for their schemes to one day again capture Kigali. This partly explains why war continues to rage in the DRC.

Mobutu Sese Seko was removed from power in Kinshasa in May 1997 by a (largely) Tutsi-inspired force wanting to put an end to his misrule, which had allowed the Rwandan génocidaires to set up camp in Zaire and operate there with relative impunity. His installed successor, the one-time revolutionary colleague of Ché Guevara, Laurent Kabila, proved little better. He soon turned against his Rwandan and Ugandan sponsors as he tried to reverse notions that he was simply a foreign stooge and cement his Congo support base, showing little heart and plenty of darkness as he went easy on the génocidaires.

Democratic elections

After Kabila senior was assassinated by his bodyguard in January 2001, his son and successor, Joseph, toed his line. Well before the first-ever democratic elections in October 2006 won by Kabila and funded by the West to the tune of a $1billion, there were rumblings in the jungle to Congo’s east.

This is about the time and place where Gen Nkunda comes into the frame.

A native of North Kivu, Nkunda had abandoned his psychology studies to join the Rwanda Patriotic Front (RPF) in 1990. After the RPF seized power and stopped the genocide in Rwanda in July 1994, as an officer of the Alliance for Democratic Forces for the Liberation of Congo (AFDL), Nkunda was part of the invading force that so quickly toppled Mobutu. By 2003, he was a Congolese brigadier-general, the regional commander in Goma, the capital of North Kivu. He left in disagreement when he says he saw the three key issues for Tutsi security – the right of return of dispossessed Congolese Tutsi, the safeguarding of their national identity, and the disarmament of the génocidaires – not being handled properly.

Today, Nkunda is viewed by many as an international outlaw, the leader of the National Congress for the Defence of the Congolese People (CNDP), a broad anti-government front purportedly pursuing the defence of minority tribes in the Kivus. Controlling an area claimed to be “half the size of Uganda”, the CNDP has refused to disarm and integrate its 8,000 (or so) troops into the government’s 135,000-strong Forces Armées de la Républic Démocratic du Congo (FARDC). The Congolese government has issued an arrest warrant for Nkunda on charges of insurrection, war crimes and crimes against humanity relating to his role in the suppression of an army mutiny in Kisangani in May 2002 and the Bukavu incident in June 2004.

Such obstinacy has pitted Nkunda and his men against more than Kinshasa. The UN is leading the world’s largest current peacekeeping mission in the Congo, with over 19,000 UN military and civilian peacekeepers in the Central African nation at an annual cost of $1.15 billion.

Despite a UN arms embargo and targeted personal sanctions against him, the 20,000 FARDC troops deployed against Nkunda have so far failed to defeat the renegade general. He and his men have a cause for which they are clearly willing to fight that bit harder than the FARDC.

Tentative ceasefire

The tentative cease-fire signed this January allowed the first-hand visit through government lines to Nkunda’s headquarters.

At first, AK47-toting government troops would not allow us through the péage, a single toll across the road in Sake, outside Goma. After much haggling and several phone calls to mon general in Kinshasa and mon colonel in nearby Goma, our jeep was able to break free of the gathering crowd, their bloodshot eyes consistently flicking over the vehicle’s contents, and head off through the demilitarised buffer zone and up into the hills.

The general was to found in the town of Kitchanga, at the end of a four-hour backbreaking ride over some of Africa’s worst roads. A slushy earth track climbed through the forest, breaking through the rain and mist into green meadows spotted with grazing cattle. We could have been in England, save for the omnipresent, camouflage-bedecked, stoic-faced troops en route, the shoeless, snotty-nosed, pot-bellied small children splashing in puddles, and men and women, young and old, hauling enormous loads carried by a rope slung around their foreheads. As we progressed, avoiding four-tonne trucks heaving with charcoal bags and sheltering human bodies slipping and sliding their way down the mountain-sides, the slush giving way to a corrugated volcanic topping bisecting bright green jungle.

Functional wooden house

We waited in a nondescript functional wooden house, replete with an Oxfam-sponsored outhouse, for the general to arrive. The pink-draped wooden furniture and concrete floor spoke of a certain, if humble, privilege in a town where ramshackle reed huts were de rigeur. The general’s arrival was announced by the entry of a rail-thin, tall soldier carrying a grenade launcher. His smart appearance and professional manner contrasted with the earlier FARDC encounter. Outside were several more, two unsmiling types carrying belt-fed machine-guns and looking a little more than purposeful.

Enter the general. Dressed in a dark, three-piece suit carrying a large cane with a silver-eagle as its handle, he was less Fidel Castro than Wesley Snipes. His affectations display the wear and tear of his being at war for nearly two decades. But he denies waging war for war’s sake.

After leaving his post in the army, Nkunda recounts, he “organised an intervention” against killings of local Tutsi, Banyamulenge, in Bukavau in South Kivu in 2004. “For me it seemed like another genocide,” he says. “For me to sit and do nothing and to watch the FARDC and FDLR co-operate would be to betray the blood of my Rwandan brothers.” And so the Nkunda legend was born...

DAILY NATION - With all power held by Kinshasa, the DRC will never know peace
 
seems wengi humu mkiona picha za wakimbizi basi uwezo wa kufikiria nao unayeyuka na kuanza kuimba JK peleka majeshi peleka majeshi...hatari sana hii na viongozi wengi wanaokurupuka wanaishia pabaya,namsifu JK kwa kukaa pembeni na kujaribu kutafuta maelewano btn hawa jamaa,inabidi wengi wenu mnaoandika humu muangalie kwa undani tatizo la Congo na nini sababu ya haya mapigano kuliko kuja hapa na stupid consipiracy zenu za HIMA EMPIRE....mnanikumbusha ushabiki wa Americans kumchapa Saddam na WMD!

Nakuunga mkono Mkuu isipokua ukutumia lugha ya Kidiplomasia hapo juu.

Nkuda anazo points, kwa saabu niwalewale wa HUTU walio chinjana na wa TUSI pale Rwanda sasa wamekimbilia Congo, KABILA kwa kukosa uwezo na kua nchi yake kubwa anashindwa kuweka usalama na ku control haya makabila yenye uasama wa mda mrefu, kwa hiyo wa TZ tusiwe wavivu wa kufikiri na kuanza kukurupuka
 
Global Call for Action
DEMAND END TO WAR-RAPES IN GOMA DRC!


October 31, 2008 || Goma, Congo --
The 10-year civil war of the Democratic Republic of Congo battle has taken a turn for the worse this week, as fighting between several warring groups rages outside the city of Goma, long a safe haven for refugees of the war. The war has killed approximately 5.4 million people since 1998, and tens of thousands of women and many children have been systematically raped by warring groups. Today, as the war closes in on Goma, fresh atrocities are occurring, including rapes of women and vulnerable children by drunk soldiers. We must act to better protect residents from further violence and denounce sexual violence used as a 'weapon' of war.

We, the undersigned, urgently urge Congolese, UN and other key parties in and outside the DRC to act urgently to PROTECT, PREVENT and RESPOND to violence and brutal rapes of women and children in the embattled area surrounding the city of Goma, and to protect civilians of North Kivu, where there one million internally displaced people (IDP). With an estimated 20,000 refugees flooding into the area surrounding Goma, the situation there is a tinderbox, and hunger is driving the violence. The increased pitting of people against each other along ethnic lines represents a very dangerous reality. Since August, when the fighting began to escalate, mass rapes have increased – 40 a day by some estimates. We must stop the violence happening today– and tomorrow-- through our global action and voices.


Reports from Heal Africa in Goma, one of the few humanitarian NGOs still operating in Goma which helps rape survivors, stress the urgent need for UN troops to intervene to protect civilians from violence – and this includes sexual violence. Protection is also needed to help guard humanitarian and local hospitals who operate as impartial, independent professionals helping the displaced and wounded, including survivors of sexual violence. With hunger and looting on the rise, they are being targeted.


Recently a broad coalition of Congolese women and survivors groups in eastern Congo publicly denounced rapes in the Congo and issued a global call for solidarity action, and for their voices to be heard. We have heard their voices and we stand in solidarity with them, demanding world leaders, and belligerents in the DRC conflict act immediately to stop the violence, including rapes in Congo:


These actions include:
· Demonstrate via concrete action and public statements their recent global commitment to UN Security Council Resolution 1820on women, peace and security, that demands the "immediate and complete cessation by all parties to armed conflict of all acts of sexual violence against civilians" and affirming that "rape and other forms of sexual violence can constitute war crimes, crimes against humanity or a constitutive act with respect to genocide."
· Deploy increased UN Peacekeepers (MONUC) to protect civilians from attack – including gang rapes of women by drunk soldiers reported in Goma. MONUC must intervene to stop rapes!
Right now, all peacekeeping bodies are making what relief workers brand a 'half-hearted' and inadequate response to violence. The MONUC troops must be actively deployed to protect civilians. This action by MONUC and the international community would directly support SR Resolution 1820 and international laws that view these war rapes as'sexual war crimes.'
· Deploy MONUC peacekeepers to protect displaced civilians hoping to return to their homes.
· Provide US and UN representatives, along with Congo MONUC and State Dept African Affairs representatives, with the mandate, authority and resources to take clear actions to help broker a durable peace in North Kivu, and to demand that key warring actors support Sec Res 1820by stopping war-rapes and atrocities against civilians, and instead, actively protect civilians from violence and rapes.
· Create a Sexual Violence Rapid Response Unit within MONUC and create small teams at the different IDP centers that include local women to coordinate MONUC's and the humanitarian community's response to rapes, and assist raped survivors to safely access emergency medical and counseling services from HEAL Africa and frontline NGOs equipped to assist.
· Provide immediate increase of World Food Program donations to Goma, which now has ¼ of the rations needed, based on HEAL Africa's estimates. The lack of food is causing fierce competition for available resources, and threatens the relationship of communities being forced together in close proximity. Hunger is driving violence.
·  Local Responses needed:
· Implement a coordinated local emergency plan to respond to the current increase of rape that includes:
o Units protected by MONUC forces who can reach raped women amidst fighting
o a central mobile telephone number for reporting rapes,
o linking relief workers at the few intl NGOs active around Goma (MSF Belgium, IMC, Norwegian Church AID, etc.) and at IDP centers in North Kivu to key contacts and staff who have mobile and fixed medical teams to assist rape survivors.
o Similar steps are needed in South Kivu, where Panzi Hospital coordinates responses and care for survivors of sexual violence in Bukavu. Panzi has also been targeted by violence, and needs further support.
o Support and equip relief teams to provide armedPROTECTION and FUEL, WATER and FOOD to internees in IDP camps in North Kivu, and to provide protection against sexual violence in the camps by recruiting women and men chosen by camp leaders to receive training in post- rape counseling and medical referral for rape survivors.
o Recruit and train local men and women from existing NGOs in Goma who have programs and trained counselors to work in the IDP camps, and refer survivors to these local NGOs for supportive services and shelter. Local NGOs are receiving survivors in their homes and villages and need to be directly linked to arriving emergency medical providers and camp managers.


NOTE: This petition will be sent to UN,US, Congolese and other key leaders and actors in government and civil society to demand action today to stop the violence in Congo.


CONTACT: For further information or media requests, contact: info@healafrica.org or tel: 360-863-3380.


Please add your name below (Name/Affiliation/Country).
1. Judy and Richard Anderson, Executive Directors, HEAL Africa, Goma, DRC
2. Eve Ensler, V-Day, NYC, US & global
3. Dr. Ruku Oyaku Bhileni, Vice-President and Co-founder, Congolose Physicians for Peace (affiliate of IPPNW-Nobel Peace Prize 1985), DRC.
4. Anne-christine d'Adesky, Journalist , Talk to the Future media, US – Africa
5. Laurie Gagne, Director of the Edmundite Center for Peace and Justice, St. Michael's College, Colchester, Vermont , US
6. Amanda Lugg, African Services Committee, NYC, US
7. Lucy Quacinella, Attorney, Multiforum Advocacy Solutions, San Francisco, CA, US
8. Lynn Kersey, M.A., M.P.H., Executive Director, Maternal and Child Health Access, Los Angeles, CA, US
9. Ayesha Imam, Women's Human Rights Activist, Senegal/Nigeria


--
Anne-christine d'Adesky
Producer & Host
Talk to the Future
talktothefuture@gmail.com
(415) 648-1728
(415) 690- 6199

'Talk to the Future:
A Public Conversation with Today's Boldest Voices'
 
Tanzania tuna kila sababu, Kiutawala na Kiuchumi kuingia Kongo...
Sasa hivi hata biashara ya reli ya kati itakufa kwa sababu ya mjinga mmoja anayeweka madai ya Watusi.. Ni madai haya haya miaka ya 60 Watusi waliweka dhidi ya Wahutu ndani ya Rwanda na Burundi kwa sababu wanajiona wao ni mbegu bora zaidi..Kweli walitawala kwa muda mrefu lakini siku ya siku ilipofika, historia mabaya na inayotisha iliwekwa...
Ni kweli kabisa kuwa dhumuni ya uvamizi huu ni kutaka kuipanua Rwanda ambayo ina tatizo kubwa la ardhi na hata Mwalimu Nyerere aliwahi kusema wakati akijaribu kuwapatanisha Wahutu na Watusi..

Huyu Mhuni sii raia wa Congo hivyo kitendo chake cha kuteka ardhi ya Kongo ni kukiuka kanuni za Umoja wa Mataifa..Inajulikana sana miaka yote kuna wanyarwanda wahamiaji kibao Goma na miji ya karibu yake lakini hata hivyo ni fadhila ya Wakongo leo imekuja watokea puani...Walitaka kujaribu hivyo hata Tanzania baada ya vita wakidai wanawasaka wahutu waliokimbilia Tanzania..

Kikwete kama mwenyekiti wa Umoja wa nchi huru za Kiafrika ni LAZIMA afanye vitu kwa maslahi ya Tanzania.. yaani nasi kama nchi za Ulaya ama NATO tutazame maslahi yetu kiuchumi kwani vita hii hadi sasa hivi imepoteza pato kubwa sana la Taifa letu ktk usafirishaji wa mitambo ya uchimbaji madini, magari, madini yenyewe, pamoja na malighafi kupitia Bandari yetu..Hali ambayo nina hakika ita slow down pato la Taifa wakati mgumu kama huu...Sisi ndio waathirika wakubwa kuliko nchi zote jirani ya mapigano haya.
Iko haja kubwa ya kuingia Kongo kuwasaidia jamaa zetu, na pengine hata kuingia mkataba na kabila kuhusiana na madini hayo hata iwe usafiri wake tu...

Kuna kitu kimoja tu kinachonipa shida kuamini kama tunaweza kufanya hivyo kwa sababu Vifaa vingi vya kivita vilipitia kwetu wakati wa Biashara za sangara kama ile sinema ya darwin's ilivyoonyesha..Seriukali yetu walikataa kuhusika na kibaya zaidi ni kwamba silaha hizo zilikuwa zikienda kwa hawa jamaa, sasa isije kuwa sisi tuko Upande mmoja na Kagame na dhamira yake.
Nina hakika kuna maofisa wa jeshi letu Kigali, hadi Ubalozini wanajeshi kibao.. msikaji wangu mmoja hapa ni Mnywarwanda kanambia alishangaa kuona Wabongo (wanajeshi) walivyojaa huko..
kwa hiyo pengine tunachoomba ni kinyume cha hali halisi..
 
Back
Top Bottom