The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail


Mimi nadhani kama kuna watu wanaomsifia Rais John Magufuli na kama tunaona wanafanya vizuri, tujifunze kuona vizuri pia kama wakipatikana wengine wanaomkosowa. Kwangu mimi, wanaosifia na wanaokosowa lengo lao ni moja - kutaka aendelee kufanya vizuri.
 
It is highly doubtful you understood the article.
 
Mimi nadhani kama kuna watu wanaomsifia Rais John Magufuli na kama tunaona wanafanya vizuri, tujifunze kuona vizuri pia kama wakipatikana wengine wanaomkosowa. Kwangu mimi, wanaosifia na wanaokosowa lengo lao ni moja - kutaka aendelee kufanya vizuri.
 
kwa hiyo tunawakaribia wazungu kwa maendeleo?😀
 
Watuachie nchi yetu wenyewe. Rais Magufuli anafanya kazi nzuri na hakuna anayeona kama chongo. Watu wanaobeza uongozi wa Magufuli ni vizuri kuweka akiba ya maneno.

Ni kiongozi pekee katika tanzania aliyeonyesha dhamira safi katika nchi hii, hana simile na viongozi wazembe hata kama wanacheo gani na publicty gani.

Ameweza kuwaondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 15,000, zaidi ya wanafunzi hewa 10,000. Ameweza kupambana na ufisadi kwa vitendo.

Zaidi ya yote ameweza kuhamisha makao makuu ya nchi kwa miaka 3. ahadi hii iliwashinda Ma Rais wote walio wahi kutokea hapa tanzania.

Ni msikivu na Mtendaji hasa.

Mimi nina Imani na Magufuli. Wewe Je?
 
Mzungumzie Raisi wenu tuachie wa kwetu na mambo yetu hayawahusu wakenya.
 
Magufuli ana nia nzuri lakini yeye anaamini kwenye UKILANJA tena anaamini ni yeye tu anaweza. Ki ufupi anaendesha nchi kama familia yake badala ya kujenga mifumo. Uwezi kuwa na akili timamu nchi hii ukazuia wapinzani wasiongee, wapinzani ambao wakati wa Serikali Fisadi walikuwa mstari wa mbele kutibua ufisadi
 
kibajeti tunawategemea asilimia 65,waacheni waseme
 
Wameona wameshindwa kupenyeza wizi wao wanaanza kuhangaika magufuli anaakili sana wasidhani mwepesi kama wanavyodhani.
Kama huna nyongeza au counter argument si unyamaze?
 
Hawa wapambe hawana jipya wamekuwa wakitafuta vi habari ambavyo havina mbele wala nyuma ,Rais tunaye ambaye utendaji wake umetukuka dunia nzima ,sasa hao wakenya walifikiri wataendelea kuwa juu kiuchumi sasa wamepata mpinzani ambaye muda si mrefu anakwenda kui over take kenya kiuchumi ,Ni Rais wa wanyonge na amejitolea kuwafanyia wanyonge kazi na kwa kasi hii wataongea mengi ,kwani Magufuli analeta adabu katika nchi ambayoi ilikuwa imepotea miaka mingi iliyopita .Kwa kile watanzania tunamshukuru Mungu kwa kutupa kiongozi kama huyu na hii ni bahati tu .Isipokuwa kwa wajinga wachache wasioona hii neema .
 
tuweni wa kweli, staili za nyerere kwenye uchumi zilitucost.
 

If you 'highly understood it' could you explain it to me? After all, I was commenting on the comment of Patriot.
 

Gold has to be tested. We shouldn't fear.
 
NImependa zaidi ile sentensi yake ya mwisho kabisa. Good generalization, but in the end will turn out to be true. Miaka 10 inaweza kuonekana ni mingi, lakini itaisha na Tanzania yetu itabaki kama alivyoikuta. Ni ka-ukweli fulani kanauma, lakini ndio hali halisi ya marais wa afrika. Hawajengi taasisi na kuacha misingi imara inayohakikisha uendelevu wa mambo mazuri waliyoaanzisha. Wanatazama tu kufikia kwenye ukomo wa madaraka yao.
 
Ashindwe na Alegee aliyeandika hii habari!
 

What is the source of your information so that we could get to read that paper online and come out with a correct answer.

However I would like to rebuff the narrative describing President Magufuli as a mere Populist and anti elites. This is but mere allegations with no basis!

As far as I know as a citizen, our President has never been an authoritarian as he is portrayed to be This is but vague expression and cynical kind of to say the least!
He is has never inclined to repression dissent.
When people break the law what is he expected to do? To sit down and sing a song?

First of all you should know, he took the helm of leadership of this country while the country was in an ICU/ ITU. He tried to treat the patient {Tanzania} and the patient now moved from ICU to HDU

The patient {Tanzania} is now recuperating every each day. And soon this patient will move out of HDU High Dependency Unit to Perfect good health.
If that is populist then this is mellifluous to our ears as Tanzanians!
 
Hao wanaolilia demokrasia na kupanga wengine wafanye nini hali wao wanafanya kinyume ndiyo walioifanya Iraq,Libya,Misri,Syria n.k kuwa kama kulivyo sasa. Sisi tuna yetu na wao wafanye yao.Wasubiri tufeli ndipo waseme.Miaka yote tumejitawala na hakuna kinachofanyika zaidi ya kushamiri rushwa,ufisadi,mikataba hovyo ya rasilimali za nchi.Hebu watuache tujaribu na "dikteta" tuone tutasonga mbele au la! Baada ya miaka 10 tutafanya tathimini sisi wenyewe kama turudi kule kwa zamani au tuendelee na mfumo mpya tuliyouanza
 
Wao kwao kufata demokrasia basi ndo maendeleo? Vilaza kweli hawa, Libya iliyojengwa na Muhamar Gaddafi na ikawa na maendeleo ya kutisha iliwahi kuwa na demokrasia wapi?

Walikuja hivi hivi na mbwembwe zao kuhusu demokrasia mpaka wakamuua mzee wa watu kwa kisingizio cha demokrasia. Hivi leo ilivyo Libya ndo maendeleo ya demokrasia hayo? Hivi unawezaje ukalinganisha Libya ya enzi hizo na leo kimaendeleo?

Wazungu na nyinyi wenzetu wazungu mnaoishi Afrika huku mkiwa na weusi kama wetu acheni upumbafu wenu, Waafrika wala shida yetu si huyo mdudu demoghasia. Waafrika shida yetu ni usimamizi mzuri wa rasirimali zetu kama anavyofanya Magufuli pamoja na kupata uhakika wa elimu bora, maji safi, usafiri wa uhakika na matibabu bora. Na haya kuyapata si lazima kuwe na mdudu demokrasia, hawa wawili waliweza ( Nyerere & Gaddafi ) kwasababu ya uwezo wao na Gaddafi kama si Wazungu kumuua basi yule jamaa angewasotesha sana.

Tunachokitaka waafrika ni kuachana na fikra potofu za wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…