mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Wameona wameshindwa kupenyeza wizi wao wanaanza kuhangaika magufuli anaakili sana wasidhani mwepesi kama wanavyodhani.
Did you read the read??? I doubt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameona wameshindwa kupenyeza wizi wao wanaanza kuhangaika magufuli anaakili sana wasidhani mwepesi kama wanavyodhani.
Huyu nimemsoma sana!! Tatizo ni watu kujiita analysts wakati wanafanyakazi kama astrologers. Ktk afrika kila anayejitahidi kuinua nchi, anatabiliwa kuanguka.Duude, msome tena mwandishi.
Kukosoa ni muhimu saaana maana wanasiasa wetu wanajiinua sana! Tatizo la mwandishi, anamkosoa na kumuelekeza kwenye mambo ambayo yalikuwa hayafanyikazi nchini. Mtu anakutaka utumie mahakama na vyombo vya sheria wakati akijua vilikuwa havifanyi kazi ipasavyo!Mimi nadhani kama kuna watu wanaomsifia Rais John Magufuli na kama tunaona wanafanya vizuri, tujifunze kuona vizuri pia kama wakipatikana wengine wanaomkosowa. Kwangu mimi, wanaosifia na wanaokosowa lengo lao ni moja - kutaka aendelee kufanya vizuri.
Viva Tanzania with Magufuli viva!As a Tanzanian, many Presidents have come and go but we have never had a principled President like President MAGUFULI. President MAGUFULI took power when the country was in bad state. The rule of law was not respected and justice was for sale.
President MAGUFULI inheritated this country when nothing was working including our justice system. People like you with a song of democracy are there to destruct President MAGUFULI leadership and you have no place in our country. We Tanzanians, he is the only hope we have so far.
The problem of the West is to distrust other countries in the name of democracy. Democracy is not only freedom of speech, democracy is fairness, justice, and share the national cake, that is what exactly President MAGUFULI is doing in a difficult situation were many leaders in Africa have failed.
Many leaders in the west criticised Kagame by calling him a dictator, to day Rwandies are enjoying good governance and good standard of living. Some of the people who enriched themselves by stealing from the public depriving the majority, are the majority of the people who claim to be fighting for democracy.
There is no country with a perfect democracy, America under Bush and United Kingdom under Tony Blair, these are the countries with good justice and so called democracy, yet their leaders went against the wish of the people and went on to start Iraq war creating the world we have to day in the name of democracy look now, is the people of Iraq enjoying democracy today?
President MAGUFULI has given hope to the majority of Tanzanians, please do not let us lose our hope. We pray for our President to suceeed and he will.
Una hakika unacho comment ndio kilichopo kwenye hoja hii [emoji844]Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!
Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!
Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Singapore walitengeneza Sera mathubuti ya kufatwa .sio matamko au kauli mbiuHuyu mwandishi ni one of those useless analysts. He selectively gives examples of failures and not successes that have resulted from single handedly initiatives. All over the world we have such examples.
Why not talk of Singapore achievements? Which or what democracy did sail Singapore to modern development indicators.
The writer ignorantly prefers Magufuli operating within official structures and institutional checks and balances which were not working! Unless you are a stupid leader, how can one board a defective plane?
Being a Kenyan, possibly wishing to benefit from corrupt behavior, I am sorry to say the writer is worried that the same leadership approach may be embraced by Kenyan leaders. To me sounds offal to have such low level of analysis
Jibu la tatizo hili unalomuonea Magufuli ni wakipekee .linaondolewa na mfumo Wa taasisi bora na imara .As a Tanzanian, many Presidents have come and go but we have never had a principled President like President MAGUFULI. President MAGUFULI took power when the country was in bad state. The rule of law was not respected and justice was for sale.
President MAGUFULI inheritated this country when nothing was working including our justice system. People like you with a song of democracy are there to destruct President MAGUFULI leadership and you have no place in our country. We Tanzanians, he is the only hope we have so far.
The problem of the West is to distrust other countries in the name of democracy. Democracy is not only freedom of speech, democracy is fairness, justice, and share the national cake, that is what exactly President MAGUFULI is doing in a difficult situation were many leaders in Africa have failed.
Many leaders in the west criticised Kagame by calling him a dictator, to day Rwandies are enjoying good governance and good standard of living. Some of the people who enriched themselves by stealing from the public depriving the majority, are the majority of the people who claim to be fighting for democracy.
There is no country with a perfect democracy, America under Bush and United Kingdom under Tony Blair, these are the countries with good justice and so called democracy, yet their leaders went against the wish of the people and went on to start Iraq war creating the world we have to day in the name of democracy look now, is the people of Iraq enjoying democracy today?
President MAGUFULI has given hope to the majority of Tanzanians, please do not let us lose our hope. We pray for our President to suceeed and he will.
jumuiya ya kimataifa imeshamstukia, kwamba atashindwa tu katika kila apangalo
Pesi kama karatasi mkuu sema wewe umeweka nta kwenye akili yako usijue reality kwa makusudi na that's your ignoranceWameona wameshindwa kupenyeza wizi wao wanaanza kuhangaika magufuli anaakili sana wasidhani mwepesi kama wanavyodhani.
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!
Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!
Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Acha kuwa ignorant kiasi hicho wewe..nani kakwambia hilo gazeti ni la wazungu??hata kusoma hujui unakurupuka tuu kama bosi wako..kama kwelli hujui hali ilivyo nchini basi utakuwa ni mjinga na mtumwa wa fikra aliyekubuhu..weka chama pembeni na tanguliza maslahi ya taifa kwanza.
Huyu mwandishi ni one of those useless analysts. He selectively gives examples of failures and not successes that have resulted from single handedly initiatives. All over the world we have such examples.
Why not talk of Singapore achievements? Which or what democracy did sail Singapore to modern development indicators.
The writer ignorantly prefers Magufuli operating within official structures and institutional checks and balances which were not working! Unless you are a stupid leader, how can one board a defective plane?
Being a Kenyan, possibly wishing to benefit from corrupt behavior, I am sorry to say the writer is worried that the same leadership approach may be embraced by Kenyan leaders. To me sounds offal to have such low level of analysis
As a Tanzanian, many Presidents have come and go but we have never had a principled President like President MAGUFULI. President MAGUFULI took power when the country was in bad state. The rule of law was not respected and justice was for sale.
President MAGUFULI inheritated this country when nothing was working including our justice system. People like you with a song of democracy are there to destruct President MAGUFULI leadership and you have no place in our country. We Tanzanians, he is the only hope we have so far.
The problem of the West is to distract other countries in the name of democracy. Democracy is not only freedom of speech, democracy is fairness, justice, and share the national cake, that is what exactly President MAGUFULI is doing in a difficult situation were many leaders in Africa have failed.
Many leaders in the west criticised Kagame by calling him a dictator, to day Rwandies are enjoying good governance and good standard of living. Some of the people who enriched themselves by stealing from the public depriving the majority, are the majority of the people who claim to be fighting for democracy.
There is no country with a perfect democracy, America under Bush and United Kingdom under Tony Blair, these are the countries with good justice and so called democracy, yet their leaders went against the wish of the people and went on to start Iraq war creating the world we have to day in the name of democracy look now, is the people of Iraq enjoying democracy today?
President MAGUFULI has given hope to the majority of Tanzanians, please do not let us lose our hope. We pray for our President to suceeed and he will.
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!
Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!
Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Acheni ujinga na upuuzi wenu nyie wapumb.avu wa kutaka kumpa sifa huyu dikteta uchwara ambazo hastahili. Nchi imeshamshinda na ushahidi wa kutosha uko katika sekta mbali mbali nchi hata kusababisha Mwinyi kusema nchi inaenda kama gari bovu lisilo na usukani. Butiku kusema Rais Tembo hatufai nchini na Jaji Warioba kutamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kwanini mnakuwa waongo kiasi hicho!? Huu uongo wenu ni kwa maslahi ya nani mamburula nyie? Au hawa kina Mwinyi, Warioba na Butiku nao ni westerners!? Nchi haina madawa, ajira hakuna, Wafanyakazi Serikalini motisha ni SIFURI kutokana na jinsi wanavyonyanyaswa na hii Serikali ya hovyo. Uchumi nchini umeanguka kwa kipindi kifupi tu deni la Taifa Magufuli kalipaisha ndani ya miezi 7 tu kwa 55.8% sawa na 24 Trilioni 24 toka 43 Trilioni hadi kufikia Trilioni 67 lakini mamburula nyie bado mnamwaga sifa kwa huyu dikteta uchwara ambaye anaiangamiza nchi na sera zake za kukurupuka. Acheni kutumika kuangamiza nchi.
Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo