The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Very analytical piece of thought.....we need strong institutions that facilitates check and balance. Rule of law is also very key for sustainability and access to justice.

Consequences of relying on one's directives are vivid and in most cases the victims end up in difficult and unjust situations.
 
Tanzania is indepent country,thus she will continue to defend her independ and to stay far away from neighbouring enemies.

Well said mkuu, lakini narudia ku-insist kwamba aliye file article hii ni mswahili mwenzetu wa hapa Bongo, ametumia an alias name - hapo mkuu our neighbours or whitemen have nothing to do with this stuff - honestly.
 
Sikurupuki ninapoandika humu, hebu onyesha chocchote kile nilichoandika hapa ambacho hakina ukweli wowote. Jazba ni kwa sababu kuna watu wanatumika kuficha hali halisi ya nchi na kuandika uongo wa kumsifia huyu ambaye nchi imeshamshinda. Kwanini mnakubali kutumika kutetea maovu yanayoendelea nchini? Kwa faida ya nani hasa mnakubali kutumika?

Mwenzenu na nani? Hebu sema kama yaliyotamkwa na Mwinyi, Butiku na Warioba ni uongo na hawa ni watu wa CCM ambao wote wamewahi kushika nyadhiza mbali mbali za juu Serikalini. Wamechoshwa na upumb.avu na mwelekeo wa nchi ndiyo sababu wameamua kuanika uozo nchini hadharani. Lawama za Mwinyi, Butiku, Warioba na mamilioni ya Watanzania kuhusu huyu dikteta uchwara huzisikii? Acha kudumaza akili yako wewe!

Nasubiri uonyeshe uongo wangu katika yale ambayo nimeyaandika.

Mkuu kwani ukitumia lugha yenye staha unafikiri hutaeleweka au?
Taifa gani Duniani ambalo halina Deni, hata Amerika ina madeni lukuki itakuwa Tanzania!!!

Yaani nyinyi hakuna hata kitu +ve mnazungumzia kuhusu Serikali ya awamu ya 5 - JPJM in particular, na ukichunguza jwa umakini bila jazba utakuta mengine unayo sema humu hayana ukweli wowote!!

Mwenzenu ndiyo anakaribia mwaka tangu tumchague, baadhi yenu mnaleta dhana za kuonyesha as if nchi imemshinda, sasa nyinyi ma akina Dr. Strangelove tuwakabidhi Nchi kesho alafu baada ya mwaka mmoja tuje kushuhudia kama mmefanikiwa kubadirisha Taifa letu nyuzi miamoja themanini 4 the better - mmejaa maneno tu na lawama kila kona.
 
Mzungu hajaandika hii habari! Waliondika ni watanzania ambao wamefanya plagiarism kutoka kwenye makala anazoandika huyo profesa wa Oxford.

Kwa sababu huu uzi uliletwa kwa mara ya kwanza kule Jamii Forum Palace ukisomeka hivi: https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1132346/ nikamuuliza mleta mada ambaye ni Cicero atoe chanzo cha hii habari akawa hana!

Nikajaribu kutafuta kwenye mtandao sikuona kitu. Ila nikakutana na habari za huyo profesa zenye kufanana kiuandishi na kimpangilio kama hii habari.

Kesho yake nikaona hii habari imeletwa tena humu Jukwaa la Siasa kwa ID tofauti na kichwa cha habari kikiwa kimebadilishwa lakini maudhui yake ni yale yale, huku ikiwa na chanzo cha habari kutoka Kenya!

Nikaamua kukaa kimya maana ukipigizana kelele na wajinga na wewe utaonekana mjinga!

Well said mkuu Maziku, mimi nilipo soma tu nikajua hapa kuna tatizo kuna watu wanaleta maigizo ya Tony Blair na Dossier kuhusu WMD za Saddam Hussein.

Na Watanzania wenye hulka za namna hiyo wanajulikana kwa majina, waliwahi kufanya kazi Serikalini na ukichunguza track records zao hakuna kitu +ve walicho wahi ku contribute ambacho tunaweza kuwakumbuka - hakipo kabisa.

Ujuaji mwingii na dhalau za kijinga.
 
Sikurupuki ninapoandika humu, hebu onyesha chocchote kile nilichoandika hapa ambacho hakina ukweli wowote. Jazba ni kwa sababu kuna watu wanatumika kuficha hali halisi ya nchi na kuandika uongo wa kumsifia huyu ambaye nchi imeshamshinda. Kwanini mnakubali kutumika kutetea maovu yanayoendelea nchini? Kwa faida ya nani hasa mnakubali kutumika?

Mwenzenu na nani? Hebu sema kama yaliyotamkwa na Mwinyi, Butiku na Warioba ni uongo na hawa ni watu wa CCM ambao wote wamewahi kushika nyadhiza mbali mbali za juu Serikalini. Wamechoshwa na upumb.avu na mwelekeo wa nchi ndiyo sababu wameamua kuanika uozo nchini hadharani. Lawama za Mwinyi, Butiku, Warioba na mamilioni ya Watanzania kuhusu huyu dikteta uchwara huzisikii? Acha kudumaza akili yako wewe!

Nasubiri uonyeshe uongo wangu katika yale ambayo nimeyaandika.

Mkuu BAK, mbona mara nyingi una contribute vitu vilivyo tulia sana, safari hii umekuwaje tena mbona ume loose your cool!!!
 
Zamani serikali yetu ikipata uzabizabina kama huu ilikuwa ikiuchapa vivyo ilivyo chini ya kichwa "What they Say About Us". Tulizisoma na kuzipuuza.

Hakuna siku hawa watu watampongeza kiongozi mpenda nchi yake na watu wake. Daima hawampendi kiongozi alieazimia kutunza rasilimali ya nchi yake itumike kwa manufaa ya watu wake. Huyo hawampendi hata kidogo.

Kinachosikitisha ni wale Watanzania wanaounga mkono mawazo hayo ya maadui wa Taifa letu badala ya kuyakanusha.

Mheshimiwa Maghufuli anahitaji kuungwa mkono kwa nguvu na wananchi wote wa Tanzania.
 
Mnaudhi nyie mnaoendelea kumpigia huyu dikteta uchwara debe huku nchi inaendelea kuangamia. Mwinyi, Butiku na Warioba ni Wastaafu wenye malipo mazuri sana katika kustaafu kwao lakini hawa wazee wameamua kusema ukweli kuhusu mwelekeo wa nchi yetu lakini cha kustaajabisha bado kuna mamburula walioamua kuacha kutumia akili zao na kupigia makofi maovu chungu nzima nchini chini ya huyu dikteta uchwara. Iweje mwelekeo mbovu wa nchi yetu uonekane kwa hawa wazee wenye maisha mazuri lakini mamburula wanaolipwa Buku 7 tu kwa siku wakae wakisifia hii Serikali ambayo umeshashindwa kuongoza nchi na ushahidi uko chungu nzima ikiwemo maneno ya hawa wazee wetu Mwinyi, Butiku na Warioba!?

Mkuu BAK, mbona mara nyingi una contribute vitu vilivyo tulia sana, safari hii umekuwaje tena mbona ume loose your cool!!!
 
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!

Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!

Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Kweli ukipenda unakuwa mjinga. Unasema Tanzania inachanja mbuga kuelekea uchumi wa kati, Mimi naona tumerudi nyuma kama miaka 10 hivi toka huyu jamaa aingie madarakana.Tukifika 2017 kila aliye mchagua atajuta.
 
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!

Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!

Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Warusi sio Wazungu?
 
Huyu mwandishi ni one of those useless analysts. He selectively gives examples of failures and not successes that have resulted from single handedly initiatives. All over the world we have such examples.

Why not talk of Singapore achievements? Which or what democracy did sail Singapore to modern development indicators.

The writer ignorantly prefers Magufuli operating within official structures and institutional checks and balances which were not working! Unless you are a stupid leader, how can one board a defective plane?

Being a Kenyan, possibly wishing to benefit from corrupt behavior, I am sorry to say the writer is worried that the same leadership approach may be embraced by Kenyan leaders. To me sounds offal to have such low level of analysis
How about other dictatorships that do not measure up to Singapore? You can't make the exception, the rule.
 
Many leaders in the west criticised Kagame by calling him a dictator, to day Rwandies are enjoying good governance and good standard of living. Some of the people who enriched themselves by stealing from the public depriving the majority, are the majority of the people who claim to be fighting for democracy.

So what happens when Kagame is gone? Groom another strongman?
There is no country with a perfect democracy, America under Bush and United Kingdom under Tony Blair, these are the countries with good justice and so called democracy, yet their leaders went against the wish of the people and went on to start Iraq war creating the world we have to day in the name of democracy look now, is the people of Iraq enjoying democracy today?
Went against what wish of the people? UK and US have representative democracy, in which people elect leaders to represent them, upon which they can make decisions on their behalf. If people are not happy with their decision making, they get voted out in the next election. Exactly what happened to Bush and Blair. Try that in Tanzania with their mandatory ten year rule.
President MAGUFULI has given hope to the majority of Tanzanians, please do not let us lose our hope. We pray for our President to succeeed and he will.
Enough of this hero worshiping already! Don't you people get tired of venerating another human being?
 
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!

Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!

Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!

Ni kweli tunawakaribia wazungu kimaendeelo?
 
Lumumba huwezi waona hapa chuma hiki
domolako bushman..kwani kizungu huelewi. mbona watetezi wa jpm wamejaa kwenye huu uzi. mabwanyenye kenya kila hila zao kupenyeza mirija tz inavyokwama wanampinga jpm. wanapenda rushwa iendelee tz ili uporaji wao wa uchumi wa tz uendelee.
 
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!

Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!

Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!
Uchumi wa kati? Ebu acheni kufikiri kwa kutumia viongo vya siri , umeona kuna daliki ya uchumi wa kati wewe, tunazalisha nini maana hata kiwanda cha kuhifadhi nyanya tu kwenye makopo hatuna , unauza nini nje ya nchi wakati madini yote umempa Mzungu, utalii watu hawaji tena sera mbovu, bandari hakuna mzigo, acheni ushabiki nyie boloka
 
Watasubiri sana, ndio kwanza Tanzania inazidi kuchanja mbuga kuelekea uchumi wa kati!

Wazungu huwa ni waoga sana wanapoona kuna anayewakaribia kwa maendeleo. Mfano mzuri ni namna wanavyotunishiana misuli na China na Rusia mpaka leo kisa tu wanajitahidi kimaendeleo. Kifupi hawataki mpinzani. Wanataka kutawala milele!

Usipoelewa hili, utapata tabu sana kuwaelewa hao watu!

President Magufuli's efforts shall not be shortlived as they have the support of a majority of Tanzanians including the opposition. He is not against democracy that is why almost all local governments are under the opposition and are performing well because they are now the checks and balances which were non existent when CCM was in control.
 
Mdau wangu stroke wazungu si watu wakuamini lakini siyo kila jambo baya linawahusu wao!

Hii habari imeandaliwa na watanzania na ku-acknowledge jina la profesa wa watu. Lakini kiuhalisia hii makala haijaandikwa na mzungu, ni kosa la kiuandishi!

Kwa mara ya kwanza hii habari ililetwa huku https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1132346/ na huyu jamaa anayejiita Cicero baada ya kumuuliza chanzo cha habari akakosa cha kunijibu.

Baada ya siku moja hii habari ikaletwa humu na ID tofauti huku wakiwa wamebadilisha kichwa cha habari lakini maudhui ni yale yale na chanzo cha habari wakiwa wameweka ni kutoka Kenya![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sio Cicero, na ungejadili hoja na sio kusema imeletwa na nani
 
Nawashangaa hawa the Mburulaz wanakazana kuwakumbatia wakuja ilhali kiongozi shupavu tunaye

Ni ujinga ulioje kuwa na mikutano ya hadhara angali watu hawajala siku nzima; wagonjwa kwani hospitalini hakuna dawa; wanafunzi hawasomi kwa kukosa mahitaji muhimu!! Kwa watu wa magaharibi democracy kwao ni kupiga kura tu hata kama wagombea wanananunua kura!! That type of democracy is not for us. Huwezi kuwahutubia watu demokrasia wakati ni wagonjwa hata huko kupiga kura hawawezi kwenda.
 
Back
Top Bottom