The dark side of business

Mwamba, Kuna mtu aliwahi kuniambia ukiweza kufanya dili lolote la kiutafutaji, the best ni Lile unaloweza kulifanya in a confined environment... Akasema yeye ana shamba la mifugo ndani ya uzio wa ukuta, na amefanikiwa.
Logic yake anasema Macho ya watu Yana husda, na ndiyo mwanzo wa UCHAWI.
 
You nailed it Mr,ndio maana baadhi ya imani zinautambua uchawi Kama evil eye.
 
Nimeamini ushirikina ni kanuni na masharti.. lkn upande wa mungu kuna kanuni pia... kwa experience yako nijibu, je ukifuata kanuni za kimungu huwezi kuwa na ulinzi au kufanikiwa mkuu? Kama kweli ni kanuni zipi za kuzifuata ?
Ukiona unaanza kuyumba yumba ujue haupo stable,Jiamini mtumaini Mungu huo upande mwingine jifunze tu
 
Bro naamini wewe ni mjasiriamali kutokana na jina lako na utakua unasoma soma vitabu.... Tafuta kitabu kinaitwa shoe dog Cha founder wa Nike then soma mpaka mwisho.... Kama una Imani yoyote ndani yako utapata majibu ya swali lako
 
Bro naamini wewe ni mjasiriamali kutokana na jina lako na utakua unasoma soma vitabu.... Tafuta kitabu kinaitwa shoe dog Cha founder wa Nike then soma mpaka mwisho.... Kama una Imani yoyote ndani yako utapata majibu ya swali lako
 

Attachments

lakini kuna vile nina uhakika havipo, ikiwemo uchawi kama tuujuavyo
Huo uhakika umeupataje kwenye swala hili la uchawi ?

Umewahi kufanya research ndogo ndogo labda ?

Mfano kwa kutembelea maeneo yanayosifika kwa uchawi kama Gamboshi, Sumbawanga,

Au umewahi kutembelea waganga wa kienyeji wanaosifika kwa kuwa ni konki ?
 
Ndugu yangu, My brother , na member mwenzangu Dunia ina mambo mengi sana usiyoyafahamu

Usizibe ufahamu wako kuelewa na kuyatambua mambo mapya ambayo ulikua hauyafahamu hapo kabla

Ingia youtube angalia uzinduzi wa kiwanda cha wachina kilichopo mkulanga kilichozinduliwa miezi mitatu iliyopita

Angalia mambo waliyoyafanya kwenye uzinduzi pale kuanzia vichwa vya ng'ombe ambavyo viliwekwa juu ya meza ya uzinduzi pamoja na vitu walivyochoma moto

Ukishamaliza kuangalia urudi hapa tuulizane maswali mawili matatu
 
Nimemuelekeza aingie youtube atafute ile clip ya uzinduzi wa kiwanda cha wachina pale mkulanga ili aje tujadili yale yaliyofanyika pale
 
Nimemuelekeza aingie youtube atafute ile clip ya uzinduzi wa kiwanda cha wachina pale mkulanga ili aje tujadili yale yaliyofanyika pale
Nimeitafuta hiyo clip hakika akiiona na yeye ataacha ubishi.

Pia nina wasiwasi huenda yeye ndiye mwamba upande huo ila hataki wengine wapate ABC's ya ulimwengu huo wa giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…