Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mkuu we hapo unakaribia u bilionea, vipi uko upande gani dark au light side?
u100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
u100%
Kwa ulivyo uliza swali. Majibu yategemeana na scenario husika
KUna kundi wao hua wanaiamini mizimu au wanaabudu mizimu ili wafanikiwe katika shughulizao iwe biashara au kiliomo au ishu yyte inayoitaji mtu kufanikiwa
Sasa damu hua ni kama sadaka kwani ndo chakula cha mizimu. Hua ni damu ya mifugo iwe ng'ombe au kuku.
ASsignment au mfano mzuri na kupa katafte na wewe u reason kuendana na uelewa wako. Kama hukufuatilia kwa makini live katafte interview na clip za kipind icho
Kipindi cha miaka 10 ya muziki ya msanii Bayamundi alienda kwao kigaoma na msanii kharmonize yeye akaamua kwenda kwao mtwara.
Kuna swali mtangazaji miliOmmY alimuuliza bayamondi kua
"Kipindi tunafika hapa kigoma kuna ndege sijui ni popo wale walikua wametanda wengi kweli kwenye ule mti ila wewe ulivyo fika au kutia mguu walipaa wakaondoka hii hali ili ibua maswali sana Kgoma
Majibu ya bayamundi " sipendi kuliongelea hilo swala ila wazee na wakubwa wamenikubali"
katafte mwenyew video za kipindi hicho
Kwa ufupi mifugo ilichinjwa sana baina ya wasnaii hao
View: https://youtu.be/b7pM3kO3Ml0?si=TELIJbMgJBRPiGIa
View: https://youtube.com/shorts/R7A7Gk7lwnE?si=F9cnc40CEtujAB8e
Kwa upande mwngine
Kuna wale wanao enda kwa watalaam kwa lengo la kutafta utajiri. Huwa wanaambiwa watoe kafara ya mtu wa karibu au ndugu sasa hapo mnyama kama kuku ndo anakuwa ana represent huyo mtu alietolewa sadaka. Kuku akichinjwa basi kitakachomkuta huyo mtu kimetokana tendo na sadaka alioitoa
Life is spiritual. Mafanikio ya mtu we yaache kama yalivyo hujui effort na hustle alioiweka mpka kafika hapo
You nailed it Mr,ndio maana baadhi ya imani zinautambua uchawi Kama evil eye.Mwamba, Kuna mtu aliwahi kuniambia ukiweza kufanya dili lolote la kiutafutaji, the best ni Lile unaloweza kulifanya in a confined environment... Akasema yeye ana shamba la mifugo ndani ya uzio wa ukuta, na amefanikiwa.
Logic yake anasema Macho ya watu Yana husda, na ndiyo mwanzo wa UCHAWI.
Mkuu twende episod ingineYou nailed it Mr,ndio maana baadhi ya imani zinautambua uchawi Kama evil eye.
Ukiona unaanza kuyumba yumba ujue haupo stable,Jiamini mtumaini Mungu huo upande mwingine jifunze tuNimeamini ushirikina ni kanuni na masharti.. lkn upande wa mungu kuna kanuni pia... kwa experience yako nijibu, je ukifuata kanuni za kimungu huwezi kuwa na ulinzi au kufanikiwa mkuu? Kama kweli ni kanuni zipi za kuzifuata ?
Bro naamini wewe ni mjasiriamali kutokana na jina lako na utakua unasoma soma vitabu.... Tafuta kitabu kinaitwa shoe dog Cha founder wa Nike then soma mpaka mwisho.... Kama una Imani yoyote ndani yako utapata majibu ya swali lakoKwanza hizi habari za utajiri wa kishetani zipo kwenye mentality za waafrika maskini choka mbaya.
Kama kuna utajiri wa kishetani kwa nini huutumii kufanikiwa kama kweli upo?
Kwa nini unafanya kazi? Kwa nini unatafuta hela kwa jasho?
Kwa nini usikae na hayo matunguli yalete pesa automatically kila siku bila kujihangaisha kufanya kazi?
Mimi mtu akiweza kuanzisha kiwanda kikubwa cha uzalishaji kwa uchawi tu, bila kutumia mkopo wowote wa kibenki au taasisi yeyote ya kifedha, Au akiba yake yeyote ya fedha.
Yani Atumie uchawi tu kujenga kiwanda. Hapo ndio nitajua kwamba kweli kuna utajiri wa kishetani.
Unless otherwise, Hizi ni stori za kusadikika tu, hakuna utajiri wa kishetani.
Sijasema naukaribia! ila Light Side is the Best! Utajiri wa Nuru ni wa Amani na furaha na Pia utaacha Baraka za vizazi na vizaziMkuu we hapo unakaribia u bilionea, vipi uko upande gani dark au light side?
u
Bro naamini wewe ni mjasiriamali kutokana na jina lako na utakua unasoma soma vitabu.... Tafuta kitabu kinaitwa shoe dog Cha founder wa Nike then soma mpaka mwisho.... Kama una Imani yoyote ndani yako utapata majibu ya swali lako
Uchawi sio mpaka mtu ashike tunguli,ukishakuwa na hila au kumuwazia mwezio vibaya huo teyari ni uchawi be warned mawazo yako juu ya wengine. je, nikuwatakia mema au mabaya,haijalishi ni adui au rafiki.You nailed it Mr,ndio maana baadhi ya imani zinautambua uchawi Kama evil eye.
Huo uhakika umeupataje kwenye swala hili la uchawi ?lakini kuna vile nina uhakika havipo, ikiwemo uchawi kama tuujuavyo
Ndugu yangu, My brother , na member mwenzangu Dunia ina mambo mengi sana usiyoyafahamuHakuna kinga za kiroho, mbona watu wanafilisika kila mara na hizo kinga unazodai zipo haziwasaidii chochote?
Au hizo kinga zina kinga nini?
Maana hata matajiri wakubwa biashara zao kuna muda huyumba na kupitia ups and downs.
Sasa hizo kinga zina kinga kitu gani haswa?
Nimemuelekeza aingie youtube atafute ile clip ya uzinduzi wa kiwanda cha wachina pale mkulanga ili aje tujadili yale yaliyofanyika paleUtakuwa haujamuelewa mtoa mada...Mtoa mada hajaomgelea utajiri wa shetani...anaongelea Kinga za kiroho na mbini unapofanya business...Hao matajiri wakubwa we Ushawahi Fanya nao kazi?una uhakika hawafanyi chochote...Kawaulize customer care wa call centre wanaofanya .ye mak
ampuni makubwa ya simu wahindi Huwa wanafny
a inada Gani.?
Wahindi hauwwzi kuwatenga na Ibada zao....Waafrika we kama haujawahi kwenda Kwa mganga Wala kanisani ....Jua wazazi wako wanatambika.....au walikutambikia
Nimeitafuta hiyo clip hakika akiiona na yeye ataacha ubishi.Nimemuelekeza aingie youtube atafute ile clip ya uzinduzi wa kiwanda cha wachina pale mkulanga ili aje tujadili yale yaliyofanyika pale
Wadau,jana Kuna mahali nilienda hakuna network, ndio nimerudi..soon nashusha mzigoMuendelezoooooooooooooooo