The dark side of business

Utajiri uambatana na udhalimu direct or indirect hiyo iko wazi mfano magonjwa alafu wao wanatengeneza dawa kwa binadamu, wanyama na mimea ili waendelee kupata zaidi
 
Umetisha,lakini kwenye hizo 7 laws zangu hapo nimeiona moja tu hiyo ya compensation.
 
Duh,
Nimeona hiyo clip.
Halafu kuna watu hudhani Waafrika pekee ndo wana hayo mambo, kumbe hao weupe huyafanya wazi wazi hadharani.

View: https://youtu.be/eAtLfFo_KaY?si=UCuseL5Fb3jvY1MyInfropreneur
mshamba_hachekwi
Kuna siku nilikutana na mwanafunzi kutoka Bolivia huku Ujerumani. Wao wanamiliki mahoteli makubwa south america. Aliniambia kabla hawajajenga wanatafuta mlevi wa mtaa na kumpa pombe na nyama. Kisha anamfukia akiwa hai kwenye msingi. Wanafanya hivi kuzuia mali kuuzwa nje ya familia na kuhakikisha wanapata faida. Tulikuwa tunadiscuss mambo ya kidini na kiroho. Akanifungukia haya.
 
kuna mambo ukiyasikia unaona bora kuwa na kiasi katika kila jambo,ziaidi ya hapo kunakwa na uwezeakano mkubwa wa kumkufuru Mungu
 
Ahsante
 
Wadau,link ya ule uzi wa 7 natural laws hii hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…