The dark side of business

The dark side of business

aisee, ningeshangaa sana kwenye dark path mchaga asihusike. Mnaobisha hizi mambo hazipo, karibuni moshi miezi ya Christmas muone namna zile sherehe za majumbani zinavyohusika na ushetani mazima.

Maji wanayonawa watu wanapoajiandaa kula, huwa yanachukuliwa na kuingizwa ndani kwa kisingizi yatachafua paving blocks zilizoremba ardhi ya majumba makubwa ambayo hukaliwa na watu siku za mwisho wa mwaka tu.
 
M t f huyo
 
Hapana, hapana, tena hapana kubwa. Akili inagoma kabsa kuamini hiyo damu ya mwana wa Mungu kukufanikisha kuwa tajiri. TANZANIA hii top ten ya matajiri ni waislam. tofauti na hapo bado kuna elimu kuhusiana na maswala haya bado naihataji.

wakristu kibao nawapa vibarua kila kukicha mashabani kwangu huku kijijini waislamu ni wachache sana
Plus wakristu wengi wafia dini ni hoi hae. Na
Top 20 ya matajiri tanzania ukitoa njina la R.mengi majina mengi yote ni yakiislam. Why?
 
Hapana, hapana, tena hapana kubwa. Akili igoma kabsa kuamini hiyo damu ya mwana wa Mungu kukufanikisha kuwa tajiri. TANZANIA hii top ten ya matajiri ni waislam. tofauti na hapo bado kuna elimu kuhusiana na maswala haya bado naihataji.

wakristu kibao nawapa vibarua kila kukicha mashabani kwangu huku kijijini waislamu ni wachache sana
Plus wakristu wengi wafia dini ni hoi hae. Na
Top 20 ya matajiri tanzania ukitoa njina la R.mengi majina mengi yote ni yakiislam. Why?
Umeangalia kwenye small picture,njoo kwenye big picture ndio utaamini hiki nnachosema
 
Screenshot_20241218-141239.png
 
Back
Top Bottom