The dark side of business

The dark side of business

Sasa kama mwanamke amekwisha ingia huko na kama anafanya hivyo kutokana na tishio la kuachwa na wewe basi ondoa hicho kikwazo na kuwa karibu naye muda mwingi kama inawezekana.
Ana hofu ya kupoteza jimbo.
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
 
Mr IQ nimeona issue yako....ila Kuna maswali mengi ya kuuliza,1)mmefunga ndoa?. 2)je ninyi ni born again? 3)huyo mke aliyeenda kwa witch,akanywa damu,alienda akiwa born again?kama hutojali nitumie majibu PM
Naomba nieleze hapa hapamkuu,
Huyu mwanamke nilimtolea mahali then nikamuweka ndani, sikulanae kiapoa kanisania au kufunga ndoa ya madhabahuni, lkn ni 3 Yrs now bado haja pata ujauzito.
Kuhusu kuborn again i think not yet, alienda akiwa katika hali hii.
 
Funga naye ndoa kulingana na imani yako,utakuja kunishukuru
 
Infropreneur

Na tajiri namba moja Elon Musk amekuwa ni mtoaji mkubwa kuchangoa injili kwa pastor chris wa Nigeria

Osun Defender
Home - OsunDefender › e...
Elon Musk Named 2024 Top Partner Of Rhapsody Of Realities
 
changamoto nyingi watu tunapitia kwenye haya maisha muda mwingine watu hawafanyi sadaka za ukweli au sadaka hawazitoi kwa watu sahihi.Toeni sadaka kwa wajane ,yatima ,masikini wazazi au ndugu zako
Sadaka inakulinda wewe pamoja na mali zako na kazi zako.Sio unatoa 100 mbovu au 1000 chakavu unampa mtu.Weka fungu kabisa la kusaidia yatima kawalishe hata chakula kizuri bila kupiga mapicha na kupost.Kama unayo nafasi ya kumlea mzazi wako kwa kuishi nae fanya hivyo,kuna vitu Mungu atakusaidia kwenye mapambano ya waja wenye roho mbaya na wewe
 
💯
 
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Kuna uwezekano wewe hauna tatizo kwenye mfumo wa uzazi? Jambo moja na ni muhimu kulitambua ni kwamba sisi
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
 
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Vyema mkuu!
Sasa nimepata utulivu.
Ni hivi;
Wanaume tulio wengi tukiwa na matatizo ya uzazi tunawabebesha wake zetu zigo lote la lawama.
Sasa kama uko vyema,mchukue mkeo bila kumtaarifu jina na sehemu ilipo hospital mkafanye vipimo yakinifu maana hawa wanawake ni mafya.

Pia baadhi ya wanawake wana historia mbaya ya maisha yao kabla ya kuolewa,sasa unaweza kukuta aliwahi kutoa mimba kienyeji hali inayoweza pelekea kuharibu mfumo wa uzazi na kizazi chote kung'olewa.

Sasa huwa HAWAKO TAYARI KUWEKA WAZI bali atakupa ushirikiano ktk juhudi za ufumbuzi wa tatizo.
Atatafuta wataalamu hewa na shuhuda lukuki,wewe utamuwezesha lkn kumbe hapo ni fedha tu zinakusanywa kwani chanzo cha tatizo ni yeye na anajua bayana kuwa HALITATULIKI.
 
Back
Top Bottom