The dark side of business

The dark side of business

Naomba ushauri Tanzanian Dream ,Binafsi sijawai shiriki maaganoya kiganga , lakini mke wangu aliniambia aliwai kwenda kwa mganga na walichinja kuku, then akanywa damu nadhani kwasababu ya changamoto za uzazi , pia na waliwai vunja nazi, na alipewa dawa za kunywa ,kupaka n.k.. NB: alifanya mm sikuwepo akaja kunambia baada ya 2 month ivi.. na nilikua na mkataza mambo ya waganga lakini alizunguka, Hadi sasi hivi hajafanikiwa.. still nampleka kanisani na kwenye maombi anaenda, lakini sijui kama ametoka kwenye madhabau au la? Kama unachochote cha kunishauri karibu mkuu unisaidie..
Pia nawengine nawakaribisha kwa ushauri.
Tanzanian Dream
 
Back
Top Bottom