I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Waarabu wanaongea lugha ya kiarabu, ndiyo lugha yao.Mkuu waarabu ni watu wa wapi haswa? Naomba nijifunze
Waajemi wanaongea lugha ya kiajemi inayoitwa Farsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wanaongea lugha ya kiarabu, ndiyo lugha yao.Mkuu waarabu ni watu wa wapi haswa? Naomba nijifunze
The spiritual laws of the universe are metaphysical principles believed to govern the interconnectedness of life, energy, and consciousness. These laws are often associated with personal growth, harmony, and manifesting desires. Below is an overview of commonly recognized spiritual laws:
---
1. The Law of Divine Oneness
Principle: Everything in the universe is interconnected. Every thought, action, and emotion affects the whole.
Application: Practice compassion, as your actions ripple through the collective energy field.
---
2. The Law of Vibration
Principle: Everything vibrates at a certain frequency, including thoughts and emotions.
Application: Maintain positive thoughts and emotions to attract uplifting experiences.
---
3. The Law of Attraction
Principle: Like attracts like. Your thoughts and emotions create your reality.
Application: Focus on what you want, not what you fear, to manifest your desires.
---
4. The Law of Action
Principle: Taking inspired action is necessary to manifest desires.
Application: Align your actions with your goals and intentions.
---
5. The Law of Correspondence
Principle: "As above, so below; as within, so without." Your outer reality reflects your inner state.
Application: Cultivate inner peace and clarity to see positive changes in your environment.
---
6. The Law of Cause and Effect (Karma)
Principle: Every action has a corresponding reaction.
Application: Act with integrity and kindness to create favorable outcomes.
---
7. The Law of Compensation
Principle: The universe balances effort and energy. What you give, you receive in some form.
Application: Be generous and grateful to invite abundance.
---
8. The Law of Perpetual Transmutation of Energy
Principle: Energy is constantly evolving and changing. You can transform lower energies into higher ones.
Application: Shift negative emotions into positive actions through awareness and effort.
---
9. The Law of Relativity
Principle: Everything is relative; challenges are opportunities for growth.
Application: Compare yourself to your past self, not others, to appreciate your journey.
---
10. The Law of Polarity
Principle: Everything has opposites (e.g., light/dark, hot/cold). Contrast helps us understand and grow.
Application: Embrace challenges as opportunities to appreciate joy and success.
---
11. The Law of Rhythm
Principle: Life operates in cycles and natural rhythms.
Application: Accept the ebbs and flows of life, trusting that challenges will pass.
---
12. The Law of Gender
Principle: Both masculine (action) and feminine (nurturing) energies exist in everything.
Application: Balance these energies within yourself for harmony and creativity.
---
How to Work with These Laws
1. Awareness: Understand and reflect on how these laws show up in your life.
2. Alignment: Practice habits, thoughts, and actions that align with these principles.
3. Meditation and Visualization: Strengthen your connection to universal energy.
4. Gratitude: Cultivate gratitude to amplify positive vibrations.
Ule mfano wa Ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni hivi.Hivi umesha wai kujiuliza Ngamia uyo walimahanisha nini.
mkuu kwema? yule mtu wetu wa Igombe bado ana matokeo mazuri?Hakuna sehemu yoyote nimesema ninaamini uchawi, nilichosisitiza ni kuacha room ya majadiliano kwenye mada husika na sio KUBISHA kama ulivyosema.
"Badala ya KUBISHA, mhoji akuthibitishie"
NB: Comment yako imeibua swali fulani, ninaomba nikuulize:-
Je, unaamini kwamba KILA KITU kilichopo duniani kinaweza kuthibitishwa na kuelezewa kisayansi bila kuacha chembechembe za uncertainties,na kwamba sayansi ndio njia pekee?
Maana umesema kamwe huwezi amini kitu ambacho hakijathibitishwa kisayansi.
Mbona tunaambiwa ngamia ni ile kamba kubwa inayotumika kufungia nanga za kwenye meli?Ule mfano wa Ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni hivi.
Lile hekalu lina milango miwili mashughuri.
Mmoja unaitwa mlango mzuri na mwingine unaitwa tundu la sindano.
Sasa Kuna muda ikifika jioni ule mlango mzuri huwa unafungwa ni kama geti la kushusha kutoka juu.
Halafu mlango unaoitwa tundu la sindano hufungwa nusu.
Sasa ili wafanyabiashara au matajiri wenye ngamia waweze kuingia hekaluni kufanya ibada inabidi wale ngamia wapite kwa kupiga magoti au kusota chini.
Ndio ule msemo kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Tajiri kurithi Ufalme wa Mbingu.
Watu wengi waliutumia huu mfano vibaya kutisha watu kuwa matajiri hawataona mbingu.
Well said bro💪hivyo vitu vingine hawawezi kukuambia abadani, wewe utaona sijui management sijui kitu gani, e.t.c ! Ili udumu kwenye biashara na mafanikio lazima ujue Siri Za Ulimwengu wa Roho na uwe kwenye upande mojawapo kati wa hizi ( Ulimwengu wa Nuru au Ulimwengu wa Giza). Hakuna biashara inayofanikiwa yenyewe bila kuwa na nguvu zinaendesha hizo biashara.
Naomba nikuulize swali! Je wewe Unamiliki biashara yako kama kampuni?, Real estates? au hata hizi za kawaida?
Kama Bado una long way to go kujua Siri za biashara katika ulimwengu wa roho ili uweze Ku sustain! Na hichi ndicho huwezi kufundishwa Shule.
Usije ukaingia kwenye biashara kichwa kichwa kesho unatembea na boxer siku pale unapoona 50M, 200M zinapokatika kama maji ndani ya 3 months..e.t.c
Fatilia majina ya milango miwili ya lile Hekalu.Mbona tunaambiwa ngamia ni ile kamba kubwa inayotumika kufungia nanga za kwenye meli?
Umetisha sana kakaITS CRAZY JINSI WATU WANAVYOTUPIANA MADONGO HUMU.
ILA NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA KUWA TUSIPENDE KUAMINI TUNAYOAMINI KUWA NDIO YENYE UHAKIKA 100%
USIMTUKANE MTU ANAYESEMA ANAWEZA KUPATA PESA KWA LUCIFER
USIMTUKANE MTU ANAEKUAMBIA PESA NI MBINU NA JITIHADA YAKO PEKEE
USIMTUKANE MTU ANAYESEMA YEYE ANASALI NA MUNGU ANAMFUNGULIA NJIA ZA PESA.
EBU JIULIZE KAMA WEWE NIMJUAJI WA KUJIAMINI , EBU TAJA SIKU YAKO UTAKAYOKUFA, OK HAUIFAHAMU, NI SIRI KUBWA, HIVYO HIVYO KUNA MAMBO YAPO NA HADI UNAKUFA UTAKAA KUYAJUA.
SO, TUWE OPEN MINDED, TUSIJIFANYE WAJUAJI SANAAAAA
Fine, I got youLight side is the best,it can be a long way but its safe in longrun.
Acha kutudanganya, mfano wa ngamia unaozungumziwa katika maandiko ni kamba kama zile wanazotumia melini.Ule mfano wa Ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni hivi.
Lile hekalu lina milango miwili mashuhuri.
Mmoja unaitwa mlango mzuri na mwingine unaitwa tundu la sindano.
Sasa Kuna muda ikifika jioni ule mlango mzuri huwa unafungwa ni kama geti la kushusha kutoka juu.
Halafu mlango unaoitwa tundu la sindano hufungwa nusu.
Sasa ili wafanyabiashara au matajiri wenye ngamia waweze kuingia hekaluni kufanya ibada inabidi wale ngamia wapite kwa kupiga magoti au kusota chini.
Ndio ule msemo kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Tajiri kurithi Ufalme wa Mbingu.
Watu wengi waliutumia huu mfano vibaya kutisha watu kuwa matajiri hawataona mbingu.
Acha kutudanganya, mfano wa ngamia unaozungumziwa katika maandiko ni kamba kama zile wanazotumia melini.
It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich person to enter the kingdom of God.” Mark 10:25 Kwa hio kamba zinazotumika kwenye meli kwa kingereza inaitwaje? |

Huo ndio ushahidi wako?Acha kutudanganya, mfano wa ngamia unaozungumziwa katika maandiko ni kamba kama zile wanazotumia melini.
What is the meaning of a camel going through the eye of a needle?Acha kutudanganya, mfano wa ngamia unaozungumziwa katika maandiko ni kamba kama zile wanazotumia melini.
So that being said inamaanisha wadhungu mambo yao ya ndumba na imani ya mwanga ni kali kuliko sie? Maana biashara zao ni za ukwwli (manufacturing) wakati zetu huku ni za subsistencehivyo vitu vingine hawawezi kukuambia abadani, wewe utaona sijui management sijui kitu gani, e.t.c ! Ili udumu kwenye biashara na mafanikio lazima ujue Siri Za Ulimwengu wa Roho na uwe kwenye upande mojawapo kati wa hizi ( Ulimwengu wa Nuru au Ulimwengu wa Giza). Hakuna biashara inayofanikiwa yenyewe bila kuwa na nguvu zinaendesha hizo biashara.
Naomba nikuulize swali! Je wewe Unamiliki biashara yako kama kampuni?, Real estates? au hata hizi za kawaida?
Kama Bado una long way to go kujua Siri za biashara katika ulimwengu wa roho ili uweze Ku sustain! Na hichi ndicho huwezi kufundishwa Shule.
Usije ukaingia kwenye biashara kichwa kichwa kesho unatembea na boxer siku pale unapoona 50M, 200M zinapokatika kama maji ndani ya 3 months..e.t.c
Jamaa wanafanya Sacrifices sema ndo vile tu vitu havifanyiki hadharani!So that being said inamaanisha wadhungu mambo yao ya ndumba na imani ya mwanga ni kali kuliko sie? Maana biashara zao ni za ukwwli (manufacturing) wakati zetu huku ni za subsistence
Duh! Kwa hiyo jamaa wametuzidi kila idara, sii akili wala sacrifices, ni mwendo wakushenyetwa tuuJamaa wanafanya Sacrifices sema ndo vile tu vitu havifanyiki hadharani!