Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba wanajali kumbe chini ya kapeti wanapitisha vile vya ajabu vingine ambavyo vilikuwa na afadhali kidogo ila havikupingwa...
Niki refer suala la Tozo kwenye miamala; walipandisha maradufu watu wakaja juu wakaamua kushusha kidogo ila ukiangalia kiuhalisia bado walipandisha (matokeo yake watu wakawasifia and the rest is history) wakati uhalisia bado tunakamuliwa...