The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:,

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
BREAKING: The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:

Capt. Cody A. Khork, 35, of Winter Haven, Florida; Sgt. 1st Class Noah L. Tietjens, 42, of Bellevue, Nebraska; Sgt. 1st Class Nicole M. Amor, 39, of White Bear Lake, Minnesota; and Sgt. Declan J. Coady, 20, of West Des Moines, Iowa.

FB_IMG_17725832164284205.jpg
 
Walishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...

ujinga mwingi kwa Wazungu tofaut na vile tunajua uko nyuma!!!

Sababu kuu nasema aya ikiwa lengo ni kuondosha
Utawala wa kislamu!!

basi ilitakiwa jesh la Ardhini na sio kuuwa kiongozi kwanza!!

Asa kwa nchi km Iran

leo Iran imeungana zaid kuliko jana!!

na tena kiongozi mkuu ni taasisi Kikatiba sio mtu!!!!

ivyo mtu akifa kwasababu zozote zile baada ya siku mbili taasisi inapata kiongozi mwengine!!!

pengine ndio hatari kuliko yule wa mwanzo,
Wenye akili tu ndio wataelewa!!

lkn tujipe muda kuona pengine mipango yao ndio iyo kwasasa wamechagiza vita!!

ili iyo Vita izae Sababu muhimu iwe Vita kamili.

Lkn ikiwa kinyume chake haaaa nitaamini Wazungu wenye akili walishazikwa wengine ndio vibabu sana.!!

Iran sio Venezuela lazima mpishane muda wa kufukia watoto wenu.!!!!
 
Umechangia kwa uchungu utadhani wewe ndo Mpika mipango wa Iran

Kumbe ni hisia zako tu
 
Umeiandika kwa uchungu mkubwa na hisia kali za kidini.
NB: Hata unapoua nyoka unashauriwa kuponda kichwa Kwanza.
 
Nyoka na nchi wapi na wapi mifano mengine kuitumia wewe ni mdau w jamii forum umewaza kwanza!!!!!

unawezaje kufananisha sungura na ng.ombe😇😇
kweli vitafanana!!!!

Nyoka ukipiga kichwani tunajua matokeo ni kifo cha jumla je Iran imekufa jumla???¿¿¿¿

ingekufa jumla Tela Aviv isingewaka MOTO na leo tusingesikia Vifo pande za muuaji wa nyoka!!!

Au nyoko kafufuka anang.ata tena??¿¿¿

kuiga mifano mfu km wewe unajishushia hadhi yko jamii forum kitu ulichokijenga kwa miaka mingi.
 
You're being over sensitive and over reacting, why are you overly offended? Just because of Ayatollah?
Targetting the highest figure ni sawa na kupiga kichwa cha nyoka, viongozi wa juu hata ulinzi wao ndiyo huwa mkubwa zaidi hata wakati wa amani simply because they are the highest prize, the greatest catch, the highest value figures.
It's the very same scenario kama akiuawa Netanyahu au Trump, tena hapo unakuwa umekata kichwa cha anaconda japo retaliation yao watatumia hata nukes.
I only felt real pain pale Samia alivyoua Watanganyika kwa mauaji katili ya halaiki, raia ambao hawakuwa na silaha na riots zile zingeweza kuzimwa bila ya kutumia silaha za moto. Hao wa huko wauane tu, ni vita vyao na sisi tuna yetu ambayo mpaka leo hayajukikani hatima yake.
 
Inaonekana unamasononeko mengi kichwani!!!
Pole ndugu mengine yamekudhidi uwezo!!!!
kunywa maji mengi na ujipe muda wa kupumzika na kulala mepema shida zako zitaondoka zenyewe kichwani,,

mana hakuna wakukutua uwo mzigo zaid niww mwenyewe kutua mizigo akilini...
 
Department of War
 
Attachments

  • Screenshot_20260227-171153_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260227-171153_WhatsApp.jpg
    104.1 KB · Views: 30
Walishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...

ujinga mwingi kwa Wazungu tofaut na vile tunajua uko nyuma!!!

Sababu kuu nasema aya ikiwa lengo ni kuondosha
Utawala wa kislamu!!

basi ilitakiwa jesh la Ardhini na sio kuuwa kiongozi kwanza!!

Asa kwa nchi km Iran

leo Iran imeungana zaid kuliko jana!!

na tena kiongozi mkuu ni taasisi Kikatiba sio mtu!!!!

ivyo mtu akifa kwasababu zozote zile baada ya siku mbili taasisi inapata kiongozi mwengine!!!

pengine ndio hatari kuliko yule wa mwanzo,
Wenye akili tu ndio wataelewa!!

lkn tujipe muda kuona pengine mipango yao ndio iyo kwasasa wamechagiza vita!!

ili iyo Vita izae Sababu muhimu iwe Vita kamili.

Lkn ikiwa kinyume chake haaaa nitaamini Wazungu wenye akili walishazikwa wengine ndio vibabu sana.!!

Iran sio Venezuela lazima mpishane muda wa kufukia watoto wenu.!!!!
Wale wa Oktoba 29 hukuwasemea katu japo walikuwa na wewe hapa hapa mnasoteshwa wote na ccm.
 
vita inakuwa nzuri kila upande ukipata maafa hapo ndio mazungumzo yataweza kufanyika.
 
Jaman hii ni marathon sio mita mia, muajemi hawezekani kambi zote middle east ni jivu, rada zote jivu CIA, mossad 560+ walioko me acha walioko taifa haram ndio hawahesabiki hakuna kambi ndani Israel inafunction 💯 zote jivu, hizo habari huwezi kuzikuta x ya elon
 
Back
Top Bottom