Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Walishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...BREAKING: The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:
Capt. Cody A. Khork, 35, of Winter Haven, Florida; Sgt. 1st Class Noah L. Tietjens, 42, of Bellevue, Nebraska; Sgt. 1st Class Nicole M. Amor, 39, of White Bear Lake, Minnesota; and Sgt. Declan J. Coady, 20, of West Des Moines, Iowa.
Umechangia kwa uchungu utadhani wewe ndo Mpika mipango wa IranWalishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...
ujinga mwingi kwa Wazungu tofaut na vile tunajua uko nyuma!!!
Sababu kuu nasema aya ikiwa lengo ni kuondosha
Utawala wa kislamu!!
basi ilitakiwa jesh la Ardhini na sio kuuwa kiongozi kwanza!!
Asa kwa nchi km Iran
leo Iran imeungana zaid kuliko jana!!
na tena kiongozi mkuu ni taasisi Kikatiba sio mtu!!!!
ivyo mtu akifa kwasababu zozote zile baada ya siku mbili taasisi inapata kiongozi mwengine!!!
pengine ndio hatari kuliko yule wa mwanzo,
Wenye akili tu ndio wataelewa!!
lkn tujipe muda kuona pengine mipango yao ndio iyo kwasasa wamechagiza vita!!
ili iyo Vita izae Sababu muhimu iwe Vita kamili.
Lkn ikiwa kinyume chake haaaa nitaamini Wazungu wenye akili walishazikwa wengine ndio vibabu sana.!!
Iran sio Venezuela lazima mpishane muda wa kufukia watoto wenu.!!!!
Umeiandika kwa uchungu mkubwa na hisia kali za kidini.Walishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...
ujinga mwingi kwa Wazungu tofaut na vile tunajua uko nyuma!!!
Sababu kuu nasema aya ikiwa lengo ni kuondosha
Utawala wa kislamu!!
basi ilitakiwa jesh la Ardhini na sio kuuwa kiongozi kwanza!!
Asa kwa nchi km Iran
leo Iran imeungana zaid kuliko jana!!
na tena kiongozi mkuu ni taasisi Kikatiba sio mtu!!!!
ivyo mtu akifa kwasababu zozote zile baada ya siku mbili taasisi inapata kiongozi mwengine!!!
pengine ndio hatari kuliko yule wa mwanzo,
Wenye akili tu ndio wataelewa!!
lkn tujipe muda kuona pengine mipango yao ndio iyo kwasasa wamechagiza vita!!
ili iyo Vita izae Sababu muhimu iwe Vita kamili.
Lkn ikiwa kinyume chake haaaa nitaamini Wazungu wenye akili walishazikwa wengine ndio vibabu sana.!!
Iran sio Venezuela lazima mpishane muda wa kufukia watoto wenu.!!!!
Nyoka na nchi wapi na wapi mifano mengine kuitumia wewe ni mdau w jamii forum umewaza kwanza!!!!!Umeiandika kwa uchungu mkubwa na hisia kali za kidini.
NB: Hata unapoua nyoka unashauriwa kuponda kichwa Kwanza.
You're being over sensitive and over reacting, why are you overly offended? Just because of Ayatollah?Nyoka na nchi wapi na wapi mifano mengine kuitumia wewe ni mdau w jamii forum umewaza kwanza!!!!!
unawezaje kufananisha sungura na ng.ombe😇😇
kweli vitafanana!!!!
Nyoka ukipiga kichwani tunajua matokeo ni kifo cha jumla je Iran imekufa jumla???¿¿¿¿
ingekufa jumla Tela Aviv isingewaka MOTO na leo tusingesikia Vifo pande za muuaji wa nyoka!!!
Au nyoko kafufuka anang.ata tena??¿¿¿
kuiga mifano mfu km wewe unajishushia hadhi yko jamii forum kitu ulichokijenga kwa miaka mingi.
Wale wa Oktoba 29 hukuwasemea katu japo walikuwa na wewe hapa hapa mnasoteshwa wote na ccm.Walishaambiwa muandae masanduku yakutosha ya kubebea mili ya watoto wenu, sikio la kufa..........! umimi kujibinua kifua...