The devil’s bible (the codex gigas)

Nikwambie kitu ndugu..
Ukatoriki haujaanza kupingwa leo, toka enzi za petro mpaka leo Fransisco bado unapingwa..
Badala ya kuelekeza nguvu kumpinga shetani ninyi mnaelekeza nguvu kanisa katoriki. Shetani mjanja kweli kafanikiwa kuwatumia ili tusiipate neema ya Mungu kwa kumpinga yeye ila tuanze kutupiana mawe sisi kwa sisi. ANYWAY. Kila mtu aamini anacho Amini..
Mwisho umekaribia.
 
Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.
Kila mtu anaamini anachokiamini.
 
Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.

Kaka, story inaongea mambo mengine na wewe unakuja na mambo mengine kabisa, Waroma wamefanya nini sasa?
 
Nimependa ulivyomaliza MWISHO UMEKARIBIA ubarikiwe sana mkuu,pia asante kwa kutambua kwamba tumejazwa chuki tutupiane mawe sisi kwa sisi,Mungu ni mwema sana.Mkuu Da Vinci,huko ulipo naheshimu sana maana najua upo kwenye kuutafuta ufalme wa mbinguni,lakini hebu turud kukumbuka kwamba ni mfalme kostantino(mwabudu sanamu kindaki ndaki)aliyeamua kuongoka kinusunusu na kwa kutumia ushawishi wake kanisa katoliki liliidhinisha sanamu za waabudu sanamu kuingizwa taratibu kanisani ili kuwavuta zaidi wapagani,jifikirie mkuu.
 
Umeambiwa kimeandikwa na Monk halafu wewe unawashambulia Wakatoliki. Na Pia nani alikuambia nakala yake ipo Vatican?
Mkuu,siwashambulii wakatoliki ila nawaeleza ukweli na siwalazimishi kukubali najaribu tu kuwashawi
 
Masalia mna matatizo sana! Pambaneni na makanisa yenu!!Kanisa ni Moja,Takatifu,Katoliki la Mitume.
 
mfalme kostantino(mwabudu sanamu kindaki ndaki)aliyeamua kuongoka kinusunusu na kwa kutumia ushawishi wake kanisa katoliki liliidhinisha sanamu za waabudu sanamu kuingizwa taratibu kanisani ili kuwavuta zaidi wapagan
sijakuelewa hapa mkuu.
inawezekana unapoint jaribu kufafanua zaidi kidogo labda utaeleweka....
 
sijakuelewa hapa mkuu.
inawezekana unapoint jaribu kufafanua zaidi kidogo labda utaeleweka....
SALA NA KAZI,kanisa katoliki liliamua kutupeleka shimoni,imani ya kweli ni YESU wa nazareti,lakini hawa wakatoliki wamejazwa vitu ambavyo leo wanaviamini na hawawezi kubadilishwa,inaniuma sana mkuu lakini sidhani km tutafika huko,
 
Ukiisoma bibilia hasa agano jipya kwa umakini utagundua kuingia mbinguni sio vyepesi kama wengi tunavyowaza,,,haya mathehebu yanatufariji kwa maneno ya laini tu,Mfano kusengenya inatosha kumpeleka mtu jehanam.,,
 
Hahahahaaa ni kweli mkuu,kuna muda walikaa wakatafsiri biblia kwa manufaa yao,ila hawataweza.
 
Mkuu Nelson ww unaabudu kanisa lipi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…