Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Nikwambie kitu ndugu..Nimeamini ukiona mtu anaimba wimbo mbaya ujue hana mzuri wa kuuimba,nikujibu kwa kifupi tu kama itasaidia lakini
1:uko hivyo(namna unavyojibu nk)kwa sababu bado unaamini hicho unachokiamini(na napata shaka ni 'Yesu' yupi uliyempokea kwa mujibu wa maelezo yako flani humu jf,kama ni 'Yesu' wa huko upande uliko basi kazi unayo...mkimbie huyu aliyetajwa kwenye 2wathesalonike 2:3-4....Ukishakaa mbali na huyo baas maswali yako yote hapo juu yatajibiwa,la vinginevyo tutakesha hapa mkuu.
Ukatoriki haujaanza kupingwa leo, toka enzi za petro mpaka leo Fransisco bado unapingwa..
Badala ya kuelekeza nguvu kumpinga shetani ninyi mnaelekeza nguvu kanisa katoriki. Shetani mjanja kweli kafanikiwa kuwatumia ili tusiipate neema ya Mungu kwa kumpinga yeye ila tuanze kutupiana mawe sisi kwa sisi. ANYWAY. Kila mtu aamini anacho Amini..
Mwisho umekaribia.