Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Bibilia cha mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,siwashambulii wakatoliki ila nawaeleza ukweli na siwalazimishi kukubali najaribu tu kuwashawi
Very Good CommentNdugu yangu hangaikia roho yako kwanza ujue itafika wapi siku ukifa. Ninyi ndio kama wale watu waliotaka kumpiga yule kahana mawe ati ni mdhambi sawa sisi wakatoriki ni mawakala wa rucifer. Je ww ni mwema sana? Hii nguvu unayotumia kuuongea ukatoriki ungetumia kwako kupunguza uzinzi
Ww imetoka huko unafikili ni utata hiyo kitu hahahaaaaa....bibilia ni ya kikuda tena sana.Acheni kufuatilia mambo ya conspiracy theories na uwezo wenu wa kufikira mdogo,mtapotea,
Mtoa mada kwanza nakupinga,Bible haijatoka kwenye vitabu visivyoeleweka
The Codex Gigas (English: Giant Book) is the largest extant medieval illuminated manuscript in the world, at 92 cm (36 in) tall.[1] It is also known as the Devil's Bible because of a very unusual full-page portrait of the devil, and the legend surrounding its creation.Acheni kufuatilia mambo ya conspiracy theories na uwezo wenu wa kufikira mdogo,mtapotea,
Mtoa mada kwanza nakupinga,Bible haijatoka kwenye vitabu visivyoeleweka
dhehebu gani kwanza wewe!?Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.
Toka uhongwe hiyo Samsung TV na Dstv unatambaa sana haya bhana. [emoji4]National geographic kila siku za jumpili mchana wanaoneshaga documentary za hivi...
Zina mambo ya ajabu sana duniani humu
Mkiona mnanyooshewa vidole sana badilikeni. Roman catholic na muslim mtadaiwa roho za wanadamu mlizozipotosha, kwa mafundisho yenu ya uongo.Nikwambie kitu ndugu..
Ukatoriki haujaanza kupingwa leo, toka enzi za petro mpaka leo Fransisco bado unapingwa..
Badala ya kuelekeza nguvu kumpinga shetani ninyi mnaelekeza nguvu kanisa katoriki. Shetani mjanja kweli kafanikiwa kuwatumia ili tusiipate neema ya Mungu kwa kumpinga yeye ila tuanze kutupiana mawe sisi kwa sisi. ANYWAY. Kila mtu aamini anacho Amini..
Mwisho umekaribia.
Shetani lucifer akajichora mwenyeweCODEX GIGAS au kwa kiswahili (kitabu kikubwa),ndio kitabu kikubwa Zaidi kuwahi kuandikwa
.
inaonyesha ata ww hujui km kwel nakala yake iko vatcan so ni wajib wako kuutafta ukweli. sio kubshaanaUmeambiwa kimeandikwa na Monk halafu wewe unawashambulia Wakatoliki. Na Pia nani alikuambia nakala yake ipo Vatican?
inaonyesha ata ww hujui km kwel nakala yake iko vatcan so ni wajib wako kuutafta ukweli. sio kubshaana
hivi ni wapi Waroma wanafundisha iba, ua, zini, muabudu lucifer?...na mambo kama hayo!..Kanisa Katoliki limenifundisha Usitende dhambi! Ukitenda dhambi Utubu hiyo dhambi usisubiri uchwe uche! Na Ukitubu Usiirudie hiyo dhambi! Na ukiona hukuirudia hiyo dhambi ujue si kwa akili zako wala nguvu zako, Sifa Mrudishie Mwenyezi! Amen!Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.
Amenhivi ni wapi Waroma wanafundisha iba, ua, zini, muabudu lucifer?...na mambo kama hayo!..Kanisa Katoliki limenifundisha Usitende dhambi! Ukitenda dhambi Utubu hiyo dhambi usisubiri uchwe uche! Na Ukitubu Usiirudie hiyo dhambi! Na ukiona hukuirudia hiyo dhambi ujue si kwa akili zako wala nguvu zako, Sifa Mrudishie Mwenyezi! Amen!