The difference between the president and dictator extremist.

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668

- Rais hufuata mienendo na matakwa ya katiba.

- Dikteta uchwara hupuuza na kufanya kauli zake kuwa sheria.

- Raised huruhusu mawazo ya waliomchangua.

Mtawala akiachwa afanye anavyotaka, na wa chini yake wanaiga. Wa chini yao nao wanaiga. Unakuta hadi mwalimu mkuu naye anaiga. Wale wasiopendelea sifa hizo za mkuu huondolewa, au hujiondoa au huondoka kwa njia zingine. Ni falsafa ya "Tone at the top" inayoeleza namna kiongozi wa juu anavyoweza kujenga au kuharibu mfumo wa kiongozi kutoka yeye hadi watu wa chini kabisa, kutegemea kauli zake na mienendo yake.

I like uhuru.

Mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa Mkuu ndiyo sababu tunaviona vidikteta uchwara vikiibuka kila kona kuanzia bungeni, mikoani, wilayani, Wizarani etc kutaka kumuiga kinara wa udikteta uchwara nchini.
 
Ni kweli kabisa Mkuu ndiyo sababu tunaviona vidikteta uchwara vikiibuka kila kona kuanzia bungeni, mikoani, wilayani, Wizarani etc kutaka kumuiga kinara wa udikteta uchwara nchini.
Kungekuwa na uchaguzi wa rais EA basi uhuru angetufaa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Jamaa ana mapungufu yake kama binadamu pia kama kiongozi lakini anajitahidi sana. Napenda sana kauli zake za kudumisha umoja na mshikamano kwa manufaa ya Kenya na Wakenya, siyo hapa kwetu ni kauli za kusambaza chuki za kutisha kila kona.

Jamaa ypo poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Jukwaa la siasa mmeishiwa hoja mmeamia huku. Chadeko mtaangaika sana mwaka huu. My take, mjiandae ki psychology kuwa kama TLP kwani 2020 CUF watakuwa ndokinara wa siasa upinzani. Yes Magufuli ni dikteta lakini dikteta wa mfano wake kama alivyo kuwa Nyerere. Kipindi cha nyuma mliubili kuwa mnaitaji dikteta Leo mnaubili kitu tofauti.
Mtoa mada huyo Uhuru unae mpenda nae pia anapenda utawala wa Magufuli. Pia aliomba akiongezewa muda ataitawala Kenya kama Magufuli anavyoitawala Tanzania. Ningeshauri mludi tena kwenye drawing table muangalie mlikosea wapi kwani naona mnawatu wawili mlikosea kuwapa uwanachama. Ila kwa kuwa Chadeko kazi yenu nikukusanya mafisadi na waovu kutoka CCM nibora mbaki nao kwani hawana pengine pakwenda. Kiukweli kwa sasa Chadeko ipo ICU.
 
Duu mkuu, hii sasa kali...
 
Sina jina la magufuli kwenye mada yangu. Na kupongeza sio kosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facts 100% mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…