mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
- Rais hufuata mienendo na matakwa ya katiba.
- Dikteta uchwara hupuuza na kufanya kauli zake kuwa sheria.
- Raised huruhusu mawazo ya waliomchangua.
Mtawala akiachwa afanye anavyotaka, na wa chini yake wanaiga. Wa chini yao nao wanaiga. Unakuta hadi mwalimu mkuu naye anaiga. Wale wasiopendelea sifa hizo za mkuu huondolewa, au hujiondoa au huondoka kwa njia zingine. Ni falsafa ya "Tone at the top" inayoeleza namna kiongozi wa juu anavyoweza kujenga au kuharibu mfumo wa kiongozi kutoka yeye hadi watu wa chini kabisa, kutegemea kauli zake na mienendo yake.
I like uhuru.
Mr mkiki.
Sent using Jamii Forums mobile app