The difference between Turkana and Singida

Na hiyo industrial milk ndio inawapea cancer sana hawa wakenya, cancer huko no noma sana SAA hii
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo woote nchi yaangu Tanzania biashara nayo makazi sitokusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa !!! Nimejikuta naimba tu nyimbo yetu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ati same weather Conditions? Have you ever been to Turukana kweli ama unaiskia tu, the temperatures there range from 38Β°-40Β° rivalling Egypt. Northern Kenya is literally a desert only that it's Semi. Tz ingekuwa na hii desert mngefilisika. Chalbi Desert Turukana County
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
 
Lakini bro mngeweka strategies ku overcome hili.
Nakumbuka 2016 ktk decoder ya startimes kuna channel yaitwa TV1 Ilikua inaelezea kuhusu mambo ya Africa matatizo yao na uchumi wao pamoja na Biashara.
Kilikua chaitwa AID and TRADE.
Waliionesha Egypt ikianzisha kilimo cha kisasa ktk desert na kuweka kilimo cha umwagiliaji pia.
Vipi kuhusu ww Kenya ambawe hujawafikia Egypt kwa jangwa????
Why can't you do like them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…