Mkuu,nimesema "unaandika biblia KAMA ni kitabu kimoja" sijasema unamesema biblia ni kitabu kimoja....Hapana hamna mahali niliposema biblia ni kitabu kimoja...labda umesema hivyo kwa maana IPI??Mimi nafaham fika orijino kopi ni hizo hati kunjo unazozisema
Pili niambie wew ulivoelewa kwanini king James ni sahihi,tuelimishe hapo
ok umeeleweka mkuuMkuu,nimesema "unaandika biblia KAMA ni kitabu kimoja" sijasema unamesema biblia ni kitabu kimoja....
Pia,sijasema kuwa King James ni sahihi isipokuwa nilisema zile nakala za kale za Qumran ndizo zilionesha kuwa Biblia toleo la King James ni sahihi....
Naomba uelewe sahihi hayo kwanza mkuu....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndo maana sintaacha kufanya matambiko kuwashukuru mababu zangu na mizimu ya kwetu.
Una clip hiyo mkuu,Tafadhali in directkuna makala fb ya padre titus amigu akielezea makosa yaliopo kwenye biblia tunazo tumia sasa na kosa moja wapo kuu ni kuwa jina la mungu ni yehova! kwa vile alivyo eleza kama padre mwalimu wa seminar hapana shaka kuna kitu hakipo sawa kwenye biblia