Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Mkuu,nimesema "unaandika biblia KAMA ni kitabu kimoja" sijasema unamesema biblia ni kitabu kimoja....Hapana hamna mahali niliposema biblia ni kitabu kimoja...labda umesema hivyo kwa maana IPI??Mimi nafaham fika orijino kopi ni hizo hati kunjo unazozisema
Pili niambie wew ulivoelewa kwanini king James ni sahihi,tuelimishe hapo
Pia,sijasema kuwa King James ni sahihi isipokuwa nilisema zile nakala za kale za Qumran ndizo zilionesha kuwa Biblia toleo la King James ni sahihi....
Naomba uelewe sahihi hayo kwanza mkuu....