Mkuu BOSSHaya mambo yapo tatizo public tunakosa taarifa sahihi tu kutokana na ukosefu wa taarifa, hope unajua media zetu,,waandishi wake wengi hawana ujasiri wa kutafiti na kuandika current news zinazotokea katika jamii yetu. kama unafuatilia hata CNN-media awards niadhani ni Betty Mkwassa tu alutunukiwa zawadi na documentary zake za ukimwi. miongoni mwa wanafunzi wa UDSM, Mzumbe na vyuo vingine haya mambo sio mageni hata kidogo miongoni mwa hawa wanafunzi, Uzuri wa Wakenya wana Investigative journalist wengi Mkuu, kudhibistisha haya kama una access na TV za kenya jaribu kuangalia kipindi cha JICHO PEVU. ndo utagundua hawa jamaa katika uandishi wako level nyingine