The earth is flat and is not rotating

Duh, kumbe zile assumptions za kwenye physics zilinisaidia,
naona kuna watu hawana vivid imaginations kabisa ndo maana wanaongea kama wako 2000BC, inabidi warudie form 1/2 kabisaaaa
 
Bado sana,don't be fool please.Vipi kuhusu TIMEZONES,ECLIPSES,na pia four seasons of the year?
Pia naomba uniambie kuna uhusiano gani kati ya 360 degrees za duara na 365 days of the year.
 
Ina maana nikichukua ndege nikaanza safari ya kuelekea mashariki, ina maana itafika siku nitatokelezea magharibi au?

Nawaza tu......
 
Simlaumu mleta mada, kazaliwa bongo ambapo hata astronomy museums hakuna, na kuna uwezekano hajasoma chuo au kama kasoma basi sio sayansi na hawajahi fanya publication yoyote ile so anafikiri wanaweza tumia sayansi kutudanganya.

Mtu aliyefanya publication anajua vizuri inavyokaguliwa na kuombwa ku~prove kile anacho~claim, akishindwa inatupiliwa mbali. Kusema Earth is flat karne hii ni plain stupidity hakuna kingine. Wengine hizo article wanapublish kupiga tu hela maana zina wasomaji wengi sana wanaopenda ujinga, its human nature kushindana. Mleta mada kaombe kazi shirika la usafirishaji kupitia baharini ushangae unaenda east unatokea west na kurudi palepale. Kama ni square huko chini sijui ulipitaje.
 
Unajua n kwamba haujawasoma elite races vizuri uzi kama huu ulishawahi kuwekwa na mkuu

moudytunechi

Na akaweka ushahidi mkubwa 2 ila inavyoonekana haujauelewa dunia ni ...tambarare
 
parking orbit ee .wacha muchezo ww hii yote concpiracy 2
 
Mkuu mleta Mada ana point...ww cjui kwa nn unamshambulia...yeye kaleta mpaka ushahd wa ku support hoja zake...

Is better if u think twice...labda nam nifkrishe hakir hiv ndege inaporuka inakua within kwenye speed ya Dunia wakat tayar imeshaiacha surface ya Dunia...

Japo n cku nying nmeyasoma haya kwenye advanced level...hiv escape velocity ilimanisha nn.vs speed ya Dunia...?

Tukumbuke Dunia Ina tembea Katka different speed.. Yaan Katka mhil wake as Ina undergo rotation, na Katka revolution pia Ina speed yake....

Je ndege inapokua angan vp gravitional force...? Unataka kuniambia central fugal force na central petal force havko applied hapa.....! Nafkr mnaosoma physics na kufanya research tunaomba msaada...
 
Axha uongo ww
 
Hizi mada huwa zinapotea afu zinarudi tena na hoja zile zile.. Na mtu anakubali mpira unaorushwa live kwenye tv kwa kutumia technology ya satellite ila anakataa picha za satellites hizohizo zinazoonyesha picha ya dunia.. Technology yote hii iliyopo saiz bado unadhani kuna watu wangekubali kudanganywa na propaganda kama hizi..
 
Uko sahihi sana. Dunia ni kitovu cha ulimwengu. Kitovu kinakuaje part na mizinguko kama mengine?
Man big up
 
Mkuu unachanganya vitu, kuna vituo vya anga viko low orbit ivi haviwezi kwenda same speed na dunia, Sattelite au station pekee zinazokuwa matched na speed ya dunia ni ziko Ktk Geostationary orbit kiasi cha 36000Km kutoka apa dunia, Chini ya huo umbali huwezi ku set sat ime match na speed ya dunia na ikakaa kwenye orbit yani below apo lazima speed ipungue ili kuepusha hio satellite kuvutwa na Gravity, kuna calculation zake kutegemea na umbali na Gravitational
 
Sattelite zina Vitu vya kuiongezea spewd na kuipunguza nafikiri watu wa Mechanical hapa watadadavua in details what is this ila mimi nakupa General concept, Rocket ndio zinapeleka Sattelite katika orbit Ikifikisha katika orbit basi Sattelite inapaswa kupewa initial speed na rocket after there rocket huiachia hio Sattelite ikiwa na speed fulani, Sattelite haihitaji Engine kuendelea kurotate inazunguka kupitia nguvu ya uvutano yani gravitational force ila incase Sattelite imepungua speed au imezidi basi walioko ground station wata either switch on Means ya ku increase au kuipunguza speed ime match na calculation zao kulingana na orbit, Ukiwa kwenye ndege Ukarusha kitu chini mfano Mzigo hautahitaji Engine ili huo mzigo udondoke ardhini ila kani ya uvutano ndio ita act na kuupa speed fulani sasa unaweza kuweka engine huo mzigo ili kucontrol namna utakavyodondoka unaweza kufanya upungue speed au uongezeke kwa kutumia hio engine ila main speed italetwa na Gravitational force
 
Bado mtoa mada ana hoja za kufanyia kazi. ndege inaporuka inakua imeacha uso wa dunia hivyo ni kweli kama inaelekea mashariki basi umbali ungeongezeka na kama ingeelekea magharibi umbali ungepungua.
Ni rocket pekee ndio zinaweza kutoka nje ya Uso wa dunia yani atmosphere kumbuka Engine ya ndege inahitaji oxygen kuendelea kuburn fuel ivo ndege za kawaida ziko ndani ya atmosphere, Rocket kuna means wanaweka yani oxygen na combustion chamber viko enclosed, Pia kutoka kwenye uso wa dunia sio kitu cha mchezo mchezo ili Utoke unahitaji uwe na speed kuanzia 11000M/S, Hio ndio Escape velocity ya kuchomoka ktk Dunia
 
Wakuu dunia ni Sphere yani hio iko proved na mambo mengi sana Kuna Sattelite kibao zinaonyesha picha za dunia Tena kama international space station wako live youtube muda wote
 
The earth is a flattened sphere...
Nilishafaulu kwa hivyo hivyo buanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…