The earth is flat and is not rotating



Hapo ndipo utaipenda physics..
 

Hizi law zote zimejaa assumptions tupu , kiti hakiko katika motion lazima idondoke hapo hapo , panda piki piki piga mafuta ya kutosha rusha hiyo pesa juu kama utaidaka tena , lazima itadondoka nyuma tu

Lile swala la ndege naliunga mkono 100% hasa inapokua inaenda uelekeo tofaut na dunia , lazima umbal upungue , na ikienda sambamba na dunia umbal lazima uongozeke

Dunia ina mwendo wake


ndege ina wake , Sidhan kama universe inazunguka , hili n jipya nalisikia kwako nitajitahd kulifuatilia
 

Assumption unafanya wewe unayesema kiti hakipo katika motion.

Kiti kipp katika motion na dunia kulizunguka jua, at 108,000 km/ hr. 30 km/second .

Habari ya pikipiki nishaizungumzia hapo juu nilipoongelea kutupa shilingi nje ya ndege kutoka kwenye ndege, labda kama una matatizo ya kusoma hujaelewa.

Halafu naona hata hufahamu tofauti kati ya dunia na universe. Labda ungeanza kujifunza vitu kama hivyo kwanza.

Kama dunia ni bapa na si mviringo, kwa nini wote hatuoni jua pamoja?

Soma maswali ya mzee74 post number 93 umjibu.

Watu wamejua dunia ni mviringo kabla ya enzi za Aristotle, bado kuna watu wanahoji hili?
 
Last edited by a moderator:


Naposema kiti hakipo katika motion maana yangu n kwamba , kiti kipo katika uso wa dunia ndege ipo angan , Kiti kikiwa katika uso wa dunia kinazunguka ama kusogea vipi?

Usipanic kaka , twende taratibu lengo n kuelimishana , ulisema ukiirusha shilling juu kutoka ndan ya ndege itapoteza Kinetic energy kutoka kwenye ndege so itaanguka kwingine , Ndege inapokuwa hewan , Ina mwendo wake na speed yake tofauti kabisa na dunia , kwann umbal haubadiliki , swali halijajibiwa , kama shilling inaweza kuanguka kwingine kwann ndege itue umbal ule ule

Kuhusu dunia na universe , kumbuka mwanzon nilikuuliza hv "unataka kuniambia anga nalo linazunguka " ukanijibu ndio , au umesahau?

Kwann hatuon jua kwa pamoja , kama simu yako inatochi ama tafuta tochi , chukua kitu chochote chenye umbo mstatil ama triangle , kimulike kwa juu , alafu nipe jibu je pande zote za kifaa unachomilika zimefikiwa na mwanga kwa wakati mmoja?
 

mkuu hii ndege ikiruka toka tanzania kwenga ft 38000 juu hua inabadili altitude ikiingia anga la amerika ? kama speed ya ndege ni chini ya ile ya dunia nini hutokea ndege ikasafiri kwenye urefu wa ft 38000 huku ± ikiwa ni hari ya hewa ?
bado kuna hoja kwamba pilot wa AIRASIA aliomba apande juu kidogo kukwepa hali ya hewa...ina maana dunia na anga mwendo unakinzana baadhi ya maeneo ?
 
Naposema kiti hakipo katika motion maana yangu n kwamba , kiti kipo katika uso wa dunia ndege ipo angan , Kiti kikiwa katika uso wa dunia kinazunguka ama kusogea vipi?

Kiti kipo katika uso wa dunia inayozunguka jua kwa speed ya 108,000 km/ hr, that's 30km/ second. Let's get that straight.


Kwanza kabisa nimeongelea kuhusu kurusha shilingi mara mbili. Ndani ya ndege na nje ya ndege.

Habari ya kupoteza kinetic energy ni shilingi inayorushwa nje ya ndege, over time.

Unapouliza kwa nini umbali haubadiliki inabidi ujibu ueleze umbali gani, ama sivyo swali lako limekosa maelezo ya kutosha kulifanya lijibike.


Kuhusu dunia na universe , kumbuka mwanzon nilikuuliza hv "unataka kuniambia anga nalo linazunguka " ukanijibu ndio , au umesahau?

Anga as in atmosphere ya dunia. Dunia inavyozunguka jua atmosphere yake pia inazunguka jua, kwa sababu atmosphere inabebwa na gravity ya dunia kama wewe unavyobebwa na gravity ya dunia.

Kwann hatuon jua kwa pamoja , kama simu yako inatochi ama tafuta tochi , chukua kitu chochote chenye umbo mstatil ama triangle , kimulike kwa juu , alafu nipe jibu je pande zote za kifaa unachomilika zimefikiwa na mwanga kwa wakati mmoja?

Unafahamu speed ya mwanga ni ipi na ukubwa wa dunia ni upi na mwanga unatumia muda gani kutoka kwenye jua mpaka kufika duniani na muda gani kuweza kusafiri umbali wote wa dunia?

Umejibu post namba 93 ua mzee74 ?

Kama dunia si duara kwa nini ukipanda katika ghorofa refu unaona horizon ina curvature?

Kwa nini meli inayokuja kutoka mbali baharini inaanza kuonekana mast?

Kwa nini kivuli cha dunia katika mwezi mara zote ni sehemu ya duara?

Hujajibu maswali.
 
Pamoja na kuwa mimi pia nimemezeshwa fizikia kama anayoizungumzia mkuu Kiranga ila hapo kwenye location tutaachana kidogo,labda awe anamaanisha kuwa ndani ya ndege una deal na kitu kingine na kwenye flat board ya gari ama pikipiki una deal na kitu kingine tofuti,acha tu ndani ya chombo chenye mwendo wa kasi,ila hata hapa nilipo nikirusha sarafu juu kwa umbali let's say wa mita kumi na nikanyanyua hatua kuondoka hapo nilipo hiyo sarafu itaangukia nyuma kwa hakika,kuna ukweli kwenye majibu yenu ila kuna makosa ya ki ufafanuzi,si kila mtu anaijua fizikia,na si kila anayedhani anaijua anaijua fizikia anaijua kweli,wengine wameelewa wasichoelewa kuwa hawajaelewa.
 
Last edited by a moderator:

Ukiwa katika gari inayoenda 60 km/hr, ukarusha shilingi, kabla hujairusha ile shilingi itakuwa ina kinetic energy inayotokana na mwendo wa 60 km/hr. Itatua kwa energy hiyo si mbali sana na ulipoirusha, haitaenda kupeperushwa na kigonga kioo cha nyuma.

Ukiwa umekaa huna mwendo, ukarusha shilingi kwa mita kumi, ulivyokuwa unairusha ile shilingi haina kinetic energy, itaruka kutoka pale ulipokaa, itadondokea sio mbali na pale, wewe ukunyanyuka na kupiga hatua mara tu baada ya kuirusha haiwezi kukufuata, kwa sababu hujairusha na kinetic energy ya kukufuata. Huu mfano wako no tofauti na mtu anayerusha shilingi katika ndege au gari, kwa sababu hawa waliorusha shilingi katika ndege yenye mwendo au gari lenye mwendo wanapoirusha shilingi tayari inakiwa na kinetic energy ya mwendo wa ndege/ gari.

Kitu ambacho hujakizingatia ni hii habari ya kwamba anayerusha shilingi wakati amekaa chini duniani anarusha shilingi bila ya kinetic energy (discounting the kinetic energy of the earths movement as a constant).

Anayefikiri anaijua fizikia anatudhihirishia kwamba haijui, wote tunajifunza. Kuna ma quantum physics huko yako so counterintuitive kiasi kwamba kuyaelewa inabidi ujivue uelewa wote wa physics ya kawaida uanze kuu hungulia ulimwengu kwa hesabu tu.
 
Last edited by a moderator:

mkuu Kiranga nikutoe nje ya maada kidogo tu, natamani sana kusomea habari hizi za quantum physics pasua kichwa
je kuna uwezekano wa kupata chuo nkasome bachelor ?

.made in mby city.
 
Now that we have access to space, the easiest way to prove the Earth is spherical is to leave it and view it from a distance. Astronauts and space probes have done just that. Every picture of Earth ever taken shows only a circular shape, and the only geometric solid which looks like a circle from any direction is a sphere.

One of the oldest proofs of the Earth's shape, however, can be seen from the ground and occurs during every lunar eclipse. The geometry of a lunar eclipse has been known since ancient Greece. When a full Moon occurs in the plane of Earth's orbit, the Moon slowly moves through Earth's shadow. Every time that shadow is seen, its edge is round. Once again, the only solid that always projects a round shadow is a sphere.

Answered by: Paul Walorski, B.A., Part-time Physics/Astronomy Instructor


[SIZE=-1] This is a question that has been asked for many years, and there are some very intuitive, and some not-so-intuitive answers.

To start with... there's a horizon, meaning that the surface that one is observing from is not an infinite plane. On the clearest of days, the only restriction to one's range of sight is the horizon. There can be two explanations for this - one, that the Earth at some point just stops, as if you were looking off the edge of a table. The other is that the Earth is round. Hundreds of years ago, before the invention of the compass or sextant, precise navigation for ships was difficult, even with the stars. Ships that ventured past sight of land were often lost, and thus it was generally believed that the world simply *stopped* at the end of the horizon. With the invention of the compass, and improved map-making, people began to dare more, and with the return of Columbus from his trans-Atlantic voyage, the concept of the Earth as flat was shattered.

Further proof of the Earth being round came after the voyage of Columbus. When Newton discovered and measured the force of gravity, that number could then be tested anywhere the theory was known. Since the force of gravity is roughly the same everywhere on the globe, it could be surmised that the Earth must be spherical. If the Earth were not round, whole hemispheres would have different atmospheric pressure and significantly different sea levels. Also, pictures taken of the Earth in the last 50 years have proved absolutely conclusively that the Earth is round. These are just the arguments that don't require much physics knowledge to explain, there are others that are more technical, but I think that the simplest arguments are the best.

Answered by: Frank DiBonaventuro, B.S., Physics grad, The Citadel, Air Force officer [/SIZE]


[SIZE=-1] There are a multitude of methods in which any one can prove that the earth is a sphere. These are the most common.

You can launch a rocket to a high altitude and take pictures of the earth (which various government agencies and private groups have already done thousands of times in the past), but that isn't the most practical way. Pictures and videos taken by orbiting satellites and space stations are certainly the most definitive proof that the earth is a sphere.

But if you're not convinced, read on...

You can also observe, with binoculars, ships slowly 'sinking' below the horizon as it sails farther and farther out to the ocean, then watch them come back. They certainly didn't fall off the edge of the earth! You can also sail or fly around the world.

The Greeks discovered that the earth is round by observing lunar eclipses (i.e. when the earth blocks the sun from the moon, casting its round shadow on the moon's surface).

Another method is simultaneously measuring the length of the shadows cast by identical poles perpendicular to a flat surface that is tangential to the earth's radius at various, distant locations. If indeed the earth is round, then the shadows should all vary in length from one distant location to another, which means that the angle at which the parallel rays of sunlight struck each pole varied from one location to another. (recall the alternate-angles theorem from Geometry class) If the earth is flat, then the lengths of all the shadows should be identical when measured simultaneously, since all rays of sunlight that strike the earth are parallel. However, they are not identical, but in fact, varies in such a way that the angles indicate a spherical surface. (This was one of the earliest methods to determine the radius of the earth)

Also, keep in mind the 24 hour time zones. When it is noon in Hawaii, it is approximately midnight in the Middle East and vice versa. How can it be noon and midnight simultaneously? It is certainly impossible with a flat earth and a sun millions of times more massive.

If I were a billionaire and physically fit, then proving to you the earth is round would be no problem. I can just take you with me on the space shuttle and we'll watch with our own eyes the earth from the orbiting International Space Station.

I have heard from astronauts that there is no experience comparable as watching the earth from above. [/SIZE]
 
mkuu Kiranga nikutoe nje ya maada kidogo tu, natamani sana kusomea habari hizi za quantum physics pasua kichwa
je kuna uwezekano wa kupata chuo nkasome bachelor ?

.made in mby city.

Hata hapo Mbeya City unasoma tu mbona.

Quantum Physics is part of A Level physics.

Kozi za engineering karibu zote zina quantum physics angalau elementary.

Kuna courses kibao za bure mpaka za Stanford na Harvard online, ushawahi kusikia kitu kinaitwa Coursera?

Ila mambo ya online classes inabidi uwe na mtandao wa maana, sio bundle ya manati, utaimaliza dakika tano tu, maana mambo ya ku stream videos za lectures ndio order of the day.
 
It doesn't make any sense. I wonder who is falling for this blah blah
 

mbona anga likiangaliwa toka duniani nalo ni mviringo huku ukweli ikiwa ni eye illusion tu ! kwa vipi dunia ikitazamwa toka angani isiwe ni illusions ya macho tu.
HATA WAKISEMA NDIYO EXPERIENCE BORA BADO HAITHIBITISHI KWAMBA KINACHOONEKANA MVIRINGO KWA MBALI SIO LAZIMA KIWE MVIRINGO KWA KARIBU.
Jicho linaonaje ?
 
It is 2015 CE. And people are saying the earth is flat like a chapati! Seriously? It thought it was a joke.
I am worried about our education system. Kuna mtu alinitania kwamba Wabongo tunaongoza kwa kuamini mambo ya kishirikina. I am beginning to understand now. It is a symptom of our dysfunctional education.
Thanks to those who are lighting the candle in this forum. Thank you Kiranga, RockSpider, na wengine mliochangia. Ukianzia hapo walipoelezea utapata mwanga wa kuendelea kutafuta maarifa.
Kwa wale wanaotumia msahafu kuelezea mambo tunayoyaona, nisema tu kwamba the scripture is full of parables and symbolism. We are encouraged to be more reflective in the way we view things. Often times a literal reading may mislead. The prophets said this, and it is repeated in Matt 13:35 of Jesus and his parables: "I will open my mouth in parables, I will utter what has been hidden since the foundation of the world." Folks, there is much that is hidden in the scriptures. Open your mind.
 
Hapa JF unaweza kubishiwa hata kama watu tupo duniani au tunafikiri kwamba tupo tu ila hatupo.

Katika jina la mjadala.

It's all good.

Nakumbuka nilibishana haya masuala darasa la pili.

Siku hizi watoto wa darasa la kwanza n hi za wenzegu wanaongelea formation za ma black hole.

Sie bado tuna watu wanahoji kama dunia ni duara na inazunguka.

At some point I am tempted to see this as just a contrarians parade.

But one never knows with these things, hey, there is even a flat earth society.

http://www.theflatearthsociety.org/cms/
 
Rejea kusoma post yangu Mkuu ...
 
Mkuu kwanza lazima ujue definition ya EARTH ndio utaelewa kwa rahisi kwanini umbali wa safari za ndege haubadiliki japokua dunia nayo inazunguka kwa kasi zaidi. Kwa ufupi tu nikwamba vyote vilivyo ya ndani za layer za EARTH, huzunguka nao hiyo EARTH bila kuathirika na uzungukaji huo. Kama unatoka nje ya EARTH ndio utakupambana na athari za mzunguko huo wa kasi. i.e Ukitoka nje ya layer zote 4 za atmosphere kabisa kama zinavyo onekana katika hiyo picha, (Exosphere ) ndio utaona athari za Mzunguko wa Dunia hii ( EARTH) moja kwa moja.


 

bado umesizi mkuu utashtuka lini?
 
quraan ishasema long tym dunia tambarare bishana utoke povu shauri yako endelea kusizishwa kakaa big up sana dunia duara oyeeee hufaidiki kitu bullsh.it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…