STimira
Senior Member
- Feb 14, 2012
- 133
- 24
we unataka zihame ziende wapi??
Labda ziende zikajazane New York
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unataka zihame ziende wapi??
Anga linaenda na dunia kama vile ikiwa kwenye ndege inayokqenda kasi na kujubeba unavyoweza kukaa na kurusha shilingi halafu ukaidaka mkononi palepale. Hata kama ndege inaenda 1000 km/hr, ile shilingi haiendi kianguka nyuma ya ndege, kwa sababu na yenyewe ina kinetic energy ya mwendo wa ndege.
Hivyo hivyo, anga linaenda na dunia kina kinetic energy inayofanya anga la dunia liende na dunia, halafu gravity inafanya anga libaki lilipo.
Unapoangalia suala la dunia kuzunguka jua unatakiwa kuangalia dunia na anga lake, aiyo dunia kwa kuanzia ardhi tu.
Kaa kwenye kiti, rusha juu shilingi kwa sekunde tatu, uone kama itapeperuka kwa kasi ya mwendo wa dunia kulizunguka jua108,000 km/hr ( that's 30 km/second) na kutua km 90 kutoka ulipo au itatua umbali usiozidi mita chache kutoka ulipo.
Ukirusha shilingi nje ya ndege kutoka kwenye ndege kwa sekunde chache shilingi ita accelerate na kinetic energy ikiyotoka nayo kwenye ndege, baada ya hapo itakuwa haipati tena kinetic energy kutoka kwenye ndege itaanguka kwa kufuata nguvu za uvutani wa dunia.
Physics ya form one.
Tatizo tunaongeza wanafunzi aekondari, lakini elimu inashuka.
Au labda elimu inapanda tunajibizana na watoto wa darasa la nne :s .
Hizi law zote zimejaa assumptions tupu , kiti hakiko katika motion lazima idondoke hapo hapo , panda piki piki piga mafuta ya kutosha rusha hiyo pesa juu kama utaidaka tena , lazima itadondoka nyuma tu
Lile swala la ndege naliunga mkono 100% hasa inapokua inaenda uelekeo tofaut na dunia , lazima umbal upungue , na ikienda sambamba na dunia umbal lazima uongozeke
Dunia ina mwendo wake
ndege ina wake , Sidhan kama universe inazunguka , hili n jipya nalisikia kwako nitajitahd kulifuatilia
Assumption unafanya wewe unayesema kiti hakipo katika motion.
Kiti kipp katika motion na dunia kulizunguka jua, at 108,000 km/ hr. 30 km/second .
Habari ya pikipiki nishaizungumzia hapo juu nilipoongelea kutupa shilingi nje ya ndege kutoka kwenye ndege, labda kama una matatizo ya kusoma hujaelewa.
Halafu naona hata hufahamu tofauti kati ya dunia na universe. Labda ungeanza kujifunza vitu kama hivyo kwanza.
Kama dunia ni bapa na si mviringo, kwa nini wote hatuoni jua pamoja?
Naposema kiti hakipo katika motion maana yangu n kwamba , kiti kipo katika uso wa dunia ndege ipo angan , Kiti kikiwa katika uso wa dunia kinazunguka ama kusogea vipi?
Usipanic kaka , twende taratibu lengo n kuelimishana , ulisema ukiirusha shilling juu kutoka ndan ya ndege itapoteza Kinetic energy kutoka kwenye ndege so itaanguka kwingine , Ndege inapokuwa hewan , Ina mwendo wake na speed yake tofauti kabisa na dunia , kwann umbal haubadiliki , swali halijajibiwa , kama shilling inaweza kuanguka kwingine kwann ndege itue umbal ule ule
Kuhusu dunia na universe , kumbuka mwanzon nilikuuliza hv "unataka kuniambia anga nalo linazunguka " ukanijibu ndio , au umesahau?
Kwann hatuon jua kwa pamoja , kama simu yako inatochi ama tafuta tochi , chukua kitu chochote chenye umbo mstatil ama triangle , kimulike kwa juu , alafu nipe jibu je pande zote za kifaa unachomilika zimefikiwa na mwanga kwa wakati mmoja?
Naposema kiti hakipo katika motion maana yangu n kwamba , kiti kipo katika uso wa dunia ndege ipo angan , Kiti kikiwa katika uso wa dunia kinazunguka ama kusogea vipi?
Usipanic kaka , twende taratibu lengo n kuelimishana , ulisema ukiirusha shilling juu kutoka ndan ya ndege itapoteza Kinetic energy kutoka kwenye ndege so itaanguka kwingine , Ndege inapokuwa hewan , Ina mwendo wake na speed yake tofauti kabisa na dunia , kwann umbal haubadiliki , swali halijajibiwa , kama shilling inaweza kuanguka kwingine kwann ndege itue umbal ule ule
Kuhusu dunia na universe , kumbuka mwanzon nilikuuliza hv "unataka kuniambia anga nalo linazunguka " ukanijibu ndio , au umesahau?
Kwann hatuon jua kwa pamoja , kama simu yako inatochi ama tafuta tochi , chukua kitu chochote chenye umbo mstatil ama triangle , kimulike kwa juu , alafu nipe jibu je pande zote za kifaa unachomilika zimefikiwa na mwanga kwa wakati mmoja?
Pamoja na kuwa mimi pia nimemezeshwa fizikia kama anayoizungumzia mkuu Kiranga ila hapo kwenye location tutaachana kidogo,labda awe anamaanisha kuwa ndani ya ndege una deal na kitu kingine na kwenye flat board ya gari ama pikipiki una deal na kitu kingine tofuti,acha tu ndani ya chombo chenye mwendo wa kasi,ila hata hapa nilipo nikirusha sarafu juu kwa umbali let's say wa mita kumi na nikanyanyua hatua kuondoka hapo nilipo hiyo sarafu itaangukia nyuma kwa hakika,kuna ukweli kwenye majibu yenu ila kuna makosa ya ki ufafanuzi,si kila mtu anaijua fizikia,na si kila anayedhani anaijua anaijua fizikia anaijua kweli,wengine wameelewa wasichoelewa kuwa hawajaelewa.
Ukiwa katika gari inayoenda 60 km/hr, ukarusha shilingi, kabla hujairusha ile shilingi itakuwa ina kinetic energy inayotokana na mwendo wa 60 km/hr. Itatua kwa energy hiyo si mbali sana na ulipoirusha, haitaenda kupeperushwa na kigonga kioo cha nyuma.
Ukiwa umekaa huna mwendo, ukarusha shilingi kwa mita kumi, ulivyokuwa unairusha ile shilingi haina kinetic energy, itaruka kutoka pale ulipokaa, itadondokea sio mbali na pale, wewe ukunyanyuka na kupiga hatua mara tu baada ya kuirusha haiwezi kukufuata, kwa sababu hujairusha na kinetic energy ya kukufuata. Huu mfano wako no tofauti na mtu anayerusha shilingi katika ndege au gari, kwa sababu hawa waliorusha shilingi katika ndege yenye mwendo au gari lenye mwendo wanapoirusha shilingi tayari inakiwa na kinetic energy ya mwendo wa ndege/ gari.
Kitu ambacho hujakizingatia ni hii habari ya kwamba anayerusha shilingi wakati amekaa chino duniani anarusha shikingi bila ya kinetic energy (discounting the kinetic energy of the earths movement as a constant).
Anayefikiri anaijua fizikia anatudhihirishia kwamba haijui, wote tunajifunza. Kuna ma quantum physics huko yako so counterintuitive kiasi kwamba kuyaelewa inabidi ujivue uelewa wote wa physics ya kawaida uanze kuu hungulia ulimwengu kwa hesabu tu.
mkuu Kiranga nikutoe nje ya maada kidogo tu, natamani sana kusomea habari hizi za quantum physics pasua kichwa
je kuna uwezekano wa kupata chuo nkasome bachelor ?
.made in mby city.
Now that we have access to space, the easiest way to prove the Earth is spherical is to leave it and view it from a distance. Astronauts and space probes have done just that. Every picture of Earth ever taken shows only a circular shape, and the only geometric solid which looks like a circle from any direction is a sphere.
One of the oldest proofs of the Earth's shape, however, can be seen from the ground and occurs during every lunar eclipse. The geometry of a lunar eclipse has been known since ancient Greece. When a full Moon occurs in the plane of Earth's orbit, the Moon slowly moves through Earth's shadow. Every time that shadow is seen, its edge is round. Once again, the only solid that always projects a round shadow is a sphere.
![]()
Answered by: Paul Walorski, B.A., Part-time Physics/Astronomy Instructor
![]()
[SIZE=-1] This is a question that has been asked for many years, and there are some very intuitive, and some not-so-intuitive answers.
To start with... there's a horizon, meaning that the surface that one is observing from is not an infinite plane. On the clearest of days, the only restriction to one's range of sight is the horizon. There can be two explanations for this - one, that the Earth at some point just stops, as if you were looking off the edge of a table. The other is that the Earth is round. Hundreds of years ago, before the invention of the compass or sextant, precise navigation for ships was difficult, even with the stars. Ships that ventured past sight of land were often lost, and thus it was generally believed that the world simply *stopped* at the end of the horizon. With the invention of the compass, and improved map-making, people began to dare more, and with the return of Columbus from his trans-Atlantic voyage, the concept of the Earth as flat was shattered.
Further proof of the Earth being round came after the voyage of Columbus. When Newton discovered and measured the force of gravity, that number could then be tested anywhere the theory was known. Since the force of gravity is roughly the same everywhere on the globe, it could be surmised that the Earth must be spherical. If the Earth were not round, whole hemispheres would have different atmospheric pressure and significantly different sea levels. Also, pictures taken of the Earth in the last 50 years have proved absolutely conclusively that the Earth is round. These are just the arguments that don't require much physics knowledge to explain, there are others that are more technical, but I think that the simplest arguments are the best.
![]()
Answered by: Frank DiBonaventuro, B.S., Physics grad, The Citadel, Air Force officer [/SIZE]
![]()
[SIZE=-1] There are a multitude of methods in which any one can prove that the earth is a sphere. These are the most common.
You can launch a rocket to a high altitude and take pictures of the earth (which various government agencies and private groups have already done thousands of times in the past), but that isn't the most practical way. Pictures and videos taken by orbiting satellites and space stations are certainly the most definitive proof that the earth is a sphere.
But if you're not convinced, read on...
You can also observe, with binoculars, ships slowly 'sinking' below the horizon as it sails farther and farther out to the ocean, then watch them come back. They certainly didn't fall off the edge of the earth! You can also sail or fly around the world.
The Greeks discovered that the earth is round by observing lunar eclipses (i.e. when the earth blocks the sun from the moon, casting its round shadow on the moon's surface).
Another method is simultaneously measuring the length of the shadows cast by identical poles perpendicular to a flat surface that is tangential to the earth's radius at various, distant locations. If indeed the earth is round, then the shadows should all vary in length from one distant location to another, which means that the angle at which the parallel rays of sunlight struck each pole varied from one location to another. (recall the alternate-angles theorem from Geometry class) If the earth is flat, then the lengths of all the shadows should be identical when measured simultaneously, since all rays of sunlight that strike the earth are parallel. However, they are not identical, but in fact, varies in such a way that the angles indicate a spherical surface. (This was one of the earliest methods to determine the radius of the earth)
Also, keep in mind the 24 hour time zones. When it is noon in Hawaii, it is approximately midnight in the Middle East and vice versa. How can it be noon and midnight simultaneously? It is certainly impossible with a flat earth and a sun millions of times more massive.
If I were a billionaire and physically fit, then proving to you the earth is round would be no problem. I can just take you with me on the space shuttle and we'll watch with our own eyes the earth from the orbiting International Space Station.
I have heard from astronauts that there is no experience comparable as watching the earth from above. [/SIZE]
mbona anga likiangaliwa toka duniani nalo ni mviringo huku ukweli ikiwa ni eye illusion tu ! kwa vipi dunia ikitazamwa toka angani isiwe ni illusions ya macho tu.
HATA WAKISEMA NDIYO EXPERIENCE BORA BADO HAITHIBITISHI KWAMBA KINACHOONEKANA MVIRINGO KWA MBALI SIO LAZIMA KIWE MVIRINGO KWA KARIBU.
Jicho linaonaje ?
Dunia ni round, hilo hata halihitaji ubishi, picha zipo nyingi zinapigwa kila siku kutoka angani.
Kila kitu kilichomo ndani ya atmosphere, binadamu na ndege vyote wakati dunia inazunguka, inazunguka navyo pia kwa hiyo usidhani ndege itaruka afu umbali upungue, ingekua hivo basi hata chini hapa tungekua tukiruka tunatua kwingine.. For as long as kitu kimo ndani ya atmosphere basi dunia inavozunguka na chenyewe kinazunguka vilevile kwa speed ileile...
Afu angalia satellites zilizoko angani, kuna satellite zinaitwa geostationery ambazo zenyewe hua zinaonekana kama zimesimama, zile satellite kwa kua ziko nje kiasi kwamba haziwezi kuzungushwa na dunia, hua zinapewa speed sawa na speed ya dunia, sasa kiukweli ni kama zinaanguka vile sema zinaonekana stationery sababu zinaenda kwa speed sawa na speed ya mzunguko wa dunia..
kama dunia ingekua flat hivi inategemea jua lingeonekana kama linazama kwenda chini?? si lingeonekana linapita tu kutoka kulia kwenda kushoto, sio kuonekana linatoka chini linakuja juu afu linaenda chini tena...
Afu watu NASA mnawaona kama mashetani, wanaofanya kazi pale ni watu ka wewe na mimi, yaweza kua ndugu yako au rafiki, sio watu walioletwa kutoka kuzimu wale kusema wanazuia ndege kupita Antarctica, mbona watu wanaenda kule kila mwaka, we aliyekwambia wanazuia ni akina nani?? hakuna evidence yoyote kule kua dunia haizunguki wala si duara..
Jamani nunueni hata telescope basi za bei nafuu mtumie kuangalia mwezi au sayari nyingine za karibu muone kua ni duara na hivi vitu vipo kweli sio kwamba vinaandikwa tu.. huwezi danganya science ambayo ndo leo hii inakusaidia wewe unatumia jamiiforums