The Economist la Wiki hii - Zanzibar


kwa kuisisitiza hii hoja yako , na kwa faida ya wengine, haya mazungumzo ya seif na karume hayana msaada wowote kutoka kwa kikwete. huyo kikwete mwenyewe yamemuacha akiwa kashangaa mdomo wazi,hajui yalikuwaje. na kuna asilimia kubwa kwamba kikwete hayafurahii haya mazungumzo anajifanya kuyapongeza kindumilakwili tu. kwahiyo huyo nchimbij aache kumfagilia kikwete kwenye jambo ambalo hakushiriki wala kuhusika.
 
..mmesahau alivyotokea Kenya dakika za mwisho na kuchukua credits za Koffi Annan,Mkapa,na Graca Machel?

..mpende, msipende, mkwere lazima atawapiga bao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…